• Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
    • Complaint |
Kisarawe District Council
Kisarawe District Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Kisarawe District Council

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
    • Core Values
    • Stategic
  • Administration
    • Structure
    • Departments
      • Administration and Human Resources
      • Planning and Statistics
      • Primary Education
      • Secondary Education
      • Agriculture and Irrigation
      • Livestock and Fisheries
      • Trade and Finance
      • Works and Fire Resque
      • Water
      • Land and Natural Resources
      • Community Development
      • Environment and Cleanliness
      • Health
    • Units
      • Legal
      • TEHAMA NA UHUSIANO
      • Internal Audit
      • Procurement and Supplier
      • Election
      • Beekeping
    • Programu
      • TASAF
      • UKIMWI
  • Investiments
    • Tourism Attractions
      • Traditional attractions
      • Cultural Attractions
      • Natural attractions
    • Agriculture
    • Pastoralism
    • Mineral
    • Teknolojia
    • Industries
  • Our Services
    • Health
    • Education
    • Water
    • Agriculture
    • livestock
  • Councillors
    • Councilors List
    • Council Committee
      • Finance, Administration and Planning
      • Economic, Construction and Environment
      • Council Multisectral Aids
      • Disciplinary
      • Social Welfare
    • Meeting Timetable
    • Chairman Timetable
  • Projects
    • Ongoing Projects
    • Completed Projects
    • Projects to be Implemented
  • Publications
    • By law
    • Customer Services Aggrement
    • Strategic Plan
    • Other Reports
    • Other Forms
    • Guidelines
  • Media Centre
    • Photo Gallery
    • Public Notice
    • Official and National Video
    • Press Release
    • Leaders Speech

'Mkaa Ni Gharama,Tumia Nishati Mbadala'

Posted on: June 4th, 2018

Mazingira ni jumla ya mambo na vitu vyote vinavyomzunguka kiumbe hai.Hii inamaanisha kuwa kila kitu kinachomzunguka kiumbe hai na kinachosababisha uwepo na uendelezaji wa uhai ni mazingira.

Viumbe hai vinategemea mazingira,hata viumbe visivyo hai pia hutegemea mazingira yaani inajumuisha ardhi ,maji,hewa uoto, na vinginevyo ambapo kwa umoja wake unasababisha uhai uwepo na uendelee.Kwa misingi hii ni wajibu wetu kupambana kuhifadhi na kulinda mazingira endapo tunahitaji kuishi na kuendeleza uhai kwa vizazi vijavyo.

Juhudi tunazoziimarisha na kuamsha ari kubwa miongoni mwetu kwa  wanajamii katika kulinda mazingira kunaakisi umuhimu na tija katika maendeleo ya viwanda.

Madhara makubwa ya kuendelea kuharibu mazingira yetu na athari zitokananzo na uharibifu huu zinafanya jamii zetu zipate maumivu ambayo yanasababishwa na sisi wenyewe kutokana na  ukosefu wa maarifa, ujinga na kutojali ingawa athari zake hazihitaji kutumia darubini kutambua kuwa tumetafuta majanga haya wenyewe.

Tujiulize kwa nini watu wanaharibu mazingira? Kitu gani kinasababisha tuharibu mazingira yetu? Je ni jinai kuharibu mazingira yetu ? Ukweli usiojificha  ni kuwa  ukataji wa miti usiozingatia sheria ni mwiba mchungu kwa maendeleo ya taifa hili.

Takwimu zinaonyesha kuwa kwa siku moja zaidi ya  ekari elfu kumi (10,000) zinaharibiwa kwa ajili ya matumizi ya mkaa na matumizi mengine hapa nchini. Asilimia tisini (90%) ya watanzania wanatumia mkaa ambapo asilimia themanini na tano (85%) ya matumizi ya mkaa huo hutumiwa na wakazi wanaoishi jijini Dar es Salaam.

Zipo sababu zinazofanya watanzania wengi watumie nishati ya  mkaa na baadhi yake ni utamaduni na mazoea . Mazoea katika kutumia nishati ya mkaa huamini kuwa mkaa huivisha chakula vizuri kama maharage,wali nk.kulinganisha na nishati ya gesi au umeme.mazoea/utamaduni  haya hupelekea hata watu wenye kipato cha kati kupendelea kutumia nishati hii japo inaharibu mazingira.

Sababu nyingine inayochangia watu waendelee kutumia nishati ya mkaa ni nguvu ya soko (biashara) ambapo soko la mkaa ni jepesi na ni rahisi kuiendesha kulingana na mazingira yetu na pia ni rahisi kwa gharama kulinganisha na nishati nyinginezo jambo ambalo si la kweli kiuhalisia

Kipato duni ni sababu nyingine kwani nishati mbadala imeonekana ni ghali sana hali hii hupelekea watu wengi kutumia mkaa na ukweli ni kwamba kipato cha watanzania wengi hasa wale wa maeneo ya ya vijijini ambao ndio watumiaji wakubwa wakubwa wa nishatiya kuni na mkaa.

Pamoja na sababu zote zilizoorodheshwa zinazosababisha ukataji wa mkaa bado sisi kama wana mazingira hatuziafiki na hatukubaliani nazo, kwani zipo njia nyingi na rahisi ambazo tukitumia tunaweza kutimiza mahitaji yetu na pia kulinda mazingira.

Njia rahisi ni kutumia nishati mbadala.Nishati ambazo haziwezi kuharibu mazingira na zimependekezwa na wanamazingira na wataalamu kuwa zinafaa.Nishati hizo zaweza kuwa Nishati ya gesi, Nishati ya jua (Solar power), Umeme, Bayogesi (nishati inayotokana na uozo wa masalia mbalimbali ya vyakula na hata vinyesi vya wanyama) na nishati ya mkaa unaotokana na masalia ya uchafu/takataka za nyumbani mfano vifuu vya nazi,pumba za mbao,maganda ya korosho na mabunzi ya mahindi.

Napenda kunukuu kauli ya mwalimu ambaye pia alikuwa ni Rais wa kwanza wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Hayati Julius Nyerere kuwa ‘’Elewa  kuna kitu kinaitwa wizi,wizi wote ni mbaya,lakini wizi mbaya kupita wote ni kumuibia mtoto wako ambaye hajazaliwa,ni kumuibia mjukuu,unaiba mali yake.Na kuharibu mazingira ni kuiba mali ya vizazi ambavyo havijazaliwa.Wewe umekuta mlima ule una miti mizuri,umerithishwa wewe na wale waliokutangulia,wamekupa mazingira mazuri ya miti yana miti mizuri,inaleta hewa nzuri na inasaidia kuleta mvua.Wewe kwa ujinga wako unaharibu miti ile,watoto wako na wajukuu wako wanaokuja baadae wanakuta hali si nzuri kama uliyokuwa nayo,Umewaibia!Mwizi weye!Mwizi! Tupande miti!!’’

Mikakati yetu wanamazingira,hasa tunaotoka maenea ambayo yameathiriwa kwa kiasi kikubwa na uharibifu wa mazingira hasa unaotokana na mkaa .Sisi wana wa Kisarawe Mkoa wa Pwani tumeazimia kutoa elimu kwa jamii kuhusu athari za matumizi ya mkaa,uundaji wa vikundi vidogo vidogo vya mazingira katika vitongoji na mashuleni na kamati ndogo za moto za vijiji.

Pia kuweka mikakati ya pamoja kwa kushirikiana na taasisi nyinginezo mfano TFS,WWF,Wizara ya Nishati na Madini NG’Os na CBO’s na kufanya makongamano mbalimbali katika kuhamasisha jamii juu ya matumizi bora ya nishati mbadala.

Kuwatambua wadau wanaotoa mchango wa kutunza na kuhifadhi mazingira kiwilaya ili kuweza kushirikiana nao katika shughuli mbalimbali za simamizi na uhifadhi wa mazingira ikiwezekana kuwapa  motisha.

Halmashauri kushirikiana na wizara yenye dhamana ya mazingira na maliasili kuyatambua na kutenga maeneo ya hifadhi ili kunusuru uoto na ikolojia yake isiendelee kuharibiwa.

By dkambanyuma

 

 

Announcements

  • Wito Kwenye Mafunzo ya Uboreshaji wa Daftari tarehe 10-11/02/2025 Minaki Sekondari. February 07, 2025
  • Tangazo kwa Umma Kuhusu Uboreshaji wa Daftari la Mpiga Kura February 08, 2025
  • MKITANO WA BARAZA LA MADIWANI April 28, 2025
  • BARAZA LA MADIWANI NOVEMBA 2021 November 09, 2021
  • View All

Latest News

  • NIMEFURAHISHWA NA MMLIVYOJIPANGA KISARAWE CHATANDA NA ZAINABU

    May 08, 2025
  • OFISI YA MAKAMU WA PILI WA RAIS SERIKALI MAPINDUZI ZANZIBAR YAFANYA ZIARA YA KIKAZI WILAYA KISARAWE

    April 30, 2025
  • KISARAWE YAFANYA UTOAJI ELIMU YA DOZI YA NYONGEZA YA CHANJO YA SINDANO YA POLIO(IPV2)

    April 30, 2025
  • KUVUNJWA KWA BARAZA LA MADIWANI KISARAWE UONGOZI WAJIVUNIA KUKAMILISHA MIRADI MBALIMBALI KATIKA KIPINDI CHA MIAKA 5

    April 29, 2025
  • View All

Video

Kamati ya Fedha kutembelea Ujenzi wa Jengo Jipya la OPD Kisarawe Hospitali
More Videos

Quick Links

  • Natural Attractions
  • COMMUNITY HEALTH FUND
  • Kisarawe History
  • Photo Events in the Council
  • Rehabilitation of Theater Block
  • Council strategics
  • How to meet with District Chairman
  • Maelekezo jinsi ya kutumia Mfumo wa FFARS
  • Councilors Name List and Phone Number

Related Links

  • President's Office Public Service, Management and Good Governance
  • The National Examinations Council Of Tanzania
  • President's Office Regional Administration and Local Government
  • The Higher Education Students’ Loans Board
  • PPRA
  • State House
  • Employment
  • National Bureau Of statistics
  • Salary slip potral
  • Government Website
  • Parliament
  • Mfumo wa Ununuzi wa Umma NeST
  • Mfumo wa Upimaji Utendaji kazi wa Watumishi wa Umma (ESS)

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

Free Visitor&Stat Counter

Location Map

Wasiliana nasi

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2017 Kisarawe District Council . All rights reserved.