Katika mkutano wa wadau wanaopambana na VVU -UKIMWI -Mkoa wa Pwani uliofanyika 5/09/2017 huko Wilayani Bagamoyo wenye kauli mbiu "ENDING AIDS BY 2030 : ARCHIVING BY 90-90-90% -Target for PWANI.Hospitali ya Wilaya ya Kisarawe ilitunukiwa zawadi ya kuwa mshindi wa kwanza kwa utoaji bora wa Huduma za wanaoishi na VVU.Mkutano huo uliudhuriwa na wadau mbali mbali wakiwepo Wakuu wa wilaya zote za mkoa wa Pwani,Wakurugenzi,Mganga mkuu wa kila wilaya na wadau wengine. Pongezi nyingi kwa walioifanya Hospitali yetu ya wilaya kupata zawadi hiyo.
Habari kwa Picha zaidi tazama chini.
Picha ya zawadi.pdf
Copyright ©2017 Kisarawe District Council . All rights reserved.