• Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
    • Complaint |
Kisarawe District Council
Kisarawe District Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Kisarawe District Council

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
    • Core Values
    • Stategic
  • Administration
    • Structure
    • Departments
      • Administration and Human Resources
      • Planning and Statistics
      • Primary Education
      • Secondary Education
      • Agriculture and Irrigation
      • Livestock and Fisheries
      • Trade and Finance
      • Works and Fire Resque
      • Water
      • Land and Natural Resources
      • Community Development
      • Environment and Cleanliness
      • Health
    • Units
      • Legal
      • TEHAMA NA UHUSIANO
      • Internal Audit
      • Procurement and Supplier
      • Election
      • Beekeping
    • Programu
      • TASAF
      • UKIMWI
  • Investiments
    • Tourism Attractions
      • Traditional attractions
      • Cultural Attractions
      • Natural attractions
    • Agriculture
    • Pastoralism
    • Mineral
    • Teknolojia
    • Industries
  • Our Services
    • Health
    • Education
    • Water
    • Agriculture
    • livestock
  • Councillors
    • Councilors List
    • Council Committee
      • Finance, Administration and Planning
      • Economic, Construction and Environment
      • Council Multisectral Aids
      • Disciplinary
      • Social Welfare
    • Meeting Timetable
    • Chairman Timetable
  • Projects
    • Ongoing Projects
    • Completed Projects
    • Projects to be Implemented
  • Publications
    • By law
    • Customer Services Aggrement
    • Strategic Plan
    • Other Reports
    • Other Forms
    • Guidelines
  • Media Centre
    • Photo Gallery
    • Public Notice
    • Official and National Video
    • Press Release
    • Leaders Speech

Kero ya Maji yapatiwa ufumbuzi Kisarawe

Posted on: May 21st, 2018

Shilingi Bilioni 10.9 Zasainiwa Kuleta Maji Kisarawe.

Jumla ya kiasi cha shilingi bilioni kumi na milioni mia tisa zinatarajiwa kutumika katika ujenzi  wa ulazaji wa bomba la maji kutoka Kibamba kuelekea Kisarawe umbali wa takribani kilomita thelathini na tisa.

Katika hafla ya utiaji saini wa mradi huo mkubwa ulioshuhudiwa na mawaziri wawili wa serikali ambao ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe.Selemani Jafo (MB) na Waziri wa maji Mhe. Isack Kamwelwe,Mkuu wa Mkoa wa Pwani Mhandisi Evarist Ndikilo,Mbunge wa viti maalum Mkoa wa Pwani Mhe Zainabu Vullu,Viongozi mbalimbali  pamoja na wananchi wa Kisarawe umeshudia mpango mahsusi wa kuleta maji kutoka bomba kuu la maji kutoka Ruvu linalopita pembezoni mwa barabara ya Morogoro kwenda kisarawe

Wakati wa Hafla hiyo iliyofanyika viwanja vya stendi ya Wilaya ya Kisarawe Waziri wa OR-TAMISEMI ambaye pia  ni mbunge wa Kisarawe Mhe Selemani Jafo amesema ni furaha kubwa kuona kuwa hatimaye sasa Kisarawe inapata maji safi na salama ya kutosha kutoka Ruvu kwani itasaidia mji wa Kisarawe kubadilika na kuleta  maendeleo.

‘’tuna furaha kubwa kwa ajili ya mradi huu kwani tuna eneo kubwa la viwanda ambalo limetengwa hivyo mradi huu ni fursa itakayowezesha eneo letu kubadilika kwani shida yetu kubwa ilikuwa ni maji’’ alisema Mhe. Selemani Jafo.

Vilevile Waziri wa maji  Mhe kamwelwe amesema katika kutekeleza ilani ya chama tawala ni lazima watekeleze yale waliyoyaahidi kwa wananchi.Mradi huu wa ulazaji mabomba kutoka Kibamba kuja Kisarawe utawezesha kiasi cha maji lita takribani milioni nne kufika Kisarawe kwa siku na utachukua umbali wa kilomita 39 kulaza mabomba yenye ukubwa wa milimita 400 na mabomba yenye ukubwa wa milimita 80 hadi 200 kwa ajili ya usambazaji maji  kwa wananchi na taasisi nyinginezo.

Tukio la utiaji saini lilifanywa baina ya Serikali kupitia kwa Kaimu Afisa Mtendaji Mkuu wa DAWASA Mhandisi Romanus Mwang’ingo na Mkandarasi aliyekabidhiwa ujenzi wa ulazaji mabomba ambaye ni kampuni kutoka nchini China inayojulikana kwa jina la China Henan International Cooperation GROUP  ambapo kiongozi wake Ndugu Wang Xiaogang alihusika kwenye utiaji saini huo.  

Announcements

  • Wito Kwenye Mafunzo ya Uboreshaji wa Daftari tarehe 10-11/02/2025 Minaki Sekondari. February 07, 2025
  • Tangazo kwa Umma Kuhusu Uboreshaji wa Daftari la Mpiga Kura February 08, 2025
  • MKITANO WA BARAZA LA MADIWANI April 28, 2025
  • BARAZA LA MADIWANI NOVEMBA 2021 November 09, 2021
  • View All

Latest News

  • NIMEFURAHISHWA NA MMLIVYOJIPANGA KISARAWE CHATANDA NA ZAINABU

    May 08, 2025
  • OFISI YA MAKAMU WA PILI WA RAIS SERIKALI MAPINDUZI ZANZIBAR YAFANYA ZIARA YA KIKAZI WILAYA KISARAWE

    April 30, 2025
  • KISARAWE YAFANYA UTOAJI ELIMU YA DOZI YA NYONGEZA YA CHANJO YA SINDANO YA POLIO(IPV2)

    April 30, 2025
  • KUVUNJWA KWA BARAZA LA MADIWANI KISARAWE UONGOZI WAJIVUNIA KUKAMILISHA MIRADI MBALIMBALI KATIKA KIPINDI CHA MIAKA 5

    April 29, 2025
  • View All

Video

Kamati ya Fedha kutembelea Ujenzi wa Jengo Jipya la OPD Kisarawe Hospitali
More Videos

Quick Links

  • Natural Attractions
  • COMMUNITY HEALTH FUND
  • Kisarawe History
  • Photo Events in the Council
  • Rehabilitation of Theater Block
  • Council strategics
  • How to meet with District Chairman
  • Maelekezo jinsi ya kutumia Mfumo wa FFARS
  • Councilors Name List and Phone Number

Related Links

  • President's Office Public Service, Management and Good Governance
  • The National Examinations Council Of Tanzania
  • President's Office Regional Administration and Local Government
  • The Higher Education Students’ Loans Board
  • PPRA
  • State House
  • Employment
  • National Bureau Of statistics
  • Salary slip potral
  • Government Website
  • Parliament
  • Mfumo wa Ununuzi wa Umma NeST
  • Mfumo wa Upimaji Utendaji kazi wa Watumishi wa Umma (ESS)

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

Free Visitor&Stat Counter

Location Map

Wasiliana nasi

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2017 Kisarawe District Council . All rights reserved.