• Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
    • Complaint |
Kisarawe District Council
Kisarawe District Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Kisarawe District Council

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
    • Core Values
    • Stategic
  • Administration
    • Structure
    • Departments
      • Administration and Human Resources
      • Planning and Statistics
      • Primary Education
      • Secondary Education
      • Agriculture and Irrigation
      • Livestock and Fisheries
      • Trade and Finance
      • Works and Fire Resque
      • Water
      • Land and Natural Resources
      • Community Development
      • Environment and Cleanliness
      • Health
    • Units
      • Legal
      • TEHAMA NA UHUSIANO
      • Internal Audit
      • Procurement and Supplier
      • Election
      • Beekeping
    • Programu
      • TASAF
      • UKIMWI
  • Investiments
    • Tourism Attractions
      • Traditional attractions
      • Cultural Attractions
      • Natural attractions
    • Agriculture
    • Pastoralism
    • Mineral
    • Teknolojia
    • Industries
  • Our Services
    • Health
    • Education
    • Water
    • Agriculture
    • livestock
  • Councillors
    • Councilors List
    • Council Committee
      • Finance, Administration and Planning
      • Economic, Construction and Environment
      • Council Multisectral Aids
      • Disciplinary
      • Social Welfare
    • Meeting Timetable
    • Chairman Timetable
  • Projects
    • Ongoing Projects
    • Completed Projects
    • Projects to be Implemented
  • Publications
    • By law
    • Customer Services Aggrement
    • Strategic Plan
    • Other Reports
    • Other Forms
    • Guidelines
  • Media Centre
    • Photo Gallery
    • Public Notice
    • Official and National Video
    • Press Release
    • Leaders Speech

KISARAWE KUPIMA ARDHI KISASA YENYEWE NA WATALAMU WAKE

Posted on: February 1st, 2019

Halmashauri ya wilaya ya kisarawe imenunua kifaa cha kisasa cha kupima ARDHI kinachojulikana kama   SOUTH GPS.S86  [1BASE AND ROVER] kwa dhamani ya milioni aroubaini na sita laki saba kwa  kwa lengo la kupima na kupanga matumizi bora ya ardhi kwa maeneo yote ambayo hayajapimwa na kupangwa kisasa na bora kwa urasimishaji na miundo mbinu ya maendeleo KISARAWE                                                                                     

Akizungumza wakati wa makabidhiano ya kifaa hicho katika ukumbi wa Halmashauri hiyo mtaalam wa kupima na kupanga MATUMIZ YA ARHI kwa niaba ya mkurugenzi mtendaji wilaya hiyo  Afisa ARDHI na MALIASILI Ndg Mabula K.Isambula      

 Mabula alisema  kwa sasa changamoto zote za ardhi kwa Kisarawe hasa kwa maeneo ambayo hayajafikiwa kwa kupimwa na kupangwa matumizi bora yanaenda kutatuliwa maana kifaa hichi ni mkombozi na hasa kutokana na kuwa na uwezo mkubwa na wa kisasa wa kufanya kazi kwa hali ya juu kabsa

Mabula ‘’ndugu wajumbe hiki ni kifaa cha kisasa na bora kabisa kununuliwa kwa matumizi ya ardhi hapa KISARAWE Imani yangu tunaenda kumaliza na kutafua changamoto zote za ardhi kwa kufika maeneo ambayo hajapimwa  na kupangwa mpaka sasa’’ alisema mabula  

 Kisarawe ina maeneo mengi ya kupimwa kwa ajili ya kilimo, maakazi ya kisasa, viwanda na uwekezaji, pamoja na maeneo muhimu ya matumizi ya binbandamu na wanyama ambayo hajapimwa ila kwa sasa kila Tarafa,kata na kijiji tunaenda kupima kwa kutumia wataaalam wa Halmashauri na vifaa vyetu wenyewe na sio vya kukodisha  alifafafnua Mabula

‘’kupitia kifaa hiki cha kisasa sasa tunaendalea  kupanga matumizi bora ya ardhi kisasarwe kwa kila eneo cha muhimu jamii kufuata taratibu zote za kupima ardhi ili kuondosha matatizo katika jamii’’

hapo mwanzo halmashauri ilikua inatumia fedha nyingi kwa kukodisha vifaa hivi kwa sekta na wapimaji binafsi ila kwa sasa suala hili litasimamiwa na idara ya ardhi kwa vifaa vyetu wenyewe  

 Awali kata za kisarawe, msimbu, kazimzumwi na kiluvya ziliweza kupanga na kupima kwa baadhi ya vitongoji vyake kwa ajili ya matumizi bora ya ardhi kwa kutumia watalaam wa sekta binfsi kulikopelekea kwa kupatikana kwa badhii ya maeneo ya viwanda na uwekezaji kwa baadhi ya kata hizo ambazo kwa sasa zipo katika mamlaka ya mji mdogo kisarawe  

Announcements

  • Wito Kwenye Mafunzo ya Uboreshaji wa Daftari tarehe 10-11/02/2025 Minaki Sekondari. February 07, 2025
  • Tangazo kwa Umma Kuhusu Uboreshaji wa Daftari la Mpiga Kura February 08, 2025
  • MKITANO WA BARAZA LA MADIWANI April 28, 2025
  • BARAZA LA MADIWANI NOVEMBA 2021 November 09, 2021
  • View All

Latest News

  • NIMEFURAHISHWA NA MMLIVYOJIPANGA KISARAWE CHATANDA NA ZAINABU

    May 08, 2025
  • OFISI YA MAKAMU WA PILI WA RAIS SERIKALI MAPINDUZI ZANZIBAR YAFANYA ZIARA YA KIKAZI WILAYA KISARAWE

    April 30, 2025
  • KISARAWE YAFANYA UTOAJI ELIMU YA DOZI YA NYONGEZA YA CHANJO YA SINDANO YA POLIO(IPV2)

    April 30, 2025
  • KUVUNJWA KWA BARAZA LA MADIWANI KISARAWE UONGOZI WAJIVUNIA KUKAMILISHA MIRADI MBALIMBALI KATIKA KIPINDI CHA MIAKA 5

    April 29, 2025
  • View All

Video

Kamati ya Fedha kutembelea Ujenzi wa Jengo Jipya la OPD Kisarawe Hospitali
More Videos

Quick Links

  • Natural Attractions
  • COMMUNITY HEALTH FUND
  • Kisarawe History
  • Photo Events in the Council
  • Rehabilitation of Theater Block
  • Council strategics
  • How to meet with District Chairman
  • Maelekezo jinsi ya kutumia Mfumo wa FFARS
  • Councilors Name List and Phone Number

Related Links

  • President's Office Public Service, Management and Good Governance
  • The National Examinations Council Of Tanzania
  • President's Office Regional Administration and Local Government
  • The Higher Education Students’ Loans Board
  • PPRA
  • State House
  • Employment
  • National Bureau Of statistics
  • Salary slip potral
  • Government Website
  • Parliament
  • Mfumo wa Ununuzi wa Umma NeST
  • Mfumo wa Upimaji Utendaji kazi wa Watumishi wa Umma (ESS)

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

Free Visitor&Stat Counter

Location Map

Wasiliana nasi

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2017 Kisarawe District Council . All rights reserved.