• Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
    • Complaint |
Kisarawe District Council
Kisarawe District Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Kisarawe District Council

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
    • Core Values
    • Stategic
  • Administration
    • Structure
    • Departments
      • Administration and Human Resources
      • Planning and Statistics
      • Primary Education
      • Secondary Education
      • Agriculture and Irrigation
      • Livestock and Fisheries
      • Trade and Finance
      • Works and Fire Resque
      • Water
      • Land and Natural Resources
      • Community Development
      • Environment and Cleanliness
      • Health
    • Units
      • Legal
      • TEHAMA NA UHUSIANO
      • Internal Audit
      • Procurement and Supplier
      • Election
      • Beekeping
    • Programu
      • TASAF
      • UKIMWI
  • Investiments
    • Tourism Attractions
      • Traditional attractions
      • Cultural Attractions
      • Natural attractions
    • Agriculture
    • Pastoralism
    • Mineral
    • Teknolojia
    • Industries
  • Our Services
    • Health
    • Education
    • Water
    • Agriculture
    • livestock
  • Councillors
    • Councilors List
    • Council Committee
      • Finance, Administration and Planning
      • Economic, Construction and Environment
      • Council Multisectral Aids
      • Disciplinary
      • Social Welfare
    • Meeting Timetable
    • Chairman Timetable
  • Projects
    • Ongoing Projects
    • Completed Projects
    • Projects to be Implemented
  • Publications
    • By law
    • Customer Services Aggrement
    • Strategic Plan
    • Other Reports
    • Other Forms
    • Guidelines
  • Media Centre
    • Photo Gallery
    • Public Notice
    • Official and National Video
    • Press Release
    • Leaders Speech

DC NYANGASA,DED DOMINIC, WAZUNGUMZA NA WAFANYA BIASHARA,WADAU MBALIMBALI WATOA WITO MILANGO IPO WAZI

Posted on: February 8th, 2024

*DC NYANGASA,DED DOMINIC, WAZUNGUMZA NA WAFANYA BIASHARA,WADAU MBALIMBALI WATOA WITO MILANGO IPO WAZI*


KISARAWE PWANI.


Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe MHE FATMA NYANGASA  amewataka wafanya biashara mbalimbali kuuza bidhaa zao kisarawe ili kuwawezesha wananchi kumudu gharama za bidhaa hizo ndani ya Kisarawe,


*"Bidhaa zenu zifanyeni kwa uzuri  uzeni hata kama ni kwa faida ndogo Hapa Hapa kisarawe kwanza ili jamii nayo inufaike na uwepo wenu kisarawe wapeni wananchi faida ya kuwa Hapa kwa viwanda vyenu kama vya Chaki,saruji,wine nk"* alisisitiza MHE FATMA NYANGASA


Aidha kikao hicho Cha wafanyabiashara na Mkuu wa wilaya kisarawe, Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri Wilaya Kisarawe na Katibu Tawala Wilaya Kisarawe na Kamati ya ulinzi usalama ya Wilaya na Maafisa biashara wa Halmashauri kupitia kikao maalumu kilichoitishwa na mkuu wa Wilaya ya  Kisarawe MHE FATMA NYANGASA    ikiwa lengo ni kuwaweka karibu wafanyabiashara hao na Serikali ya Kisarawe,

Wakitoa michango yao baadhi ya Wafanya biashara walisema, Ndg ANTHONY KAYILA Kutoka  Solar  Nitro chemicals ltd BARUTI amempongeza MHE FATMA NYANGASA Pamoja na Mkurugenzi kwa Kuwasikiliza Kwa Karibu hoja zao kama Wafanya biashara wa kisarawe,


Aidha  Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya Kisarawe Ndg BEATRICE DOMINIC alisema, ni wajibu wa wafanyaniashara kuzingatia Kulipa kodi na si vinginevyo kwa faida ya Maendeleo ya Kisarawe.


Matukio mbalimbali ya picha wakati wa kikao baina ya Mkuu wa wilaya kisarawe MHE FATMA NYANGASA Pamoja na Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Wilaya Kisarawe Katibu Tawala Wilaya Kisarawe Wataalamu mbalimbali Wafanyabiashara Katika ukumbi wa mikutano wa Halmashauri Wilaya Kisarawe leo 08/02/2024.

Announcements

  • Wito Kwenye Mafunzo ya Uboreshaji wa Daftari tarehe 10-11/02/2025 Minaki Sekondari. February 07, 2025
  • Tangazo kwa Umma Kuhusu Uboreshaji wa Daftari la Mpiga Kura February 08, 2025
  • MKITANO WA BARAZA LA MADIWANI April 28, 2025
  • BARAZA LA MADIWANI NOVEMBA 2021 November 09, 2021
  • View All

Latest News

  • NIMEFURAHISHWA NA MMLIVYOJIPANGA KISARAWE CHATANDA NA ZAINABU

    May 08, 2025
  • OFISI YA MAKAMU WA PILI WA RAIS SERIKALI MAPINDUZI ZANZIBAR YAFANYA ZIARA YA KIKAZI WILAYA KISARAWE

    April 30, 2025
  • KISARAWE YAFANYA UTOAJI ELIMU YA DOZI YA NYONGEZA YA CHANJO YA SINDANO YA POLIO(IPV2)

    April 30, 2025
  • KUVUNJWA KWA BARAZA LA MADIWANI KISARAWE UONGOZI WAJIVUNIA KUKAMILISHA MIRADI MBALIMBALI KATIKA KIPINDI CHA MIAKA 5

    April 29, 2025
  • View All

Video

Kamati ya Fedha kutembelea Ujenzi wa Jengo Jipya la OPD Kisarawe Hospitali
More Videos

Quick Links

  • Natural Attractions
  • COMMUNITY HEALTH FUND
  • Kisarawe History
  • Photo Events in the Council
  • Rehabilitation of Theater Block
  • Council strategics
  • How to meet with District Chairman
  • Maelekezo jinsi ya kutumia Mfumo wa FFARS
  • Councilors Name List and Phone Number

Related Links

  • President's Office Public Service, Management and Good Governance
  • The National Examinations Council Of Tanzania
  • President's Office Regional Administration and Local Government
  • The Higher Education Students’ Loans Board
  • PPRA
  • State House
  • Employment
  • National Bureau Of statistics
  • Salary slip potral
  • Government Website
  • Parliament
  • Mfumo wa Ununuzi wa Umma NeST
  • Mfumo wa Upimaji Utendaji kazi wa Watumishi wa Umma (ESS)

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

Free Visitor&Stat Counter

Location Map

Wasiliana nasi

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2017 Kisarawe District Council . All rights reserved.