• Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
    • Complaint |
Kisarawe District Council
Kisarawe District Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Kisarawe District Council

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
    • Core Values
    • Stategic
  • Administration
    • Structure
    • Departments
      • Administration and Human Resources
      • Planning and Statistics
      • Primary Education
      • Secondary Education
      • Agriculture and Irrigation
      • Livestock and Fisheries
      • Trade and Finance
      • Works and Fire Resque
      • Water
      • Land and Natural Resources
      • Community Development
      • Environment and Cleanliness
      • Health
    • Units
      • Legal
      • TEHAMA NA UHUSIANO
      • Internal Audit
      • Procurement and Supplier
      • Election
      • Beekeping
    • Programu
      • TASAF
      • UKIMWI
  • Investiments
    • Tourism Attractions
      • Traditional attractions
      • Cultural Attractions
      • Natural attractions
    • Agriculture
    • Pastoralism
    • Mineral
    • Teknolojia
    • Industries
  • Our Services
    • Health
    • Education
    • Water
    • Agriculture
    • livestock
  • Councillors
    • Councilors List
    • Council Committee
      • Finance, Administration and Planning
      • Economic, Construction and Environment
      • Council Multisectral Aids
      • Disciplinary
      • Social Welfare
    • Meeting Timetable
    • Chairman Timetable
  • Projects
    • Ongoing Projects
    • Completed Projects
    • Projects to be Implemented
  • Publications
    • By law
    • Customer Services Aggrement
    • Strategic Plan
    • Other Reports
    • Other Forms
    • Guidelines
  • Media Centre
    • Photo Gallery
    • Public Notice
    • Official and National Video
    • Press Release
    • Leaders Speech

JUKWAA LA UWEKEZAJI LAFUNGULIWA KWA KISHINDO WILAYANI KISARAWE

Posted on: September 23rd, 2017

Wilaya ya kisarawe imefanikiwa kuendesha jukwaa la uwekezaji kwa kishindo. Mgeni rasmi Mhe. Selemani Jaffo ambaye ni Mbunge wa kisarawe na  Naibu Waziri OR-TAMISEMI amewakaribisha wawekezaji mbali mbali ambao walikuwa wamealikwa kwenye jukwaa hili ili kuweza kuwekeza katika Wilaya ya Kisarawe. Mhe. Naibu Waziri amesema zipo fursa nyingi sana katika Wilaya ya Kisarawe ambazo mtu anaweza kuwekeza. Amesema Wilaya ya kisarawe unaweza kuwekeza katika viwanda,kilimo,mifugo,Biashara,utalii na makazi.Pia amesisitiza kuwa ndani ya Wilaya ya kisarawe kuna maeneo ya kutosha kwa uwekezaji wa aina yeyote ile ambao Utakuwa na tija kwa mafanikio ya wananchi na Taifa kwa Ujumla. Pia amemshukuru Mhe. Raisi Magufuru kwa kuwaelekeza DAWASCO kuleta maji safi toka mto Ruvu.Mheshimiwa Naibu Waziri amesema kufikia desemba bara bara nyingi za mitaa ndani ya kisarawe zitakuwa zimewekewa lami hivyo wajipange kuja kuwekeza bila wasi wasi.

Pia Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe Mhe. Happyness W Seneda amewaomba wawekezaji waje kwa wingi kuwekeza ndani ya Wilaya ya Kisarawe. Ameseme Wilaya ya kisarawe itatoa ushirikiano mzuri kwa kila mwekezaji atakayeonyesha nia ya kuja kuwekeza. 


Kupata maelezo zaidi bonyeza hapa.

Announcements

  • Wito Kwenye Mafunzo ya Uboreshaji wa Daftari tarehe 10-11/02/2025 Minaki Sekondari. February 07, 2025
  • Tangazo kwa Umma Kuhusu Uboreshaji wa Daftari la Mpiga Kura February 08, 2025
  • MKITANO WA BARAZA LA MADIWANI April 28, 2025
  • BARAZA LA MADIWANI NOVEMBA 2021 November 09, 2021
  • View All

Latest News

  • NIMEFURAHISHWA NA MMLIVYOJIPANGA KISARAWE CHATANDA NA ZAINABU

    May 08, 2025
  • OFISI YA MAKAMU WA PILI WA RAIS SERIKALI MAPINDUZI ZANZIBAR YAFANYA ZIARA YA KIKAZI WILAYA KISARAWE

    April 30, 2025
  • KISARAWE YAFANYA UTOAJI ELIMU YA DOZI YA NYONGEZA YA CHANJO YA SINDANO YA POLIO(IPV2)

    April 30, 2025
  • KUVUNJWA KWA BARAZA LA MADIWANI KISARAWE UONGOZI WAJIVUNIA KUKAMILISHA MIRADI MBALIMBALI KATIKA KIPINDI CHA MIAKA 5

    April 29, 2025
  • View All

Video

Kamati ya Fedha kutembelea Ujenzi wa Jengo Jipya la OPD Kisarawe Hospitali
More Videos

Quick Links

  • Natural Attractions
  • COMMUNITY HEALTH FUND
  • Kisarawe History
  • Photo Events in the Council
  • Rehabilitation of Theater Block
  • Council strategics
  • How to meet with District Chairman
  • Maelekezo jinsi ya kutumia Mfumo wa FFARS
  • Councilors Name List and Phone Number

Related Links

  • President's Office Public Service, Management and Good Governance
  • The National Examinations Council Of Tanzania
  • President's Office Regional Administration and Local Government
  • The Higher Education Students’ Loans Board
  • PPRA
  • State House
  • Employment
  • National Bureau Of statistics
  • Salary slip potral
  • Government Website
  • Parliament
  • Mfumo wa Ununuzi wa Umma NeST
  • Mfumo wa Upimaji Utendaji kazi wa Watumishi wa Umma (ESS)

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

Free Visitor&Stat Counter

Location Map

Wasiliana nasi

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2017 Kisarawe District Council . All rights reserved.