• Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
    • Complaint |
Kisarawe District Council
Kisarawe District Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Kisarawe District Council

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
    • Core Values
    • Stategic
  • Administration
    • Structure
    • Departments
      • Administration and Human Resources
      • Planning and Statistics
      • Primary Education
      • Secondary Education
      • Agriculture and Irrigation
      • Livestock and Fisheries
      • Trade and Finance
      • Works and Fire Resque
      • Water
      • Land and Natural Resources
      • Community Development
      • Environment and Cleanliness
      • Health
    • Units
      • Legal
      • TEHAMA NA UHUSIANO
      • Internal Audit
      • Procurement and Supplier
      • Election
      • Beekeping
    • Programu
      • TASAF
      • UKIMWI
  • Investiments
    • Tourism Attractions
      • Traditional attractions
      • Cultural Attractions
      • Natural attractions
    • Agriculture
    • Pastoralism
    • Mineral
    • Teknolojia
    • Industries
  • Our Services
    • Health
    • Education
    • Water
    • Agriculture
    • livestock
  • Councillors
    • Councilors List
    • Council Committee
      • Finance, Administration and Planning
      • Economic, Construction and Environment
      • Council Multisectral Aids
      • Disciplinary
      • Social Welfare
    • Meeting Timetable
    • Chairman Timetable
  • Projects
    • Ongoing Projects
    • Completed Projects
    • Projects to be Implemented
  • Publications
    • By law
    • Customer Services Aggrement
    • Strategic Plan
    • Other Reports
    • Other Forms
    • Guidelines
  • Media Centre
    • Photo Gallery
    • Public Notice
    • Official and National Video
    • Press Release
    • Leaders Speech

JALIA:WANAWAKE KISARAWE TUSHIRIKI KATIKA MIKUTANO ,VIKAO VYA KUPANGA MALENGO NA MIPANGO YETU

Posted on: March 7th, 2019

Katika kufikia malengo ya Dunia ya asilimia hamsini kwa hamsini ya milenia  kabla ya mwaka 2020 katika ushiriki wa wanawake kwenye maamuzi ya mambo yanayowahusu ya kijamii,kiuchumi, na kimaendeleo wito umetolewa kwa wanawake KISARAWE kushiriki mikutano, kongamano, warsha na vikao vya maamuzi bila ya woga.

Akizungumza katika warsha  ya kupaza sauti kwa ajili ya wanawake na watoto kwenye masuala ya haki za jamii na kiuchumi na kufanya watambue ndoto zao na malengo yao kisarawe afisa maendeleo ya jamii idaya ya mipango Ndugu Jalia B.Chanyika amesema;

‘’Ni muhimu kwa wanawake na watoto wenye mwamko wa maendeleo kupaza sauti katika mambo yanayowahusu wao kwa maslah yao wao wenyewe wasisubiri kupangiwa kwani anayekupangia hatokupangia yote yenye msingi na dira ya kukukwamua katika wimbi la usawa wa kijinsia ’alisisitiza chanyika ’ 

Kuelelekea kilele cha Siku ya wanawake duniani warsha na mikutano mbalimbali zimeandaliwa na kuratibiwa na idara ya maendeleo ya jamii kisarawe kwa lengo la kuwafikishia ujumbe wa kujiendeleza kimaendeleo hasa kwa kushirikisha mashirika na taasisi mbalimbali lengo ikiwa ni kumkomboa mwanamke na motto. Miongoni mwa taasisi zinazoshiriki wiki ya mwanamke duniani ni Briht jamii, Save the elder zote za Dare es salaam 

Kauli mbiu ya mwaka huu ni ‘’Badili fikra kufikia usawa wa kijinsia kwa maendeleo endelevu’’ alimalizia chanyika

Announcements

  • Wito Kwenye Mafunzo ya Uboreshaji wa Daftari tarehe 10-11/02/2025 Minaki Sekondari. February 07, 2025
  • Tangazo kwa Umma Kuhusu Uboreshaji wa Daftari la Mpiga Kura February 08, 2025
  • MKITANO WA BARAZA LA MADIWANI April 28, 2025
  • BARAZA LA MADIWANI NOVEMBA 2021 November 09, 2021
  • View All

Latest News

  • NIMEFURAHISHWA NA MMLIVYOJIPANGA KISARAWE CHATANDA NA ZAINABU

    May 08, 2025
  • OFISI YA MAKAMU WA PILI WA RAIS SERIKALI MAPINDUZI ZANZIBAR YAFANYA ZIARA YA KIKAZI WILAYA KISARAWE

    April 30, 2025
  • KISARAWE YAFANYA UTOAJI ELIMU YA DOZI YA NYONGEZA YA CHANJO YA SINDANO YA POLIO(IPV2)

    April 30, 2025
  • KUVUNJWA KWA BARAZA LA MADIWANI KISARAWE UONGOZI WAJIVUNIA KUKAMILISHA MIRADI MBALIMBALI KATIKA KIPINDI CHA MIAKA 5

    April 29, 2025
  • View All

Video

Kamati ya Fedha kutembelea Ujenzi wa Jengo Jipya la OPD Kisarawe Hospitali
More Videos

Quick Links

  • Natural Attractions
  • COMMUNITY HEALTH FUND
  • Kisarawe History
  • Photo Events in the Council
  • Rehabilitation of Theater Block
  • Council strategics
  • How to meet with District Chairman
  • Maelekezo jinsi ya kutumia Mfumo wa FFARS
  • Councilors Name List and Phone Number

Related Links

  • President's Office Public Service, Management and Good Governance
  • The National Examinations Council Of Tanzania
  • President's Office Regional Administration and Local Government
  • The Higher Education Students’ Loans Board
  • PPRA
  • State House
  • Employment
  • National Bureau Of statistics
  • Salary slip potral
  • Government Website
  • Parliament
  • Mfumo wa Ununuzi wa Umma NeST
  • Mfumo wa Upimaji Utendaji kazi wa Watumishi wa Umma (ESS)

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

Free Visitor&Stat Counter

Location Map

Wasiliana nasi

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2017 Kisarawe District Council . All rights reserved.