• Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
    • Complaint |
Kisarawe District Council
Kisarawe District Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Kisarawe District Council

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
    • Core Values
    • Stategic
  • Administration
    • Structure
    • Departments
      • Administration and Human Resources
      • Planning and Statistics
      • Primary Education
      • Secondary Education
      • Agriculture and Irrigation
      • Livestock and Fisheries
      • Trade and Finance
      • Works and Fire Resque
      • Water
      • Land and Natural Resources
      • Community Development
      • Environment and Cleanliness
      • Health
    • Units
      • Legal
      • TEHAMA NA UHUSIANO
      • Internal Audit
      • Procurement and Supplier
      • Election
      • Beekeping
    • Programu
      • TASAF
      • UKIMWI
  • Investiments
    • Tourism Attractions
      • Traditional attractions
      • Cultural Attractions
      • Natural attractions
    • Agriculture
    • Pastoralism
    • Mineral
    • Teknolojia
    • Industries
  • Our Services
    • Health
    • Education
    • Water
    • Agriculture
    • livestock
  • Councillors
    • Councilors List
    • Council Committee
      • Finance, Administration and Planning
      • Economic, Construction and Environment
      • Council Multisectral Aids
      • Disciplinary
      • Social Welfare
    • Meeting Timetable
    • Chairman Timetable
  • Projects
    • Ongoing Projects
    • Completed Projects
    • Projects to be Implemented
  • Publications
    • By law
    • Customer Services Aggrement
    • Strategic Plan
    • Other Reports
    • Other Forms
    • Guidelines
  • Media Centre
    • Photo Gallery
    • Public Notice
    • Official and National Video
    • Press Release
    • Leaders Speech

MANEROMANGO KINARA WA VITAMBULISHO VYA WAJASIRIAMALI KISARAWE

Posted on: February 25th, 2019

 

Mkuu  wa wilaya ya kisarawe ameipongeza  Ofisi ya kata ya Maneromango kwa kujali na kufuatilia kwa vitendo katika kuwatatulia matatizo na chanagamoto za wafanya biashara wadogo wadogo hasa kwa serikali ya kata na kijiji kuwafuatilia katika kuwapatia vitambulisho vya wafanya biashara vinavyotewa na ofisi ya mkurugenzi wilaya kwa kuratibiwa na idara ya biashara kisarawe,

Akitoa pongezi hizo maneromango wakati alipokua katika ziara ya kuzungumza na  wananchi  katika uhamasishaji wa Ujenzi wa madarasa na matundu ya vyoo yanayojengwa na mradi wa  lipa kulingana na matokeo (Pay for Result P4R) ambao unahitaji kwa nguvu kubwa uwepo wa wanachi kuelewa na kufuatilia kwa vitendo miradi iliyopo katika vijiji vyao,

‘’Ndugu zangu wa kisarawe nimefurahishwa sana na mwamko wa wafanya biashara wa hapa maneromango pamoja na ofisi ya kata kwa ujumla katika kusimamia na kuhakikisha kua kila mfanya biashara wa hapa anapata  kitambulisho ili aweze kufanya biashara na kuzalisha kwa kujenga taifa lenye wafanya biashara ambao wanalipa kodi kwa hiari na upendo bila kushurutishwa,‘’

DC Mwegelo ametoa wito kwa mafisa wa serikali wa vijiji na kata  nyengine za kisarawe kuhakikisha kuwa wanawafuatilia na kuwafuata wafanya biashara huko waliko ili wawapatie vitambulisho  hivyo na serikali kupata kodi stahiki kwa wakati maana jamii kubwa ya wafanya biashara hawapendi kulipa kodi ,

’’Nawagiza watendaji na mafisa wote wa serikali  wa ngazi ya tarafa, kata na kijiji kuhakikisha kuwa wafanya biashara wote waliopo kwenu wanafikiwa na kupatiwa vitambulisho kabla ya kuja kwa awamu ya pili ya kutolewa vitabulssho,’ alisisitiza Dc Mwegelo

Announcements

  • Wito Kwenye Mafunzo ya Uboreshaji wa Daftari tarehe 10-11/02/2025 Minaki Sekondari. February 07, 2025
  • Tangazo kwa Umma Kuhusu Uboreshaji wa Daftari la Mpiga Kura February 08, 2025
  • MKITANO WA BARAZA LA MADIWANI April 28, 2025
  • BARAZA LA MADIWANI NOVEMBA 2021 November 09, 2021
  • View All

Latest News

  • NIMEFURAHISHWA NA MMLIVYOJIPANGA KISARAWE CHATANDA NA ZAINABU

    May 08, 2025
  • OFISI YA MAKAMU WA PILI WA RAIS SERIKALI MAPINDUZI ZANZIBAR YAFANYA ZIARA YA KIKAZI WILAYA KISARAWE

    April 30, 2025
  • KISARAWE YAFANYA UTOAJI ELIMU YA DOZI YA NYONGEZA YA CHANJO YA SINDANO YA POLIO(IPV2)

    April 30, 2025
  • KUVUNJWA KWA BARAZA LA MADIWANI KISARAWE UONGOZI WAJIVUNIA KUKAMILISHA MIRADI MBALIMBALI KATIKA KIPINDI CHA MIAKA 5

    April 29, 2025
  • View All

Video

Kamati ya Fedha kutembelea Ujenzi wa Jengo Jipya la OPD Kisarawe Hospitali
More Videos

Quick Links

  • Natural Attractions
  • COMMUNITY HEALTH FUND
  • Kisarawe History
  • Photo Events in the Council
  • Rehabilitation of Theater Block
  • Council strategics
  • How to meet with District Chairman
  • Maelekezo jinsi ya kutumia Mfumo wa FFARS
  • Councilors Name List and Phone Number

Related Links

  • President's Office Public Service, Management and Good Governance
  • The National Examinations Council Of Tanzania
  • President's Office Regional Administration and Local Government
  • The Higher Education Students’ Loans Board
  • PPRA
  • State House
  • Employment
  • National Bureau Of statistics
  • Salary slip potral
  • Government Website
  • Parliament
  • Mfumo wa Ununuzi wa Umma NeST
  • Mfumo wa Upimaji Utendaji kazi wa Watumishi wa Umma (ESS)

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

Free Visitor&Stat Counter

Location Map

Wasiliana nasi

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2017 Kisarawe District Council . All rights reserved.