• Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
    • Complaint |
Kisarawe District Council
Kisarawe District Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Kisarawe District Council

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
    • Core Values
    • Stategic
  • Administration
    • Structure
    • Departments
      • Administration and Human Resources
      • Planning and Statistics
      • Primary Education
      • Secondary Education
      • Agriculture and Irrigation
      • Livestock and Fisheries
      • Trade and Finance
      • Works and Fire Resque
      • Water
      • Land and Natural Resources
      • Community Development
      • Environment and Cleanliness
      • Health
    • Units
      • Legal
      • TEHAMA NA UHUSIANO
      • Internal Audit
      • Procurement and Supplier
      • Election
      • Beekeping
    • Programu
      • TASAF
      • UKIMWI
  • Investiments
    • Tourism Attractions
      • Traditional attractions
      • Cultural Attractions
      • Natural attractions
    • Agriculture
    • Pastoralism
    • Mineral
    • Teknolojia
    • Industries
  • Our Services
    • Health
    • Education
    • Water
    • Agriculture
    • livestock
  • Councillors
    • Councilors List
    • Council Committee
      • Finance, Administration and Planning
      • Economic, Construction and Environment
      • Council Multisectral Aids
      • Disciplinary
      • Social Welfare
    • Meeting Timetable
    • Chairman Timetable
  • Projects
    • Ongoing Projects
    • Completed Projects
    • Projects to be Implemented
  • Publications
    • By law
    • Customer Services Aggrement
    • Strategic Plan
    • Other Reports
    • Other Forms
    • Guidelines
  • Media Centre
    • Photo Gallery
    • Public Notice
    • Official and National Video
    • Press Release
    • Leaders Speech

DC JOKETE ATAKA JAMII ISHIRIKI KATIKA UJENZI WA MIUNDO MBINU YA ELIMU KISARAWE

Posted on: February 19th, 2019


Katika kutekeleza kwa vitendo ilani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwa vitendo kisarawe mkuu wa wilaya Mhe jokete Mwegelo  ameitka jamii ya kisarawe kushiriki kwa vitendo katika ujenzi wa miundo mbinu ya elimu ili jamii iondokane na ujinga na kupata mafanikio ya haraka  akizungumza hayo katika zoezi la uhamasishaji wa jamii kushrikiki katika ujenzi wa miundo mbinu ya elimu ikiwemo  madarasa  na matundu ya choo katika kijiji cha vihingo Kata ya Vihingo na Mzenga   

 ‘’ifike wakati sisi jamii ndio tuwe wa kwanza kuanzisha miradi kisha ndio serikali iwekeze nguvu zake sasa ndio wakati wa sisi vihingo na mzenga kujitolea kupata miundo mbinu hii bora ya elimu hapa  tarafa ya mzenga na kisarawe’’ alisema Jokete

jamii inaposhiriki ipasavyo na kwa vitendo katika ujenzi wa miundo mbinu ya elimu huwa chachu ya kupata kilicho bora kabisa maana jamii huwa na uchungu nacho kutokana kuwekeza nguvu zao na huwa walinzi wakubwa hivyoo nitoe wito kwa wana kisarawe wote kuwa tayari kujitolea kwa hiari,  

 ‘’Nawagiza watendaji wa vijiji na kata kwa wale wote watakao kata kujitolea katika ujenzi huu wa taifa katika vijiji na kata ambao mradi ulipo fuateni  sheria ndogo za vijiji zilizotungwa katika jamii zetu kwa weledi kabsa ili kufikia nlengo la mradi kwa jamii kushiriki sawa’’ alisisitiza jokete

Jumla ya bilioni moja   zimetolewa kwa ajili ya shule ya msingi kola,mzenga, masaki,luhangai,vihingo na shule ya sekondari mzenga kimani,kibuta ambazo fedha hizo zinatokana na mradi wa Lipa kulingana na matokea P4R (pay for result)

Announcements

  • Wito Kwenye Mafunzo ya Uboreshaji wa Daftari tarehe 10-11/02/2025 Minaki Sekondari. February 07, 2025
  • Tangazo kwa Umma Kuhusu Uboreshaji wa Daftari la Mpiga Kura February 08, 2025
  • MKITANO WA BARAZA LA MADIWANI April 28, 2025
  • BARAZA LA MADIWANI NOVEMBA 2021 November 09, 2021
  • View All

Latest News

  • NIMEFURAHISHWA NA MMLIVYOJIPANGA KISARAWE CHATANDA NA ZAINABU

    May 08, 2025
  • OFISI YA MAKAMU WA PILI WA RAIS SERIKALI MAPINDUZI ZANZIBAR YAFANYA ZIARA YA KIKAZI WILAYA KISARAWE

    April 30, 2025
  • KISARAWE YAFANYA UTOAJI ELIMU YA DOZI YA NYONGEZA YA CHANJO YA SINDANO YA POLIO(IPV2)

    April 30, 2025
  • KUVUNJWA KWA BARAZA LA MADIWANI KISARAWE UONGOZI WAJIVUNIA KUKAMILISHA MIRADI MBALIMBALI KATIKA KIPINDI CHA MIAKA 5

    April 29, 2025
  • View All

Video

Kamati ya Fedha kutembelea Ujenzi wa Jengo Jipya la OPD Kisarawe Hospitali
More Videos

Quick Links

  • Natural Attractions
  • COMMUNITY HEALTH FUND
  • Kisarawe History
  • Photo Events in the Council
  • Rehabilitation of Theater Block
  • Council strategics
  • How to meet with District Chairman
  • Maelekezo jinsi ya kutumia Mfumo wa FFARS
  • Councilors Name List and Phone Number

Related Links

  • President's Office Public Service, Management and Good Governance
  • The National Examinations Council Of Tanzania
  • President's Office Regional Administration and Local Government
  • The Higher Education Students’ Loans Board
  • PPRA
  • State House
  • Employment
  • National Bureau Of statistics
  • Salary slip potral
  • Government Website
  • Parliament
  • Mfumo wa Ununuzi wa Umma NeST
  • Mfumo wa Upimaji Utendaji kazi wa Watumishi wa Umma (ESS)

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

Free Visitor&Stat Counter

Location Map

Wasiliana nasi

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2017 Kisarawe District Council . All rights reserved.