• Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
    • Complaint |
Kisarawe District Council
Kisarawe District Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Kisarawe District Council

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
    • Core Values
    • Stategic
  • Administration
    • Structure
    • Departments
      • Administration and Human Resources
      • Planning and Statistics
      • Primary Education
      • Secondary Education
      • Agriculture and Irrigation
      • Livestock and Fisheries
      • Trade and Finance
      • Works and Fire Resque
      • Water
      • Land and Natural Resources
      • Community Development
      • Environment and Cleanliness
      • Health
    • Units
      • Legal
      • TEHAMA NA UHUSIANO
      • Internal Audit
      • Procurement and Supplier
      • Election
      • Beekeping
    • Programu
      • TASAF
      • UKIMWI
  • Investiments
    • Tourism Attractions
      • Traditional attractions
      • Cultural Attractions
      • Natural attractions
    • Agriculture
    • Pastoralism
    • Mineral
    • Teknolojia
    • Industries
  • Our Services
    • Health
    • Education
    • Water
    • Agriculture
    • livestock
  • Councillors
    • Councilors List
    • Council Committee
      • Finance, Administration and Planning
      • Economic, Construction and Environment
      • Council Multisectral Aids
      • Disciplinary
      • Social Welfare
    • Meeting Timetable
    • Chairman Timetable
  • Projects
    • Ongoing Projects
    • Completed Projects
    • Projects to be Implemented
  • Publications
    • By law
    • Customer Services Aggrement
    • Strategic Plan
    • Other Reports
    • Other Forms
    • Guidelines
  • Media Centre
    • Photo Gallery
    • Public Notice
    • Official and National Video
    • Press Release
    • Leaders Speech

CAMFED YATOA MAFUNZO KISARAWE DC

Posted on: May 10th, 2024

CAMFED YATOA MAFUNZO KISARAWE DC

Na Mwandishi wetu

Kisarawe.Pwani

Leo tarehe 10/05/2024 Campaign For Females Education (CAMFED) imetoa mafunzo ya stadi za maisha Kwa wakuu wa shule,Maafisa Elimu Kata na walimu wa ushauri na unasihi Kwa shule 21 zilizopo kwenye Halmashuri ya Wilaya ya Kisarawe.

Kaimu Mkurugenzi Ndg.Deogratius Lukomanya wakati akifungua mafunzo hayo aliwasisitiza washiriki wa mafunzo wawe watulivu na kufuatilia Kwa umakini ili watakaporudi kwenye maeneo yao ya kazi waweze kuwaelimisha wengine katika kutoa Elimu ya stadi za maisha.

katika kutoa mafunzo hayo Wataalam kutoka CAMFED walishirikiana na Wizara ya Elimu sayansi na Teknologia pamoja na Ofisi ya Rais Tamisemi kuhakikisha Elimu ya stadi za maisha zinawafika walengo haswa watoto wa kike kutoka kwenye maeneo ambayo kunavikwazo ktk kupata Elimu hiyo muhimu.

Mafunzo haya ni Endelevu kutoka ngazi ya Wilaya Hadi shuleni.

Manufaa ya  mradi huu ni:

  • Kusaidia watoto kujitambua na kuelewa umuhimu wa elimu kisha kubaki kwenye Elimu.
  • Kupunguza Mdondoko(Dropout) katika Elimu kwa watoto wa Kike.
  • Kupata stadi za maisha mfano kulima bustani, e.t.c

Samamba na mafunzo wataalamu wa CAMFED na washiriki wa mradi  walipata fursa ya kuongea na Mkuu wa wilaya ya Kisarawe MHE. FATUMA NYANGAZA pamoja na Mkurugenzi Mtendaji(W) Bi. Beatrice Dominic kwa pamoja waliiwakaribisha sana na kuwashukuru kwa kufika na kutoa mafunzo hayo muhimu. 

Imeandaliwa na kitengo cha Mawasiliano Serikalini

Announcements

  • MATOKEO YA USAILI WA KAZI YA MUDA YA UCHAGUZI NA TAREHE ZA MAFUNZO October 16, 2025
  • MATUKIO MUHIMU YA UKAGUZI WA MBIO ZA MAGARI KITUO CHA KISARAWE KAZIMZUMBWI June 28, 2025
  • Mikopo ya Elimu ya Juu kupitia Bodi ya Mikopo (HESLB) June 17, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI ZA MUDA ZA WATENDAJI WA VITUO VYA KUPIGIA KURA KWA AJILI YA UCHAGUZI MKUU WA MWAKA 2025 July 02, 2025
  • View All

Latest News

  • WATUMISHI WAPYA WAPATA MAFUNZO ELEKEZI YA UTUMISHI WA UMMA KISARAWE

    September 26, 2025
  • MALARIA KISARAWE HAIKUBALIKI DC MAGOTI

    September 24, 2025
  • KIKAO CHA WARSHA YA KUZUIA UKATILI DHIDI YA WATOTO WALIOKATISHA MASOMO WILAYA YA KISARAWE MWAKA 2025

    August 29, 2025
  • WAZIRI DKT JAFO AFUNGA MTAA AKICHUKUA FOMU YA INEC JIMBO LA KISARAWE AMUOMBEA KURA DKT SAMIA MADIWANI 17 KISARAWE

    August 24, 2025
  • View All

Video

Kamati ya Fedha kutembelea Ujenzi wa Jengo Jipya la OPD Kisarawe Hospitali
More Videos

Quick Links

  • Natural Attractions
  • COMMUNITY HEALTH FUND
  • Kisarawe History
  • Photo Events in the Council
  • Rehabilitation of Theater Block
  • Council strategics
  • How to meet with District Chairman
  • Maelekezo jinsi ya kutumia Mfumo wa FFARS
  • Councilors Name List and Phone Number

Related Links

  • President's Office Public Service, Management and Good Governance
  • The National Examinations Council Of Tanzania
  • President's Office Regional Administration and Local Government
  • The Higher Education Students’ Loans Board
  • PPRA
  • State House
  • Employment
  • National Bureau Of statistics
  • Salary slip potral
  • Government Website
  • Parliament
  • Mfumo wa Ununuzi wa Umma NeST
  • Mfumo wa Upimaji Utendaji kazi wa Watumishi wa Umma (ESS)

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

Free Visitor&Stat Counter

Location Map

Wasiliana nasi

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2017 Kisarawe District Council . All rights reserved.