MKURUGENZI MTENDAJI WA HALMASHAURI YA WILAYA YA KISARAWE ANAWAJULISHA WANANCHI WOTE WA KISARAWE KUHUDHURIA MKUTANO WA HALMASHAURI ( BARAZA LA MADIWANI) TAREHE 12/12/2019 SIKU YA ALHAMISI KUANZA SAA 4 ASUBUHI KATIKA UKUMBI WA HALMASHAURI YA WILAYA YA KISARAWE. WOTE MNAKARIBISHWA.