• Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
    • Complaint |
Kisarawe District Council
Kisarawe District Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Kisarawe District Council

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
    • Core Values
    • Stategic
  • Administration
    • Structure
    • Departments
      • Administration and Human Resources
      • Planning and Statistics
      • Primary Education
      • Secondary Education
      • Agriculture and Irrigation
      • Livestock and Fisheries
      • Trade and Finance
      • Works and Fire Resque
      • Water
      • Land and Natural Resources
      • Community Development
      • Environment and Cleanliness
      • Health
    • Units
      • Legal
      • TEHAMA NA UHUSIANO
      • Internal Audit
      • Procurement and Supplier
      • Election
      • Beekeping
    • Programu
      • TASAF
      • UKIMWI
  • Investiments
    • Tourism Attractions
      • Traditional attractions
      • Cultural Attractions
      • Natural attractions
    • Agriculture
    • Pastoralism
    • Mineral
    • Teknolojia
    • Industries
  • Our Services
    • Health
    • Education
    • Water
    • Agriculture
    • livestock
  • Councillors
    • Councilors List
    • Council Committee
      • Finance, Administration and Planning
      • Economic, Construction and Environment
      • Council Multisectral Aids
      • Disciplinary
      • Social Welfare
    • Meeting Timetable
    • Chairman Timetable
  • Projects
    • Ongoing Projects
    • Completed Projects
    • Projects to be Implemented
  • Publications
    • By law
    • Customer Services Aggrement
    • Strategic Plan
    • Other Reports
    • Other Forms
    • Guidelines
  • Media Centre
    • Photo Gallery
    • Public Notice
    • Official and National Video
    • Press Release
    • Leaders Speech

VETA KUJENGA CHUO CHA KISASA KISARAWE

Posted on: February 14th, 2019

Jumla ya ekari mia mbili za ardhi zitatumika kujenga chuo cha Kisasa cha mafunzo mbalimbali ya elimu ya ustadi na ufundi kata ya kazimzumbwi kisarawe kitakacho simamiwa na chuo cha ufundi na ustadi (VETA) hayo yote yakiwa ni sehemu ya utekelezaji wa ilani ya chama cha mapinduzi (CCM) kwa wananchi wa kisarawe

 Akizungumza wakati wa utambulisho wa Bodi ya VETA kwa Uwongozi wa Wilaya ya kisarawe Mkurungenzi mtendaji wa Wilaya Kisarawe Ndg MUSSA GAMA Alisema kisarawe ina maeneo mengi ambayo yanahitaji kuendelezwa kwa uwekezaji wa kilimo,ujenzi wa viwanda pamoja na uwekezaji wa sekta elimu kama huu wa ujenzi wa chuo cha VETA unaotaka kuanza hapa kwetu kwani ndio uwekezaji wenye tija na manufaa kwa wana kisarawe

’’unapowekeza katika elimu unakua unakomboa taifa kwenda katika mafanikio ya kisasa ya ya kielimu hasa haya ya VETA na Tehama yanayokusudiwa kuanza kwetu maana yatakua na manufaa kwa taifa na kisarawe yote’’ alisema Gama

Alishukuru VETA kwa kukubali kujenga chuo hicho cha kisasa kisarawe kwani jamii hiyo itagomboka kwa kupata elimu na kupelekea kuondokana na umasikini wa maisha kwani jamii kubwa itakua na fursa nyingi za kielimu na taluma na ujuzi pamoja na vipaji mbalimbali  ambazo zimefundishwa katika chuo hicho cha VETA kisarawe.

Nae Mkurugenzi mtendaji wa VETA Dkt Pancra Bujulu alishukuru uwongozi wa wilaya ya kisarawe kwa kukubali kuwapatia eneo hilo ambalo watalitumia kwa ufanisi na mafanikio kama ambavyo imekusudiwa kwa jamii hiyo ya kisarawe na taifa kwa ujumla kwani wao kama VETA kwa sasa fedha za mradi huo tayari zipo tayari kwa ajili ya utekelezaji  tu wa ujenzi huo wa chuo kisarawe

‘’kwa niaba ya bodi ya VETA tunawashukuru sana uwongozi wa kisarawe kwa umoja wenu na ushirikiano katika kuwahudumia wananchi wenu katika kuwapatia huduma bora wanakisarawe sisi tunawahidi kukamilisha mradi huu kwa wakati’’ alisisitiza Dkt Bujulu

Mradi huu VETA utakapo kukamilika kujengwa kisarawe unategemewa kutoa mafunzo ya elimu ya Upishi,Ufundi Sanifu, Kilimo , Magari, Uwashi,Mapambo ,Mapishi,ushoni, Usafi,Mapokezi,Umeme, Sambamba na TEHAMA

Announcements

  • Wito Kwenye Mafunzo ya Uboreshaji wa Daftari tarehe 10-11/02/2025 Minaki Sekondari. February 07, 2025
  • Tangazo kwa Umma Kuhusu Uboreshaji wa Daftari la Mpiga Kura February 08, 2025
  • MKITANO WA BARAZA LA MADIWANI April 28, 2025
  • BARAZA LA MADIWANI NOVEMBA 2021 November 09, 2021
  • View All

Latest News

  • NIMEFURAHISHWA NA MMLIVYOJIPANGA KISARAWE CHATANDA NA ZAINABU

    May 08, 2025
  • OFISI YA MAKAMU WA PILI WA RAIS SERIKALI MAPINDUZI ZANZIBAR YAFANYA ZIARA YA KIKAZI WILAYA KISARAWE

    April 30, 2025
  • KISARAWE YAFANYA UTOAJI ELIMU YA DOZI YA NYONGEZA YA CHANJO YA SINDANO YA POLIO(IPV2)

    April 30, 2025
  • KUVUNJWA KWA BARAZA LA MADIWANI KISARAWE UONGOZI WAJIVUNIA KUKAMILISHA MIRADI MBALIMBALI KATIKA KIPINDI CHA MIAKA 5

    April 29, 2025
  • View All

Video

Kamati ya Fedha kutembelea Ujenzi wa Jengo Jipya la OPD Kisarawe Hospitali
More Videos

Quick Links

  • Natural Attractions
  • COMMUNITY HEALTH FUND
  • Kisarawe History
  • Photo Events in the Council
  • Rehabilitation of Theater Block
  • Council strategics
  • How to meet with District Chairman
  • Maelekezo jinsi ya kutumia Mfumo wa FFARS
  • Councilors Name List and Phone Number

Related Links

  • President's Office Public Service, Management and Good Governance
  • The National Examinations Council Of Tanzania
  • President's Office Regional Administration and Local Government
  • The Higher Education Students’ Loans Board
  • PPRA
  • State House
  • Employment
  • National Bureau Of statistics
  • Salary slip potral
  • Government Website
  • Parliament
  • Mfumo wa Ununuzi wa Umma NeST
  • Mfumo wa Upimaji Utendaji kazi wa Watumishi wa Umma (ESS)

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

Free Visitor&Stat Counter

Location Map

Wasiliana nasi

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2017 Kisarawe District Council . All rights reserved.