Kwa ujenzi salama fika katika ofisi ya ardhi ukiwa na hati ya umiliki wa kiwanja ili kihakikiwe na kupewa ushauri zaidi.