• Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
    • Complaint |
Kisarawe District Council
Kisarawe District Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Kisarawe District Council

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
    • Core Values
    • Stategic
  • Administration
    • Structure
    • Departments
      • Administration and Human Resources
      • Planning and Statistics
      • Primary Education
      • Secondary Education
      • Agriculture and Irrigation
      • Livestock and Fisheries
      • Trade and Finance
      • Works and Fire Resque
      • Water
      • Land and Natural Resources
      • Community Development
      • Environment and Cleanliness
      • Health
    • Units
      • Legal
      • TEHAMA NA UHUSIANO
      • Internal Audit
      • Procurement and Supplier
      • Election
      • Beekeping
    • Programu
      • TASAF
      • UKIMWI
  • Investiments
    • Tourism Attractions
      • Traditional attractions
      • Cultural Attractions
      • Natural attractions
    • Agriculture
    • Pastoralism
    • Mineral
    • Teknolojia
    • Industries
  • Our Services
    • Health
    • Education
    • Water
    • Agriculture
    • livestock
  • Councillors
    • Councilors List
    • Council Committee
      • Finance, Administration and Planning
      • Economic, Construction and Environment
      • Council Multisectral Aids
      • Disciplinary
      • Social Welfare
    • Meeting Timetable
    • Chairman Timetable
  • Projects
    • Ongoing Projects
    • Completed Projects
    • Projects to be Implemented
  • Publications
    • By law
    • Customer Services Aggrement
    • Strategic Plan
    • Other Reports
    • Other Forms
    • Guidelines
  • Media Centre
    • Photo Gallery
    • Public Notice
    • Official and National Video
    • Press Release
    • Leaders Speech

WAZIRI DKT JAFO AFUNGA MTAA AKICHUKUA FOMU YA INEC JIMBO LA KISARAWE AMUOMBEA KURA DKT SAMIA MADIWANI 17 KISARAWE

Posted on: August 24th, 2025

WAZIRI DKT JAFO AFUNGA MTAA AKICHUKUA FOMU YA INEC JIMBO LA KISARAWE AMUOMBEA KURA DKT SAMIA MADIWANI 17 KISARAWE


KISARAWE

Msimamizi wa uchaguzi Bi.Sabra Charles Mwankenja amepokea utambulisho wa wagombea wa nafasi ya ubunge jimbo la kisarawe kupitia chama cha Mapinduzi CCM Ndg  Selemani Saidi Jafo jumapili  24 agosti 2025,


gumza katika ofisi ya tume ya uchaguzi Bi.sabra mwakenja amewaomba wagombea  waliohidhinishwa na vyama vyao kuchukua fomu katika ofisi ya tume ya uchaguzi katika jimbo la kisarawe

"Niwaombe watia nia wote ambao wameridhiwa na vyama vyao vya kisiasa waje kuchukua fomu ya kugombea ubunge katika jimbo la kisarawe katika ofisi zetu za tume"


Aidha Bi.Sabra Mwakenja pamoja na maafisa mbalimbali wa tume ya uchaguzi wameahidi kutoa ushirikiano wa kutosha kwa wagombea wote lakini pia amewataka wagombea kufanya uchaguzi kwa amani na utulivu

Mgombea ubunge kupitia Chama Cha Mapinduzi CCM amechukua  fomu kwa kusindikizwa na wanachama na madiwani wateule.

Announcements

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI ZA MUDA ZA WATENDAJI WA VITUO VYA KUPIGIA KURA KWA AJILI YA UCHAGUZI MKUU WA MWAKA 2025 July 02, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI ZA МКАТАBA KWA WAKUSANYA MAPATO July 08, 2025
  • MATUKIO MUHIMU YA UKAGUZI WA MBIO ZA MAGARI KITUO CHA KISARAWE KAZIMZUMBWI June 28, 2025
  • Mikopo ya Elimu ya Juu kupitia Bodi ya Mikopo (HESLB) June 17, 2025
  • View All

Latest News

  • KIKAO CHA WARSHA YA KUZUIA UKATILI DHIDI YA WATOTO WALIOKATISHA MASOMO WILAYA YA KISARAWE MWAKA 2025

    August 29, 2025
  • WAZIRI DKT JAFO AFUNGA MTAA AKICHUKUA FOMU YA INEC JIMBO LA KISARAWE AMUOMBEA KURA DKT SAMIA MADIWANI 17 KISARAWE

    August 24, 2025
  • WAZIRI DKT JAFO AFUNGA MTAA AKICHUKUA FOMU YA INEC JIMBO LA KISARAWE AMUOMBEA KURA DKT SAMIA MADIWANI 17 KISARAWE

    August 24, 2025
  • MKUU WA WILAYA YA KISARAWE, PETRO MAGOTI, AZUNGUMZA NA WANANCHI WA HOMBOZA KUHUSU MIGOGORO YA ARDHI

    August 22, 2025
  • View All

Video

Kamati ya Fedha kutembelea Ujenzi wa Jengo Jipya la OPD Kisarawe Hospitali
More Videos

Quick Links

  • Natural Attractions
  • COMMUNITY HEALTH FUND
  • Kisarawe History
  • Photo Events in the Council
  • Rehabilitation of Theater Block
  • Council strategics
  • How to meet with District Chairman
  • Maelekezo jinsi ya kutumia Mfumo wa FFARS
  • Councilors Name List and Phone Number

Related Links

  • President's Office Public Service, Management and Good Governance
  • The National Examinations Council Of Tanzania
  • President's Office Regional Administration and Local Government
  • The Higher Education Students’ Loans Board
  • PPRA
  • State House
  • Employment
  • National Bureau Of statistics
  • Salary slip potral
  • Government Website
  • Parliament
  • Mfumo wa Ununuzi wa Umma NeST
  • Mfumo wa Upimaji Utendaji kazi wa Watumishi wa Umma (ESS)

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

Free Visitor&Stat Counter

Location Map

Wasiliana nasi

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2017 Kisarawe District Council . All rights reserved.