• Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
    • Complaint |
Kisarawe District Council
Kisarawe District Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Kisarawe District Council

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
    • Core Values
    • Stategic
  • Administration
    • Structure
    • Departments
      • Administration and Human Resources
      • Planning and Statistics
      • Primary Education
      • Secondary Education
      • Agriculture and Irrigation
      • Livestock and Fisheries
      • Trade and Finance
      • Works and Fire Resque
      • Water
      • Land and Natural Resources
      • Community Development
      • Environment and Cleanliness
      • Health
    • Units
      • Legal
      • TEHAMA NA UHUSIANO
      • Internal Audit
      • Procurement and Supplier
      • Election
      • Beekeping
    • Programu
      • TASAF
      • UKIMWI
  • Investiments
    • Tourism Attractions
      • Traditional attractions
      • Cultural Attractions
      • Natural attractions
    • Agriculture
    • Pastoralism
    • Mineral
    • Teknolojia
    • Industries
  • Our Services
    • Health
    • Education
    • Water
    • Agriculture
    • livestock
  • Councillors
    • Councilors List
    • Council Committee
      • Finance, Administration and Planning
      • Economic, Construction and Environment
      • Council Multisectral Aids
      • Disciplinary
      • Social Welfare
    • Meeting Timetable
    • Chairman Timetable
  • Projects
    • Ongoing Projects
    • Completed Projects
    • Projects to be Implemented
  • Publications
    • By law
    • Customer Services Aggrement
    • Strategic Plan
    • Other Reports
    • Other Forms
    • Guidelines
  • Media Centre
    • Photo Gallery
    • Public Notice
    • Official and National Video
    • Press Release
    • Leaders Speech

Jisajilini TFS Mpate Faida

Posted on: April 7th, 2018

Wananchi wa Mkoa wa pwani wameshauriwa kujisajili kwa Wakala wa huduma za misitu (TFS) ili wapate vibali kisheria na kuvuna rasilimali za misitu zinazopatikana  katika mkoa wao.

Ushauri huo umetolewa na Mkuu wa Mkoa wa Pwani  Eng.. Evarist Ndikilo wakati wa maadhimisho ya siku ya upandaji miti kimkoa zoezi ambalo limefanyika katika msitu wa hifadhi wa Kazimzumbwi unaopatikana katika Wilaya ya Kisarawe.

Eng. Ndikilo amesema kuwa wananchi wengi wa Mkoa wa Pwani ndio wanalinda na kutunza misitu lakini wengi wanaonufaika rasilimali zitokanazo na misitu hiyo ni watu kutoka nje ya mkoa wa pwani.Amebainisha kuwa kuna watu na makampuni 389 wamejisajili kwa ajili ya kuvuna na kutumia rasilimali hizo lakini wengi wanatoka nje ya Mkoa wetu wa Pwani.

‘’Mjisajili  kwa Wakala wa Huduma za Misitu ili mpate fursa ya kuongeza kipato chenu, nyinyi  ndio mnaostahili kwanza kwani misitu ipo kwenye maeneo yetu na ndio tunaitunza wenyewe hivyo nashangaa kuona wavunaji wengi wa mazao ya misitu wengi wanatoka nje ya Mkoa wetu wa Pwani’’amesema Mheshimiwa Mkuu wa Mkoa Eng. Evarist Ndikilo.

Mkoa wa Pwani unayo jumla ya misitu 34 ya hifadhi yenye jumla ya hekta 335,712 iliyohifadhiwa kisheria na hekta milioni 2.2 za misitu kwenye ardhi huria  ambapo rasilimali hii ya misitu hutegemewa na kutumiwa na  wakazi wa Mkoa wa Pwani na Dar es Salaam kwa ajili ya matumizi ya nishati,mbao,magogo,samani na matumizi mengine.

By dkambanyuma

Announcements

  • Wito Kwenye Mafunzo ya Uboreshaji wa Daftari tarehe 10-11/02/2025 Minaki Sekondari. February 07, 2025
  • Tangazo kwa Umma Kuhusu Uboreshaji wa Daftari la Mpiga Kura February 08, 2025
  • MKITANO WA BARAZA LA MADIWANI April 28, 2025
  • BARAZA LA MADIWANI NOVEMBA 2021 November 09, 2021
  • View All

Latest News

  • NIMEFURAHISHWA NA MMLIVYOJIPANGA KISARAWE CHATANDA NA ZAINABU

    May 08, 2025
  • OFISI YA MAKAMU WA PILI WA RAIS SERIKALI MAPINDUZI ZANZIBAR YAFANYA ZIARA YA KIKAZI WILAYA KISARAWE

    April 30, 2025
  • KISARAWE YAFANYA UTOAJI ELIMU YA DOZI YA NYONGEZA YA CHANJO YA SINDANO YA POLIO(IPV2)

    April 30, 2025
  • KUVUNJWA KWA BARAZA LA MADIWANI KISARAWE UONGOZI WAJIVUNIA KUKAMILISHA MIRADI MBALIMBALI KATIKA KIPINDI CHA MIAKA 5

    April 29, 2025
  • View All

Video

Kamati ya Fedha kutembelea Ujenzi wa Jengo Jipya la OPD Kisarawe Hospitali
More Videos

Quick Links

  • Natural Attractions
  • COMMUNITY HEALTH FUND
  • Kisarawe History
  • Photo Events in the Council
  • Rehabilitation of Theater Block
  • Council strategics
  • How to meet with District Chairman
  • Maelekezo jinsi ya kutumia Mfumo wa FFARS
  • Councilors Name List and Phone Number

Related Links

  • President's Office Public Service, Management and Good Governance
  • The National Examinations Council Of Tanzania
  • President's Office Regional Administration and Local Government
  • The Higher Education Students’ Loans Board
  • PPRA
  • State House
  • Employment
  • National Bureau Of statistics
  • Salary slip potral
  • Government Website
  • Parliament
  • Mfumo wa Ununuzi wa Umma NeST
  • Mfumo wa Upimaji Utendaji kazi wa Watumishi wa Umma (ESS)

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

Free Visitor&Stat Counter

Location Map

Wasiliana nasi

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2017 Kisarawe District Council . All rights reserved.