• Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
    • Complaint |
Kisarawe District Council
Kisarawe District Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Kisarawe District Council

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
    • Core Values
    • Stategic
  • Administration
    • Structure
    • Departments
      • Administration and Human Resources
      • Planning and Statistics
      • Primary Education
      • Secondary Education
      • Agriculture and Irrigation
      • Livestock and Fisheries
      • Trade and Finance
      • Works and Fire Resque
      • Water
      • Land and Natural Resources
      • Community Development
      • Environment and Cleanliness
      • Health
    • Units
      • Legal
      • TEHAMA NA UHUSIANO
      • Internal Audit
      • Procurement and Supplier
      • Election
      • Beekeping
    • Programu
      • TASAF
      • UKIMWI
  • Investiments
    • Tourism Attractions
      • Traditional attractions
      • Cultural Attractions
      • Natural attractions
    • Agriculture
    • Pastoralism
    • Mineral
    • Teknolojia
    • Industries
  • Our Services
    • Health
    • Education
    • Water
    • Agriculture
    • livestock
  • Councillors
    • Councilors List
    • Council Committee
      • Finance, Administration and Planning
      • Economic, Construction and Environment
      • Council Multisectral Aids
      • Disciplinary
      • Social Welfare
    • Meeting Timetable
    • Chairman Timetable
  • Projects
    • Ongoing Projects
    • Completed Projects
    • Projects to be Implemented
  • Publications
    • By law
    • Customer Services Aggrement
    • Strategic Plan
    • Other Reports
    • Other Forms
    • Guidelines
  • Media Centre
    • Photo Gallery
    • Public Notice
    • Official and National Video
    • Press Release
    • Leaders Speech

DC JOKETE,DK KIHAMIA ‘’WANANCHI KISARAWE KIBUTA JITOKEZENI KWA WINGI KATIKA KUANDIKISHWA DAFTARI LA UCHAGUZI’’

Posted on: March 27th, 2019

DC JOKETE,DK KIHAMIA ‘’WANANCHI KISARAWE KIBUTA JITOKEZENI KWA WINGI KATIKA KUANDIKISHWA  DAFTARI LA UCHAGUZI’’ 

Mkuu wa Wilaya Kisarawe Jokete Mwegelo ametoa wito wa kila raia  mwenye sifa ya kupiga kura kuandikishwa katika daftari la kupiga kura linaloanza kuandikishwa Kisarawe katika tarafa ya sungwi kata kibuta kwa muda wa siku saba kujitokeza kuandikishwa na wanachi wafuate sheria na kanuni ili wapate haki ya kuandikishwa katika daftari hilo la taifa,

Aidha ametoa wito kwa watalam wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi NEC kuendana na kasi na ufanisi wa kuandikisha watu kwa wakati ili kuepuka usumbufu wa kuwaacha watu wenye sifa za kuandikishwa katika daftari la wapigakura,

‘’imani yangu Nec mtatenda haki na watalamu watakua na kasi ya kuandikisha raia vizuri ili kuepusha manunguniko ya raia kuachwa katika kuandikishwa, ’’ alisitiza Jokete

Nae mkurugenzi wa tume ya taifa ya uchaguzi Dk Athuman Kihamia alimhakikishia mkuu wa wilaya kuwa watalamu wake  watafanya kazi hiyo kwa uweledi mkubwa hasa ikizingatiwa tume yangu ina vifaa bora na vya kisasa kwa kazi hiyo ya uandikishaji daftari la wapiga kura.

‘’Nikutoe hofu mheshimiwa mkuu wa wilaya vijana wangu wapo makini na watafanya kazi hii kwa weledi mkubwa na watazingatia mda ulio pangwa  muhimu wanachi wa kisarawe kibuta wajitokeze kwa wingi katika vituo vya kujiandikisha zoezi hili ni bure sio kwa pesa ila ni la muda mfupi mno’’ alisisitiza Dk Kihamia                                                       

‘’KISARAWE TUNATEKELEZA ILANI YA CCM’’

Announcements

  • MATOKEO YA USAILI WA KAZI YA MUDA YA UCHAGUZI NA TAREHE ZA MAFUNZO October 16, 2025
  • MATUKIO MUHIMU YA UKAGUZI WA MBIO ZA MAGARI KITUO CHA KISARAWE KAZIMZUMBWI June 28, 2025
  • Mikopo ya Elimu ya Juu kupitia Bodi ya Mikopo (HESLB) June 17, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI ZA MUDA ZA WATENDAJI WA VITUO VYA KUPIGIA KURA KWA AJILI YA UCHAGUZI MKUU WA MWAKA 2025 July 02, 2025
  • View All

Latest News

  • WATUMISHI WAPYA WAPATA MAFUNZO ELEKEZI YA UTUMISHI WA UMMA KISARAWE

    September 26, 2025
  • MALARIA KISARAWE HAIKUBALIKI DC MAGOTI

    September 24, 2025
  • KIKAO CHA WARSHA YA KUZUIA UKATILI DHIDI YA WATOTO WALIOKATISHA MASOMO WILAYA YA KISARAWE MWAKA 2025

    August 29, 2025
  • WAZIRI DKT JAFO AFUNGA MTAA AKICHUKUA FOMU YA INEC JIMBO LA KISARAWE AMUOMBEA KURA DKT SAMIA MADIWANI 17 KISARAWE

    August 24, 2025
  • View All

Video

Kamati ya Fedha kutembelea Ujenzi wa Jengo Jipya la OPD Kisarawe Hospitali
More Videos

Quick Links

  • Natural Attractions
  • COMMUNITY HEALTH FUND
  • Kisarawe History
  • Photo Events in the Council
  • Rehabilitation of Theater Block
  • Council strategics
  • How to meet with District Chairman
  • Maelekezo jinsi ya kutumia Mfumo wa FFARS
  • Councilors Name List and Phone Number

Related Links

  • President's Office Public Service, Management and Good Governance
  • The National Examinations Council Of Tanzania
  • President's Office Regional Administration and Local Government
  • The Higher Education Students’ Loans Board
  • PPRA
  • State House
  • Employment
  • National Bureau Of statistics
  • Salary slip potral
  • Government Website
  • Parliament
  • Mfumo wa Ununuzi wa Umma NeST
  • Mfumo wa Upimaji Utendaji kazi wa Watumishi wa Umma (ESS)

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

Free Visitor&Stat Counter

Location Map

Wasiliana nasi

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2017 Kisarawe District Council . All rights reserved.