UTARATIBU MZURI WA MKURUGENZI MTENDAJI WA HALMASHAURI YA WILAYA YA KISAWARE WAWAFURAHISHA WANANCHI WA KIJIJI CHA PALAKA.
Kisarawe Pwani
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Kisarawe BI BEATRICE DOMINIC Leo 30.10.2023 amekutana na wananchi wa Kijiji cha Palaka Kata ya Marumbo Tarafa ya Maneromango kuzungumzia suala la kuweka taratibu sawa baina ya Wananchi, Serikali na Uongozi wa Serikali ya Kata na Kijiji kwa ajili ya kusimamia Utoaji wa Eneo kwa ajili ya matumizi ya kilimo na umiliki wa Serikali kwa utaratibu mzuri wa Sheria.
Ikiwa ni hatua ya utekelezaji wa Agizo la Kikao cha Baraza la Madiwani.
Hakimiliki © 2017 Halmashauri ya Wilaya ya Kisarawe. Haki zote zimehifadhiwa