• Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
    • Complaint |
Kisarawe District Council
Kisarawe District Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Kisarawe District Council

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
    • Core Values
    • Stategic
  • Administration
    • Structure
    • Departments
      • Administration and Human Resources
      • Planning and Statistics
      • Primary Education
      • Secondary Education
      • Agriculture and Irrigation
      • Livestock and Fisheries
      • Trade and Finance
      • Works and Fire Resque
      • Water
      • Land and Natural Resources
      • Community Development
      • Environment and Cleanliness
      • Health
    • Units
      • Legal
      • TEHAMA NA UHUSIANO
      • Internal Audit
      • Procurement and Supplier
      • Election
      • Beekeping
    • Programu
      • TASAF
      • UKIMWI
  • Investiments
    • Tourism Attractions
      • Traditional attractions
      • Cultural Attractions
      • Natural attractions
    • Agriculture
    • Pastoralism
    • Mineral
    • Teknolojia
    • Industries
  • Our Services
    • Health
    • Education
    • Water
    • Agriculture
    • livestock
  • Councillors
    • Councilors List
    • Council Committee
      • Finance, Administration and Planning
      • Economic, Construction and Environment
      • Council Multisectral Aids
      • Disciplinary
      • Social Welfare
    • Meeting Timetable
    • Chairman Timetable
  • Projects
    • Ongoing Projects
    • Completed Projects
    • Projects to be Implemented
  • Publications
    • By law
    • Customer Services Aggrement
    • Strategic Plan
    • Other Reports
    • Other Forms
    • Guidelines
  • Media Centre
    • Photo Gallery
    • Public Notice
    • Official and National Video
    • Press Release
    • Leaders Speech

DKT JAFO AFUNGUA MAONESHO YA NNE MKOA WA PWANI YA BIASHARA VIWANDA NA UWEKEZAJI ATAKA YAWE YA KITAIFA

Posted on: December 17th, 2024

DKT JAFO AFUNGUA MAONESHO YA NNE MKOA WA PWANI YA BIASHARA VIWANDA NA UWEKEZAJI ATAKA YAWE YA KITAIFA


KIBAHA.

Waziri wa Viwanda na Biashara Dkt. Selemani Jafo ametoa maagizo kwa Katibu wa Wizara ya Viwanda na Biashara kuhakikisha kuwa maonesho ya Biashara na Uwekezaji Mkoa wa Pwani  yanakuwa maonesho ya kitaifa kwa kushirikiana na mkoa wa Pwani Katika  kuandaa maonesho hayo kila mwaka kuanzia Mwakani 2025,

Akizungumza Leo wakati wa  Desemba 17, 2024 wakati akifungua maonesho ya Biashara, Viwanda na Uwekezaji yanayofanyika Kibaha mkoani Pwani Katika viwanja vya Maonesho hayo kibaha meli moja,

Hata hivyo ametoa wito kwa Watanzania kupenda bidhaa zinazozalishwa nchini ili kusaidia kukuza sekta ya uwekezaji, pamoja na kuzitaka taasisi zinazojihusisha na masuala ya biashara na uwekezaji kuhakikisha zinaweka jitihada kwa kuwa wawezeshaji badala ya kukwamisha katika mchakato wa kuanzishwa kwa Viwanda na uzalishaji bidhaa.

"Nitoe WITO kwa watanzania wakati wa Kupenda bidhaa zetu ni Sasa maana zinazalishwa kwa viwango na Teknologia ya kisasa ambazo zinakizi masoko ya kimataifa kama Ulaya,Amerika,Asia nk" alisisitiza Dkt Jafo


Nae  Mkuu wa Mkoa wa Pwani Mhe. Abubakar Kunenge ameeleza kuwa mkoa unatarajia kuongeza viwanda kwa asilimia 30 ili kuendelea kuchangia kukuza zaidi sekta ya uwekezaji nchini kutoka Pwani,

Mkoa wa Pwani una jumla ya viwanda 1533, ambapo zaidi ya viwanda vipya 131 vimejengwa  kwa kipindi cha miaka minne na haya ni Maonesho ya NNE tokea kuasisiwa kwake,


Hata hivyo aliwataka uwongozi wa Halmashauri ya Wilaya Kisarawe kutangaza Eneo la Uwekezaji wa Viwanda la Visegese industry Park lililopo kata ya kazimbubwi,

Kauli mbiu ya Mwaka 2024 "PWANI SEHEMU SAHIHI YA UWEKEZAJI"

Announcements

  • Wito Kwenye Mafunzo ya Uboreshaji wa Daftari tarehe 10-11/02/2025 Minaki Sekondari. February 07, 2025
  • Tangazo kwa Umma Kuhusu Uboreshaji wa Daftari la Mpiga Kura February 08, 2025
  • MKITANO WA BARAZA LA MADIWANI April 28, 2025
  • BARAZA LA MADIWANI NOVEMBA 2021 November 09, 2021
  • View All

Latest News

  • NIMEFURAHISHWA NA MMLIVYOJIPANGA KISARAWE CHATANDA NA ZAINABU

    May 08, 2025
  • OFISI YA MAKAMU WA PILI WA RAIS SERIKALI MAPINDUZI ZANZIBAR YAFANYA ZIARA YA KIKAZI WILAYA KISARAWE

    April 30, 2025
  • KISARAWE YAFANYA UTOAJI ELIMU YA DOZI YA NYONGEZA YA CHANJO YA SINDANO YA POLIO(IPV2)

    April 30, 2025
  • KUVUNJWA KWA BARAZA LA MADIWANI KISARAWE UONGOZI WAJIVUNIA KUKAMILISHA MIRADI MBALIMBALI KATIKA KIPINDI CHA MIAKA 5

    April 29, 2025
  • View All

Video

Kamati ya Fedha kutembelea Ujenzi wa Jengo Jipya la OPD Kisarawe Hospitali
More Videos

Quick Links

  • Natural Attractions
  • COMMUNITY HEALTH FUND
  • Kisarawe History
  • Photo Events in the Council
  • Rehabilitation of Theater Block
  • Council strategics
  • How to meet with District Chairman
  • Maelekezo jinsi ya kutumia Mfumo wa FFARS
  • Councilors Name List and Phone Number

Related Links

  • President's Office Public Service, Management and Good Governance
  • The National Examinations Council Of Tanzania
  • President's Office Regional Administration and Local Government
  • The Higher Education Students’ Loans Board
  • PPRA
  • State House
  • Employment
  • National Bureau Of statistics
  • Salary slip potral
  • Government Website
  • Parliament
  • Mfumo wa Ununuzi wa Umma NeST
  • Mfumo wa Upimaji Utendaji kazi wa Watumishi wa Umma (ESS)

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

Free Visitor&Stat Counter

Location Map

Wasiliana nasi

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2017 Kisarawe District Council . All rights reserved.