• Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Kisarawe District Council
Kisarawe District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kisarawe

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Takwimu
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Kilimo na Umwagiliaji
      • Mifugo na Uvuvi
      • Fedha na Biashara
      • Ujenzi na Zimamoto
      • Maji
      • Ardhi na Maliasili
      • Maendeleo ya Jamii
      • Usafi na Mazigira
      • Afya
    • Vitengo
      • Sheria
      • TEHAMA NA UHUSIANO
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Ugavi na Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji na Nyuki
    • Programu
      • TASAF
      • UKIMWI
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
      • Vivutio vya Mali kale
      • Vivutio vya Utamaduni
      • Vivutio vya Asili
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Madini
    • Teknolojia
    • Industries
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha, Utawala na Mipango
      • Uchumi,Ujenzi na Mazingira
      • Kudhibiti Ukimwi
      • Maadili
      • Huduma za Jamii
    • Ratiba ya Vikao
    • Ratiba ya Mhe. Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za shughuli za Ofisi au Kitaifa
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Hotuba za Viongozi Mbali mbali

WAHESHIMIWA MADIWANI KISARAWE WAKAGUA MIRADI YA MAENDELEO WASISITIZA KUMALIZIKA KWA WAKATI

Posted on: January 28th, 2025

WAHESHIMIWA MADIWANI KISARAWE WAKAGUA MIRADI YA MAENDELEO WASISITIZA KUMALIZIKA KWA WAKATI

KISARAWE.

Waheshimiwa madiwani wamefanya ziara ya kutembelea na kukagua miradi ya maendeleo kwa kupitia kamati ya Uchumi  Fedha Uongozi na Mipango wilayani Kisarawe 28/01/2025 wakiongozwa na Mwenyekiti wa Halmashauri Mh. Zuberi Kizwezwe.


Miradi iliyokaguliwa ni pamoja na mradi wa Mradi wa Ujenzi wa kiwanda Cha Korosho kilichopo kata ya Mzenga,Shule mpya ya Sekondari  kata ya BOGA,shule ya Sekondari iliyopo Visiga,shule mpya ya Sekondari ya Gongoni pamoja na Jengo Jipya la Utawala la Halmashauri ya Wilaya Kisarawe,

Waheshimiwa Madiwani kupitia kamati ya Fedha, Uongozi na Mipango, wameishukuru Serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan, kwa kutoa fedha za kuanzisha na kuendeleza  miradi hiyo katika wilaya ya Kisarawe,

Sambamba na hilo, Waheshimiwa Madiwani wamemsisitiza Mkurugenzi mtendaji wa halmashauri Bi.BEATRICE  DOMINIC kusimamia vizuri wa fedha za miradi ya maendeleo.


Vilevile Waheshimiwa Madiwani wamewapongeza wananchi wa kata za Boga, Mzenga na msanga kwa ushiriki Katika kufuatilia miradi iliyopo Katika kata zao pamoja na vijiji kwa kupata uelewa juu ya miradi,

Pamoja na hayo Waheshimiwa Madiwani wamemepongeza mafundi wanaosimamia miradi Hiyo kwa kuwataka kuendeleza umakini wa usimamizi wa miradi haya ya Ujenzi wa miundombinu ya shule pamoja na Vifaa kwa viwango ikiwamo Milango,madawati,viti nk.


Aidha Waheshimiwa madiwani kupitia kamati ya Fedha, wametoa maagizo kuhakikisha mradi wa Ujenzi wa kiwanda Cha Korosho Cha Mzenga  kukamilika kwa wakati na kusimamiwa Kila hatua ya Ujenzi wake Kupitia ofisi ya msimamzi wa Ujenzi wa kiwanda Hicho,

Mwisho waheshimiwa madiwani wameridhishwa na utekelezaji wa miradi ya maendeleo inayotekelezwa wilayani Kisarawe

Matangazo

  • Wito Kwenye Mafunzo ya Uboreshaji wa Daftari tarehe 10-11/02/2025 Minaki Sekondari. February 07, 2025
  • UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA-AWAMU YA PILI TAREHE 16-22 MEI 2025 May 13, 2025
  • BARAZA LA MADIWANI NOVEMBA 2021 November 09, 2021
  • KUITWA KWENYE SEMINA YA ANUANI ZA MAKAZI March 30, 2022
  • Tazama zote

Habari mpya kabisa

  • WAZIRI JAFO A FUNGUA SHULE MPYA ZAIDI ZA KATA YA BOGA, MZENGA NA MSANGA

    June 06, 2025
  • JIMBO LA KISARAWE LATOA MAFUNZO YA UBORESHAJI WA DAFTARI LA WAPIGAKURA AWAMU YA PILI

    May 14, 2025
  • JIMBO LA KISARAWE LATOA MAFUNZO YA UBORESHAJI WA DAFTARI LA WAPIGAKURA AWAMU YA PILI

    May 14, 2025
  • JIMBO LA KISARAWE LATOA MAFUNZO YA UBORESHAJI WA DAFTARI LA WAPIGAKURA AWAMU YA PILI

    May 14, 2025
  • Tazama zote

Video

Kamati ya Fedha kutembelea Ujenzi wa Jengo Jipya la OPD Kisarawe Hospitali
Video

Viungio

  • Utalii wa asili
  • Bima ya Afya (CHF)
  • Historia ya Kisarawe
  • Matukio mbali mbali ya Picha
  • Ukarabati wa Jengo la Upasuaji.
  • Mikakati ya Halmashauri
  • Kukutana na Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Maelekezo jinsi ya kutumia Mfumo wa FFARS
  • Orodha ya Madiwani pamoja na Namba za simu

Viungio linganishi

  • OFISI YA RAIS UTUMISHI
  • Baraza la Mitiani ya Taifa
  • Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu
  • PPRA
  • Ikulu
  • Ajira
  • Idara kuu ya Takwimu
  • Tovuti ya kupata nakara ya Mshahara
  • Tovuti ya Taifa
  • Bunge
  • Mfumo wa Ununuzi wa Umma NeST
  • Mfumo wa Upimaji Utendaji kazi wa Watumishi wa Umma (ESS)

Wasomaji mbalimbali duniani

world map hits counter

Idadi ya wasomaji

Free Visitor&Stat Counter

Ramani ya Eneo

Kuhusu Sisi

Mawasiliano zaidi

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki © 2017 Halmashauri ya Wilaya ya Kisarawe. Haki zote zimehifadhiwa