• Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
    • Complaint |
Kisarawe District Council
Kisarawe District Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Kisarawe District Council

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
    • Core Values
    • Stategic
  • Administration
    • Structure
    • Departments
      • Administration and Human Resources
      • Planning and Statistics
      • Primary Education
      • Secondary Education
      • Agriculture and Irrigation
      • Livestock and Fisheries
      • Trade and Finance
      • Works and Fire Resque
      • Water
      • Land and Natural Resources
      • Community Development
      • Environment and Cleanliness
      • Health
    • Units
      • Legal
      • TEHAMA NA UHUSIANO
      • Internal Audit
      • Procurement and Supplier
      • Election
      • Beekeping
    • Programu
      • TASAF
      • UKIMWI
  • Investiments
    • Tourism Attractions
      • Traditional attractions
      • Cultural Attractions
      • Natural attractions
    • Agriculture
    • Pastoralism
    • Mineral
    • Teknolojia
    • Industries
  • Our Services
    • Health
    • Education
    • Water
    • Agriculture
    • livestock
  • Councillors
    • Councilors List
    • Council Committee
      • Finance, Administration and Planning
      • Economic, Construction and Environment
      • Council Multisectral Aids
      • Disciplinary
      • Social Welfare
    • Meeting Timetable
    • Chairman Timetable
  • Projects
    • Ongoing Projects
    • Completed Projects
    • Projects to be Implemented
  • Publications
    • By law
    • Customer Services Aggrement
    • Strategic Plan
    • Other Reports
    • Other Forms
    • Guidelines
  • Media Centre
    • Photo Gallery
    • Public Notice
    • Official and National Video
    • Press Release
    • Leaders Speech

DC MAGOTI APOKEA HATI HATI ZA KIMILA KUTOKA TANAPA

Posted on: July 29th, 2025

DC MAGOTI APOKEA HATI HATI ZA KIMILA KUTOKA TANAPA

Mkuu wa wilaya ya kisarawe mhe Petro Magoti leo tarehe 29-07-2025 amepokea hati za kimila kwa vijiji vitano vya Tarafa ya chole  Wilaya ya Kisarawe ikiwa ni sehemu ya utekelezaji wa mpango wa urasimishaji wa mipaka kati ya maeneo ya hifadhi na makazi ya wananchi.Akipokea hati hizo leo kutoka kwa COI-I.J.Epimack afisa mahusiano jamii wa tanapa  Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe,  amefuraishwa na kitendo hicho za kupokea hati hizo 1562.

Akizungumza wakati wa kukabidhiwa hati hizo  Mhe. Petro Magoti ameishukuru TANAPA kwa hatua hiyo muhimu na kueleza kuwa hati hizo zitasaidia kuondoa migogoro ya ardhi iliyodumu kwa muda mrefu. Alitoa wito kwa wananchi wa vijiji husika kuendelea kushirikiana na Serikali katika kulinda maeneo ya hifadhi na kutumia ardhi kwa shughuli endelevu za maendeleo ya kijamii kwa ujumla

Kwa upamde wake Afisa Mahusiano Jamii wa Tanapa Ndg Epimack alisema kuwa hatua hiyo ni mwendelezo wa juhudi za kuhakikisha jamii zinazoishi jirani na hifadhi zinakuwa na usalama wa umiliki wa ardhi na kunufaika na shughuli za maendeleo bila vikwazo vya mipaka. Aliongeza kuwa TANAPA itaendelea kushirikiana na viongozi wa wilaya na vijiji ili kuhakikisha ustawi wa wananchi unazingatiwa.

Inakadiliwa watu 1562 watanufainika na mpango huo  na Vijiji vilivyonufaika na mpango huu ni pamoja na Chole samvula, Kihare, Koresa,mafumbi na kwala, Mpango huu umelenga kutoa uhakika wa kumiliki ardhi kwa wananchi, kupunguza migogoro kati ya hifadhi na jamii, sambamba na kuimarisha usimamizi wa mazingira.

Ikumbukwe makabidhiano ayo yameshuhudiwa na baadhi ya maafisa pamoja na viongozi wa serikali ya wilaya ambapo TANAPA imeahidi kufuatilia matumizi ya eneo hilo ili kuhakikisha linaendelezwa kwa mujibu wa makubalianao huku serikali ya wilaya ikiahidi kutoa ushirikianao wa karibu kwa kuhakikisha eneo hilo linanufaisha wananchi wa kisarawe

Announcements

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI ZA MUDA ZA WATENDAJI WA VITUO VYA KUPIGIA KURA KWA AJILI YA UCHAGUZI MKUU WA MWAKA 2025 July 02, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI ZA МКАТАBA KWA WAKUSANYA MAPATO July 08, 2025
  • MATUKIO MUHIMU YA UKAGUZI WA MBIO ZA MAGARI KITUO CHA KISARAWE KAZIMZUMBWI June 28, 2025
  • Mikopo ya Elimu ya Juu kupitia Bodi ya Mikopo (HESLB) June 17, 2025
  • View All

Latest News

  • MKUU WA WILAYA YA KISARAWE AMEHITIMISHA RASMI MAFUNZO YA JESHI LA AKIBA (MGAMBO)KISARAWE

    August 08, 2025
  • RAS PWANI AFURAHISHWA NA MAONESHO YA NANENANE BANDA LA KISARAWE AHIDI KUFIKA KUJIONEA KWA VITENDO

    August 07, 2025
  • MSIMAMIZI WA UCHAGUZI JIMBO LA KISARAWE BIBI SABRA CHARLES MWANKENJA AMEFUNGA MAFUNZO YA SIKU TATU YA ARO KATA ASISITIZA UADILIFU NA USAFI

    August 07, 2025
  • DC MAGOTI APOKEA HATI HATI ZA KIMILA KUTOKA TANAPA

    July 29, 2025
  • View All

Video

Kamati ya Fedha kutembelea Ujenzi wa Jengo Jipya la OPD Kisarawe Hospitali
More Videos

Quick Links

  • Natural Attractions
  • COMMUNITY HEALTH FUND
  • Kisarawe History
  • Photo Events in the Council
  • Rehabilitation of Theater Block
  • Council strategics
  • How to meet with District Chairman
  • Maelekezo jinsi ya kutumia Mfumo wa FFARS
  • Councilors Name List and Phone Number

Related Links

  • President's Office Public Service, Management and Good Governance
  • The National Examinations Council Of Tanzania
  • President's Office Regional Administration and Local Government
  • The Higher Education Students’ Loans Board
  • PPRA
  • State House
  • Employment
  • National Bureau Of statistics
  • Salary slip potral
  • Government Website
  • Parliament
  • Mfumo wa Ununuzi wa Umma NeST
  • Mfumo wa Upimaji Utendaji kazi wa Watumishi wa Umma (ESS)

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

Free Visitor&Stat Counter

Location Map

Wasiliana nasi

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2017 Kisarawe District Council . All rights reserved.