WAZIRI DKT JAFO AFUNGA MTAA AKICHUKUA FOMU YA INEC JIMBO LA KISARAWE AMUOMBEA KURA DKT SAMIA MADIWANI 17 KISARAWE
KISARAWE
Msimamizi wa uchaguzi Bi.Sabra Charles Mwankenja amepokea utambulisho wa wagombea wa nafasi ya ubunge jimbo la kisarawe kupitia chama cha Mapinduzi CCM Ndg Selemani Saidi Jafo jumapili 24 agosti 2025,
![]() |
![]() |
gumza katika ofisi ya tume ya uchaguzi Bi.sabra mwakenja amewaomba wagombea waliohidhinishwa na vyama vyao kuchukua fomu katika ofisi ya tume ya uchaguzi katika jimbo la kisarawe
![]() |
![]() |
"Niwaombe watia nia wote ambao wameridhiwa na vyama vyao vya kisiasa waje kuchukua fomu ya kugombea ubunge katika jimbo la kisarawe katika ofisi zetu za tume"
Aidha Bi.Sabra Mwakenja pamoja na maafisa mbalimbali wa tume ya uchaguzi wameahidi kutoa ushirikiano wa kutosha kwa wagombea wote lakini pia amewataka wagombea kufanya uchaguzi kwa amani na utulivu
![]() |
![]() |
Mgombea ubunge kupitia Chama Cha Mapinduzi CCM amechukua fomu kwa kusindikizwa na wanachama na madiwani wateule.
Hakimiliki © 2017 Halmashauri ya Wilaya ya Kisarawe. Haki zote zimehifadhiwa