• Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
    • Complaint |
Kisarawe District Council
Kisarawe District Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Kisarawe District Council

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
    • Core Values
    • Stategic
  • Administration
    • Structure
    • Departments
      • Administration and Human Resources
      • Planning and Statistics
      • Primary Education
      • Secondary Education
      • Agriculture and Irrigation
      • Livestock and Fisheries
      • Trade and Finance
      • Works and Fire Resque
      • Water
      • Land and Natural Resources
      • Community Development
      • Environment and Cleanliness
      • Health
    • Units
      • Legal
      • TEHAMA NA UHUSIANO
      • Internal Audit
      • Procurement and Supplier
      • Election
      • Beekeping
    • Programu
      • TASAF
      • UKIMWI
  • Investiments
    • Tourism Attractions
      • Traditional attractions
      • Cultural Attractions
      • Natural attractions
    • Agriculture
    • Pastoralism
    • Mineral
    • Teknolojia
    • Industries
  • Our Services
    • Health
    • Education
    • Water
    • Agriculture
    • livestock
  • Councillors
    • Councilors List
    • Council Committee
      • Finance, Administration and Planning
      • Economic, Construction and Environment
      • Council Multisectral Aids
      • Disciplinary
      • Social Welfare
    • Meeting Timetable
    • Chairman Timetable
  • Projects
    • Ongoing Projects
    • Completed Projects
    • Projects to be Implemented
  • Publications
    • By law
    • Customer Services Aggrement
    • Strategic Plan
    • Other Reports
    • Other Forms
    • Guidelines
  • Media Centre
    • Photo Gallery
    • Public Notice
    • Official and National Video
    • Press Release
    • Leaders Speech

BILIONI MOJA ZA P4R KUBORESHA MIUNDO MBINU YA AFYA NA ELIMU KISARAWE

Posted on: February 20th, 2019

Mkurugenzi mtendaji wa Halmashauri ya wilaya ya kisarawe katika kutekeleza ilani ya chama cha mapinduzi kwa vitendo ameipatia jumla ya shilingi milioni arobaini na nne laki nne, shule ya sekondari makurunge kwa ajili ya kujenga vyumba viwili vya madarasa mapya ya shule hiyo inayokabiliwa na uhaba wa madarasa ya kusomea wanafunzi iliyopo katika kata ya kiluvya tarafa ya sungwi

Akizungumza katika kikao cha elimu elekezi na uhamasishaji ujenzi wa mradi huo juu ya hatua za kufuata katika sharia ya manunuzi na ujenzi wa madarasa  hayo ya vyumba viwili hapo makurunge afisa elimu sekondari wilaya mwalimu PATRIK GWIVAHA

“Alisema kwamba kwa ujumla huduma ya sekta ya elimu na afya inakua kila siku hivyo nayo mahitaji yake yanakua maana miundo mbinu iliyopo ni kidogo ukilinganisha na mahitaji ya sasa hivyo maboresho ni lazima yalingane na mahitaji na ndio maana Mkurugenzi wilaya akaamua kuipatia fedha shule hii ili kukabiliana na changamoto zlizopo makurunge”

“Ndugu zangu tupo hapa kuwakilisha kile ambacho mkurugenzi amekileta kwa wana makurunge ili kukabiliana na changamoto ya elimu na kuinua sekta  ya elimu kwa kusimamia maendeleo ya elimu kwa vijana wetu”

Aidha Gwivaha aliitaka bodi ya shule hiyo  ya makurunge na kamati ya ujenzi kusimamia sharia na kanuni za ujenzi na manunuzi kwa mujibu wa sharia za serikali kama inavyoelekeza katika ujenzi wa miradi ya serikali ili kuepusha usumbufu na lawama kwa mamlaka za usimamizi za serikali,sambamba na kufikia lengo kuu la ujenzi wa  mradi huu wa kisasa.                                              

 ‘’Ndugu wajumbe wa kamati na bodi ya shule nakuombeni sana Muhimu Mushirikiane katika ujenzi huu ili kufanikisha mradi huu kwa shule yetu kwa kuwashirikisha watalamu wa wilaya hasa kwa idara ya manunuzi na ujenzi kwa kila hatua ya mradi ,’’alisisitiza Guivaha 

‘’ofisi ya Mkurugenzi ina watalamu hivyo naomba makurunge mushirikiane ili kuondosha urasimu wa katika ujenzi katika mradi huu ili uwe wa kitalamu kwa kuondosha minongono ya lawama baina ya watalaamu na wajumbe wa ujenzi wa  mradi huu’’

Naye Kaimu afisa manunuzi wa wilaya ndg Mussa Maganga  aliwambia wajumbe wa bodi na kamati ya ujenzi kuwa ofisi yake ipo tayari kutoa mashirikiano kwa manunuzi ya vifaa vya ujenzi kila hatua ya mradi ili kufikia lengo la mradi ambao unatarajiwa kuchukua muda wa miezi miwili kutoka sasa,

 ‘’Ndugu wa wajumbe muhimu tuzingatie sheria na kanuni za manunuzi na katika hili ofisi yangu itakua bega kwa bega na kamati teule katika kuhakikisha tunakamalisha mradi kwa wakati hapa makurunge ’’ alimalizia Maganga

 Naye kaimu Mhandisi wa majengo kisarawe Eng Ernest Maungo alisisitiza ushirikiano katika kufikia ujenzi bora wa Viwango vinavyohitajika kwa mujibu wa sheria za majengo ili kuleta  matokeo chanya ya majengo na miradi ya serikali inayopata fedha za mashirika au serikali pamoja na kuwashirikisha wananchi ili waweze kujua miradi iliyopo katika jamii yao,

 Jumla ya shilingi bilioni moja zitatumika  kujenga miundo mbinu ya elimu kwa shule za msingi na sekondari na sambabmba na vyoo na nyumba za walimu pamoja na vituo vya afya katika kata za msimbu,kibuta ,msanga,,mzenga ,masaki na vihingo kisarawe ambazo fedha hizo zintokana na mfuko wa PAY FOR RESULT (P4R),

Announcements

  • Wito Kwenye Mafunzo ya Uboreshaji wa Daftari tarehe 10-11/02/2025 Minaki Sekondari. February 07, 2025
  • Tangazo kwa Umma Kuhusu Uboreshaji wa Daftari la Mpiga Kura February 08, 2025
  • MKITANO WA BARAZA LA MADIWANI April 28, 2025
  • BARAZA LA MADIWANI NOVEMBA 2021 November 09, 2021
  • View All

Latest News

  • NIMEFURAHISHWA NA MMLIVYOJIPANGA KISARAWE CHATANDA NA ZAINABU

    May 08, 2025
  • OFISI YA MAKAMU WA PILI WA RAIS SERIKALI MAPINDUZI ZANZIBAR YAFANYA ZIARA YA KIKAZI WILAYA KISARAWE

    April 30, 2025
  • KISARAWE YAFANYA UTOAJI ELIMU YA DOZI YA NYONGEZA YA CHANJO YA SINDANO YA POLIO(IPV2)

    April 30, 2025
  • KUVUNJWA KWA BARAZA LA MADIWANI KISARAWE UONGOZI WAJIVUNIA KUKAMILISHA MIRADI MBALIMBALI KATIKA KIPINDI CHA MIAKA 5

    April 29, 2025
  • View All

Video

Kamati ya Fedha kutembelea Ujenzi wa Jengo Jipya la OPD Kisarawe Hospitali
More Videos

Quick Links

  • Natural Attractions
  • COMMUNITY HEALTH FUND
  • Kisarawe History
  • Photo Events in the Council
  • Rehabilitation of Theater Block
  • Council strategics
  • How to meet with District Chairman
  • Maelekezo jinsi ya kutumia Mfumo wa FFARS
  • Councilors Name List and Phone Number

Related Links

  • President's Office Public Service, Management and Good Governance
  • The National Examinations Council Of Tanzania
  • President's Office Regional Administration and Local Government
  • The Higher Education Students’ Loans Board
  • PPRA
  • State House
  • Employment
  • National Bureau Of statistics
  • Salary slip potral
  • Government Website
  • Parliament
  • Mfumo wa Ununuzi wa Umma NeST
  • Mfumo wa Upimaji Utendaji kazi wa Watumishi wa Umma (ESS)

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

Free Visitor&Stat Counter

Location Map

Wasiliana nasi

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2017 Kisarawe District Council . All rights reserved.