• Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
    • Complaint |
Kisarawe District Council
Kisarawe District Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Kisarawe District Council

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
    • Core Values
    • Stategic
  • Administration
    • Structure
    • Departments
      • Administration and Human Resources
      • Planning and Statistics
      • Primary Education
      • Secondary Education
      • Agriculture and Irrigation
      • Livestock and Fisheries
      • Trade and Finance
      • Works and Fire Resque
      • Water
      • Land and Natural Resources
      • Community Development
      • Environment and Cleanliness
      • Health
    • Units
      • Legal
      • TEHAMA NA UHUSIANO
      • Internal Audit
      • Procurement and Supplier
      • Election
      • Beekeping
    • Programu
      • TASAF
      • UKIMWI
  • Investiments
    • Tourism Attractions
      • Traditional attractions
      • Cultural Attractions
      • Natural attractions
    • Agriculture
    • Pastoralism
    • Mineral
    • Teknolojia
    • Industries
  • Our Services
    • Health
    • Education
    • Water
    • Agriculture
    • livestock
  • Councillors
    • Councilors List
    • Council Committee
      • Finance, Administration and Planning
      • Economic, Construction and Environment
      • Council Multisectral Aids
      • Disciplinary
      • Social Welfare
    • Meeting Timetable
    • Chairman Timetable
  • Projects
    • Ongoing Projects
    • Completed Projects
    • Projects to be Implemented
  • Publications
    • By law
    • Customer Services Aggrement
    • Strategic Plan
    • Other Reports
    • Other Forms
    • Guidelines
  • Media Centre
    • Photo Gallery
    • Public Notice
    • Official and National Video
    • Press Release
    • Leaders Speech

Feed The Children Yawawezesha Wanafunzi kupata Lishe Bora Wilaya Ya Kisarawe.

Posted on: July 20th, 2018

Shirika lisilo la serikali la FEED THE CHILDREN limeendelea kuwawezesha wananchi na wanafunzi wa Wilaya ya kisarawe katika kutoa huduma mbalimbali za kijamii ambapo kwa sasa wamefanikiwa kuwawezesha wanafunzi wa shule za msingi wanaosoma katika wilaya ya kisarawe kwa kuwapatia ng’ombe wa maziwa.

Kwa sasa Feed the Children wamegawa ng’ombe wa maziwa kwa wanafunzi wa shule nne za msingi ili waweze kuendelea na zoezi la kutoa  lishe bora kwa wanafunzi ili waweze kuongeza usikivu na maarifa wakati wa masomo.Shule nyingine zilizopatiwa ng,ombe hao ni pamoja na boga

Wakati wa kukabidhi msaada huo kwenye shule ya msingi ya Kazimzumbwi iliyopo kata ya kazimzumbwi, Mkurugenzi Mtendaji wa Feed the Children Dr.Wilbard Loiri amesema lengo kuu la utoaji wa ng’ombe hawa wa maziwa kwa shule ni kuwezesha kuongeza uwezo wa utoaji lishe bora  kupitia ili kwamba fedha zinazopatikana kwenye mauzo kupitia ng’ombe hawa zisaidie watoto kupata lishe bora ama maziwa yatakayopatikana wawalishe watoto ili wawe na usikivu mzuri darasani.

Aidha Mwenyekiti wa bodi ya Feed the Children  Dr.Eng.Juliana Pallangyo  ameshukuru shule kupokea msaada huu wa ng’ombe na anaamini wakinamama waliohudhuria kwenye hafla hiyo wanajua thamani ya mtoto ni nini.

‘’ukiwekeza kwa mwanamke umewekeza kwenye Taifa ,naamini ng’ombe watatoa maziwa ya kutosha na wanafunzi wayatumie kwa ajili ya kuboresha lishe yao’’ amesema Dr.Eng Juliana

Awali wakati akipokea msaada huo Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri wa Wilaya ya kisarawe Ndugu Mussa L. Gama ameshukuru shirika la FEED the children kwa msaada huo na pia kuwa wadau wa maendeleo katika Nyanja nyingi wanazotoa Kisarawe na amewahakikishia kuwa Mifugo iliyopoklewa  wataitunza ili iweze kuwanufaisha wanafunzi na kuleta ufanisi kwenye maendeleo yao kitaaluma.

Mradi wa mifugo uliotolewa umepokelewa kwa furaha na wananchi wa kada zote wakiwemo wanafunzi, wazazi wa wanafunzi na walimu na wamehaidi kuuendeleza ili ulete matokeo chanya na kuwezesha wanafunzi wapate lishe bora

Shirika la Feed the Children limekuwa likifanya shughuli zake Wilaya ya kisarawe kwa kuhudumia wanafunzi na jamii nzima katika miradi mbalimbali ikiwamo utoaji wa chakula kwa wanafunzi,kugawa mizinga ya nyuki na shughuli nyinginezo

Announcements

  • Wito Kwenye Mafunzo ya Uboreshaji wa Daftari tarehe 10-11/02/2025 Minaki Sekondari. February 07, 2025
  • Tangazo kwa Umma Kuhusu Uboreshaji wa Daftari la Mpiga Kura February 08, 2025
  • MKITANO WA BARAZA LA MADIWANI April 28, 2025
  • BARAZA LA MADIWANI NOVEMBA 2021 November 09, 2021
  • View All

Latest News

  • NIMEFURAHISHWA NA MMLIVYOJIPANGA KISARAWE CHATANDA NA ZAINABU

    May 08, 2025
  • OFISI YA MAKAMU WA PILI WA RAIS SERIKALI MAPINDUZI ZANZIBAR YAFANYA ZIARA YA KIKAZI WILAYA KISARAWE

    April 30, 2025
  • KISARAWE YAFANYA UTOAJI ELIMU YA DOZI YA NYONGEZA YA CHANJO YA SINDANO YA POLIO(IPV2)

    April 30, 2025
  • KUVUNJWA KWA BARAZA LA MADIWANI KISARAWE UONGOZI WAJIVUNIA KUKAMILISHA MIRADI MBALIMBALI KATIKA KIPINDI CHA MIAKA 5

    April 29, 2025
  • View All

Video

Kamati ya Fedha kutembelea Ujenzi wa Jengo Jipya la OPD Kisarawe Hospitali
More Videos

Quick Links

  • Natural Attractions
  • COMMUNITY HEALTH FUND
  • Kisarawe History
  • Photo Events in the Council
  • Rehabilitation of Theater Block
  • Council strategics
  • How to meet with District Chairman
  • Maelekezo jinsi ya kutumia Mfumo wa FFARS
  • Councilors Name List and Phone Number

Related Links

  • President's Office Public Service, Management and Good Governance
  • The National Examinations Council Of Tanzania
  • President's Office Regional Administration and Local Government
  • The Higher Education Students’ Loans Board
  • PPRA
  • State House
  • Employment
  • National Bureau Of statistics
  • Salary slip potral
  • Government Website
  • Parliament
  • Mfumo wa Ununuzi wa Umma NeST
  • Mfumo wa Upimaji Utendaji kazi wa Watumishi wa Umma (ESS)

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

Free Visitor&Stat Counter

Location Map

Wasiliana nasi

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2017 Kisarawe District Council . All rights reserved.