Karibu Katika Halmashauri ya Wilaya ya Kisarawe
Napenda kuwakaribisha katika Halmshauri ya Wilaya ya Kisarawe ambayo ni Wilaya kongwe Katika Mkoa wa Pwani na yenye fursa nyingi za uwekezaji ikiwemo Kilimo cha mazao ya biashara, chakula, Ufugaji wa wanyama,utalii, Uchimbaji wa Madini, Ujenzi wa majengo ya Ofisi mbalimbali, uwekezaji katika viwanda vidogo, vya kati na vikubwa kwa nyanja mbalimbali.
Hakimiliki © 2017 Halmashauri ya Wilaya ya Kisarawe. Haki zote zimehifadhiwa