• Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
    • Complaint |
Kisarawe District Council
Kisarawe District Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Kisarawe District Council

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
    • Core Values
    • Stategic
  • Administration
    • Structure
    • Departments
      • Administration and Human Resources
      • Planning and Statistics
      • Primary Education
      • Secondary Education
      • Agriculture and Irrigation
      • Livestock and Fisheries
      • Trade and Finance
      • Works and Fire Resque
      • Water
      • Land and Natural Resources
      • Community Development
      • Environment and Cleanliness
      • Health
    • Units
      • Legal
      • TEHAMA NA UHUSIANO
      • Internal Audit
      • Procurement and Supplier
      • Election
      • Beekeping
    • Programu
      • TASAF
      • UKIMWI
  • Investiments
    • Tourism Attractions
      • Traditional attractions
      • Cultural Attractions
      • Natural attractions
    • Agriculture
    • Pastoralism
    • Mineral
    • Teknolojia
    • Industries
  • Our Services
    • Health
    • Education
    • Water
    • Agriculture
    • livestock
  • Councillors
    • Councilors List
    • Council Committee
      • Finance, Administration and Planning
      • Economic, Construction and Environment
      • Council Multisectral Aids
      • Disciplinary
      • Social Welfare
    • Meeting Timetable
    • Chairman Timetable
  • Projects
    • Ongoing Projects
    • Completed Projects
    • Projects to be Implemented
  • Publications
    • By law
    • Customer Services Aggrement
    • Strategic Plan
    • Other Reports
    • Other Forms
    • Guidelines
  • Media Centre
    • Photo Gallery
    • Public Notice
    • Official and National Video
    • Press Release
    • Leaders Speech

DC JOKET ’’TOKOMEZA ZIRO KISARAWE NI MPANGO MKAKATI WA UTEKELEZAJI ILANI YA CHAMA CHA MAPINDUZI’’

Posted on: April 4th, 2019

Mkuu wa wilaya ya kisarawe Mhe Jokete  Mwegelo ametoa majumuisho ya Harambee ya TOKOMEZA ZERO  kwa kuitaka jamii kuelewa kuwa kumuelimisha mwanamke ni ukombozi kwa karne ya 21 ambayo kila mwanamke anatakiwa kuwa na elimu yenye tija na manufa kwenye mfumo bora wa maisha ya kila siku ambayo ni mpango mkakati wa utekelezaji wa ilani ya chama cha mapinduzi (CCM),

Akitoa  wito huo kisarawe alipokua akiongea na wanahabari alipokua akitoa tadhimini ya harambee kwa michanganua mbalimbali ambapo jumla ya shilingi milioni mia tisa na kumi na tano elfu na laki moja na sabini na nne elfu zilikua zimepatikana na milioni themanini na laki sita arobaini na moja elfu zimepokelewa taslim na zipo bank,

Aidha Mwegelo alitoa ushauri kwa jamii kuwa na  moyo wa kujitolea kwa hali na mali ili kuweza kuisaidia jamii hasa ya vijijini ambayo inakabiliwa na changamoto nyingi za kuweza kuwarudisha nyuma kimaendelea wanawake na watototo wa kike,

‘’kiujumla jamii yetu inapitia mambo mengi ya kuweza kuwarudisha nyuma kimaendeleo hivyo tukishikamana kwa pamoja tunamsaidia mwammke wa kitanzania, ’’alisema Mwegelo

Jumla ya ekari ishinini na Nane za mraba za shule hiyo zitatumika kwa shule hiyo na Michango yote hiyo inayokusanywa inategemea kujenga shule ya kisasa ya kihistoria ya  wasichana pekee kuanzia kidato cha kwanza mpaka cha sita Kisarawe Tarafa ya Sungwi ya Kibuta  kijiji cha Mhaga.   

Announcements

  • Wito Kwenye Mafunzo ya Uboreshaji wa Daftari tarehe 10-11/02/2025 Minaki Sekondari. February 07, 2025
  • Tangazo kwa Umma Kuhusu Uboreshaji wa Daftari la Mpiga Kura February 08, 2025
  • MKITANO WA BARAZA LA MADIWANI April 28, 2025
  • BARAZA LA MADIWANI NOVEMBA 2021 November 09, 2021
  • View All

Latest News

  • NIMEFURAHISHWA NA MMLIVYOJIPANGA KISARAWE CHATANDA NA ZAINABU

    May 08, 2025
  • OFISI YA MAKAMU WA PILI WA RAIS SERIKALI MAPINDUZI ZANZIBAR YAFANYA ZIARA YA KIKAZI WILAYA KISARAWE

    April 30, 2025
  • KISARAWE YAFANYA UTOAJI ELIMU YA DOZI YA NYONGEZA YA CHANJO YA SINDANO YA POLIO(IPV2)

    April 30, 2025
  • KUVUNJWA KWA BARAZA LA MADIWANI KISARAWE UONGOZI WAJIVUNIA KUKAMILISHA MIRADI MBALIMBALI KATIKA KIPINDI CHA MIAKA 5

    April 29, 2025
  • View All

Video

Kamati ya Fedha kutembelea Ujenzi wa Jengo Jipya la OPD Kisarawe Hospitali
More Videos

Quick Links

  • Natural Attractions
  • COMMUNITY HEALTH FUND
  • Kisarawe History
  • Photo Events in the Council
  • Rehabilitation of Theater Block
  • Council strategics
  • How to meet with District Chairman
  • Maelekezo jinsi ya kutumia Mfumo wa FFARS
  • Councilors Name List and Phone Number

Related Links

  • President's Office Public Service, Management and Good Governance
  • The National Examinations Council Of Tanzania
  • President's Office Regional Administration and Local Government
  • The Higher Education Students’ Loans Board
  • PPRA
  • State House
  • Employment
  • National Bureau Of statistics
  • Salary slip potral
  • Government Website
  • Parliament
  • Mfumo wa Ununuzi wa Umma NeST
  • Mfumo wa Upimaji Utendaji kazi wa Watumishi wa Umma (ESS)

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

Free Visitor&Stat Counter

Location Map

Wasiliana nasi

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2017 Kisarawe District Council . All rights reserved.