• Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
    • Complaint |
Kisarawe District Council
Kisarawe District Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Kisarawe District Council

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
    • Core Values
    • Stategic
  • Administration
    • Structure
    • Departments
      • Administration and Human Resources
      • Planning and Statistics
      • Primary Education
      • Secondary Education
      • Agriculture and Irrigation
      • Livestock and Fisheries
      • Trade and Finance
      • Works and Fire Resque
      • Water
      • Land and Natural Resources
      • Community Development
      • Environment and Cleanliness
      • Health
    • Units
      • Legal
      • TEHAMA NA UHUSIANO
      • Internal Audit
      • Procurement and Supplier
      • Election
      • Beekeping
    • Programu
      • TASAF
      • UKIMWI
  • Investiments
    • Tourism Attractions
      • Traditional attractions
      • Cultural Attractions
      • Natural attractions
    • Agriculture
    • Pastoralism
    • Mineral
    • Teknolojia
    • Industries
  • Our Services
    • Health
    • Education
    • Water
    • Agriculture
    • livestock
  • Councillors
    • Councilors List
    • Council Committee
      • Finance, Administration and Planning
      • Economic, Construction and Environment
      • Council Multisectral Aids
      • Disciplinary
      • Social Welfare
    • Meeting Timetable
    • Chairman Timetable
  • Projects
    • Ongoing Projects
    • Completed Projects
    • Projects to be Implemented
  • Publications
    • By law
    • Customer Services Aggrement
    • Strategic Plan
    • Other Reports
    • Other Forms
    • Guidelines
  • Media Centre
    • Photo Gallery
    • Public Notice
    • Official and National Video
    • Press Release
    • Leaders Speech

GAMA: VIJANA WASHAURIWA KUACHA NGONO ZEMBE

Posted on: December 1st, 2020

GAMA: VIJANA WASHAURIWA KUACHA NGONO ZEMBE

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya Kisarawe ndugu Mussa Gama amewashauri vijana wa Kisarawe na Tanzania Kwa ujumla kujitambua kuwa wao ni WAJENZI WA TAIFA NA NGUVU TEGEMEZI KWA FAMILIA NA JAMII KWA UJUMLA hivyo wajiepushe na NGONO ZEMBE.

" Vijana Naomba mjitambue jilindeni na Maradhi ya Kuambukizwa na Ujasiri wa Kujiepusha na NGONO ZEMBE" Alimalizia Gama

Aidha Awali katika Madhimisho hayo Mganga Mkuu wa Wilaya Kisarawe  Dr Sobo akiwakilishwa na Mtaalam wake Kutoka Hospital ya Wilaya  Ndugu KIMWELI alitoa ujumbe Kwa niaba YAKE Kwa kusema kuwa Kisarawe inakusudia kuwafikia wanawake wafanya biashara ya NGONO, watu wanaotumia Dawa za kulevya, watu wanaoishi na VVU , Wanaume na Wanawake wanaofanya Ngono ya jinsia MOJA  Pamoja na Vijana wanaokaa vijiweni bila ya kazi Maalumu na Vijana wa mkaa na machimbo ili kuwapa elimu ya Afya,

Hata hivyo Mwisho Mkurugenzi Mtendaji Gama Alitoa wito pia kwa watumishi na wananchi wa Kisarawe kupima na kugundua Mapema Maambukizi ya VVU na kuanza kutumia Dawa za ARV na Mapema na kutokomeza Magonjwa Nyemelezi.

Kauli mbiu ya Mwaka 2020 katika  siku ya Ukimwi Duniani ni  "MSHIKAMANO  WA KIMATAIFA  TUWAJIBIKE KWA PAMOJA (GLOBAL SOLIDARITY,SHARED RESPONSIBILITY)

Announcements

  • Wito Kwenye Mafunzo ya Uboreshaji wa Daftari tarehe 10-11/02/2025 Minaki Sekondari. February 07, 2025
  • Tangazo kwa Umma Kuhusu Uboreshaji wa Daftari la Mpiga Kura February 08, 2025
  • MKITANO WA BARAZA LA MADIWANI April 28, 2025
  • BARAZA LA MADIWANI NOVEMBA 2021 November 09, 2021
  • View All

Latest News

  • NIMEFURAHISHWA NA MMLIVYOJIPANGA KISARAWE CHATANDA NA ZAINABU

    May 08, 2025
  • OFISI YA MAKAMU WA PILI WA RAIS SERIKALI MAPINDUZI ZANZIBAR YAFANYA ZIARA YA KIKAZI WILAYA KISARAWE

    April 30, 2025
  • KISARAWE YAFANYA UTOAJI ELIMU YA DOZI YA NYONGEZA YA CHANJO YA SINDANO YA POLIO(IPV2)

    April 30, 2025
  • KUVUNJWA KWA BARAZA LA MADIWANI KISARAWE UONGOZI WAJIVUNIA KUKAMILISHA MIRADI MBALIMBALI KATIKA KIPINDI CHA MIAKA 5

    April 29, 2025
  • View All

Video

Kamati ya Fedha kutembelea Ujenzi wa Jengo Jipya la OPD Kisarawe Hospitali
More Videos

Quick Links

  • Natural Attractions
  • COMMUNITY HEALTH FUND
  • Kisarawe History
  • Photo Events in the Council
  • Rehabilitation of Theater Block
  • Council strategics
  • How to meet with District Chairman
  • Maelekezo jinsi ya kutumia Mfumo wa FFARS
  • Councilors Name List and Phone Number

Related Links

  • President's Office Public Service, Management and Good Governance
  • The National Examinations Council Of Tanzania
  • President's Office Regional Administration and Local Government
  • The Higher Education Students’ Loans Board
  • PPRA
  • State House
  • Employment
  • National Bureau Of statistics
  • Salary slip potral
  • Government Website
  • Parliament
  • Mfumo wa Ununuzi wa Umma NeST
  • Mfumo wa Upimaji Utendaji kazi wa Watumishi wa Umma (ESS)

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

Free Visitor&Stat Counter

Location Map

Wasiliana nasi

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2017 Kisarawe District Council . All rights reserved.