MKURUGENZI MTENDAJI WA HALMASHAURI YA WILAYA YA KISARAWE ANAWAJULISHA WANANCHI WOTE WA KISARAWE KUHUDHURIA MKUTANO WA HALMASHAURI ( BARAZA LA MADIWANI) TAREHE 17/02/2021 SIKU YA JUMATANO KUANZA SAA 4 ASUBUHI KATIKA UKUMBI WA HALMASHAURI YA WILAYA YA KISARAWE. WOTE MNAKARIBISHWA.