• Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
    • Complaint |
Kisarawe District Council
Kisarawe District Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Kisarawe District Council

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
    • Core Values
    • Stategic
  • Administration
    • Structure
    • Departments
      • Administration and Human Resources
      • Planning and Statistics
      • Primary Education
      • Secondary Education
      • Agriculture and Irrigation
      • Livestock and Fisheries
      • Trade and Finance
      • Works and Fire Resque
      • Water
      • Land and Natural Resources
      • Community Development
      • Environment and Cleanliness
      • Health
    • Units
      • Legal
      • TEHAMA NA UHUSIANO
      • Internal Audit
      • Procurement and Supplier
      • Election
      • Beekeping
    • Programu
      • TASAF
      • UKIMWI
  • Investiments
    • Tourism Attractions
      • Traditional attractions
      • Cultural Attractions
      • Natural attractions
    • Agriculture
    • Pastoralism
    • Mineral
    • Teknolojia
    • Industries
  • Our Services
    • Health
    • Education
    • Water
    • Agriculture
    • livestock
  • Councillors
    • Councilors List
    • Council Committee
      • Finance, Administration and Planning
      • Economic, Construction and Environment
      • Council Multisectral Aids
      • Disciplinary
      • Social Welfare
    • Meeting Timetable
    • Chairman Timetable
  • Projects
    • Ongoing Projects
    • Completed Projects
    • Projects to be Implemented
  • Publications
    • By law
    • Customer Services Aggrement
    • Strategic Plan
    • Other Reports
    • Other Forms
    • Guidelines
  • Media Centre
    • Photo Gallery
    • Public Notice
    • Official and National Video
    • Press Release
    • Leaders Speech

MILIONI 102,204,000/= ZATOLEWA KWA VIKUNDI VYA VIJANA,WANAWAKE NA WATU WENYE ULEMAVU.

Posted on: November 21st, 2017

MILIONI 102,204,000/= ZATOLEWA KWA VIKUNDI VYA VIJANA,WANAWAKE NA WATU WENYE ULEMAVU.

Halmashauri ya Wilaya ya kisarawe imefanikiwa kutoa kiasi cha shilingi milioni mia moja na mbili lakimbili na elfu nne ikiwa ni 10% toka mapato yake ya ndani kwa vikundi vya wajasiriamali vya Wanawake,Vijana na Walemavu ili kuweza kuwasaidia kuondokana na umasikini kwa kuwaingizia kipato.

Zoezi la utoaji fedha hizo limefanyika siku ya Jumanne tarehe 21/11/2017 kwenye ukumbi wa mikutano wa Halmashauri ya Wilaya ya Kisarawe mbele  ya  Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe Mheshimiwa Happiness Seneda na kuhudhuriwa na wanavikundi zaidi ya 411 pamoja na viongozi mbalimbali wa chama na Serikali.

Akiongea katika zoezi hilo Mkuu wa Wilaya Mheshimiwa Happiness  Seneda amewapongeza wanavikundi na kuwaasa kutumia fedha walizokopeshwa kwenye malengo yaliyokusudiwa  na kuwahamasisha waongeze juhudi ili waweze kusonga mbele  na hatimaye waweze kukua na kuweza kupata  mikopo mikubwa kutoka katika Taasisi za fedha kama vile benki.

Vilevile Mkuu wa Wilaya amewaasa wanavikundi kurejesha fedha walizokopa ili iweze kuwezesha mfuko uwe na fedha nyingi zinazozunguka ikiwezekana   ifike hadi shilingi milioni mia tano.’’Hii ni fedha ya kukopa na sio msaada,hii ni fedha iliyotolewa kwa ajili ya miradi iliyokusudiwa na siyo ya kununulia madela,sare au kucheza ngoma” amesema Mheshimiwa Hapiness  Seneda.

Jumla ya vikundi 49 vyenye wanachama 411 vimepitishwa na kupewa mikopo ya jumla ya shilingi 102,204,000/= ambapo vikundi 41 vya wanawake vimepewa kiasi cha shilingi 73,500,000/= ,vikundi vya vijana 7 ambavyo vimepewa shilingi 26,704,000/= na kikundi kimoja cha Walemavu kimepata mkopo  wa shilingi 2,000,000/=.

Announcements

  • Wito Kwenye Mafunzo ya Uboreshaji wa Daftari tarehe 10-11/02/2025 Minaki Sekondari. February 07, 2025
  • Tangazo kwa Umma Kuhusu Uboreshaji wa Daftari la Mpiga Kura February 08, 2025
  • MKITANO WA BARAZA LA MADIWANI April 28, 2025
  • BARAZA LA MADIWANI NOVEMBA 2021 November 09, 2021
  • View All

Latest News

  • NIMEFURAHISHWA NA MMLIVYOJIPANGA KISARAWE CHATANDA NA ZAINABU

    May 08, 2025
  • OFISI YA MAKAMU WA PILI WA RAIS SERIKALI MAPINDUZI ZANZIBAR YAFANYA ZIARA YA KIKAZI WILAYA KISARAWE

    April 30, 2025
  • KISARAWE YAFANYA UTOAJI ELIMU YA DOZI YA NYONGEZA YA CHANJO YA SINDANO YA POLIO(IPV2)

    April 30, 2025
  • KUVUNJWA KWA BARAZA LA MADIWANI KISARAWE UONGOZI WAJIVUNIA KUKAMILISHA MIRADI MBALIMBALI KATIKA KIPINDI CHA MIAKA 5

    April 29, 2025
  • View All

Video

Kamati ya Fedha kutembelea Ujenzi wa Jengo Jipya la OPD Kisarawe Hospitali
More Videos

Quick Links

  • Natural Attractions
  • COMMUNITY HEALTH FUND
  • Kisarawe History
  • Photo Events in the Council
  • Rehabilitation of Theater Block
  • Council strategics
  • How to meet with District Chairman
  • Maelekezo jinsi ya kutumia Mfumo wa FFARS
  • Councilors Name List and Phone Number

Related Links

  • President's Office Public Service, Management and Good Governance
  • The National Examinations Council Of Tanzania
  • President's Office Regional Administration and Local Government
  • The Higher Education Students’ Loans Board
  • PPRA
  • State House
  • Employment
  • National Bureau Of statistics
  • Salary slip potral
  • Government Website
  • Parliament
  • Mfumo wa Ununuzi wa Umma NeST
  • Mfumo wa Upimaji Utendaji kazi wa Watumishi wa Umma (ESS)

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

Free Visitor&Stat Counter

Location Map

Wasiliana nasi

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2017 Kisarawe District Council . All rights reserved.