• Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
    • Complaint |
Kisarawe District Council
Kisarawe District Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Kisarawe District Council

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
    • Core Values
    • Stategic
  • Administration
    • Structure
    • Departments
      • Administration and Human Resources
      • Planning and Statistics
      • Primary Education
      • Secondary Education
      • Agriculture and Irrigation
      • Livestock and Fisheries
      • Trade and Finance
      • Works and Fire Resque
      • Water
      • Land and Natural Resources
      • Community Development
      • Environment and Cleanliness
      • Health
    • Units
      • Legal
      • TEHAMA NA UHUSIANO
      • Internal Audit
      • Procurement and Supplier
      • Election
      • Beekeping
    • Programu
      • TASAF
      • UKIMWI
  • Investiments
    • Tourism Attractions
      • Traditional attractions
      • Cultural Attractions
      • Natural attractions
    • Agriculture
    • Pastoralism
    • Mineral
    • Teknolojia
    • Industries
  • Our Services
    • Health
    • Education
    • Water
    • Agriculture
    • livestock
  • Councillors
    • Councilors List
    • Council Committee
      • Finance, Administration and Planning
      • Economic, Construction and Environment
      • Council Multisectral Aids
      • Disciplinary
      • Social Welfare
    • Meeting Timetable
    • Chairman Timetable
  • Projects
    • Ongoing Projects
    • Completed Projects
    • Projects to be Implemented
  • Publications
    • By law
    • Customer Services Aggrement
    • Strategic Plan
    • Other Reports
    • Other Forms
    • Guidelines
  • Media Centre
    • Photo Gallery
    • Public Notice
    • Official and National Video
    • Press Release
    • Leaders Speech

KISARAWE YAJENGA KIWANDA CHA KISASA CHA KUFYATUA TOFALI BORA

Posted on: March 13th, 2019

Katika kufikia uchumi wa viwanda na hatua za halmashauri kubuni njia za kuongeza mapato yake ya ndani kwa mujibu wa agizo la Ofisi ya Waziri Mkuu Halmashauri ya Wilaya ya Kisarawe imeanzisha kiwanda cha kufyatua tofali za umeme zenye ubora wa kiwango cha serikali kinachotakiwa  ili kukuza pato la ndani  pamoja na kuhakikisha   miradi ya serikali inajengwa  katika ubora wa kiwango unaohitajika ,

 Akizungumza kwa niaba ya Mkurugenzi Mtendaji Wilaya Kisarawe Katibu wa kikosi kazi cha mapato (KKM) Ndg James Chitumbi, alisema kwa sasa wameamua kufikia hatua hiyo ya ujenzi wa kiwanda cha matofali cha kisasa Kisarawe ili kwendana na kasi ya uchumi wa viwanda  na  kuongeza tija ya  ukusanyaji wa mapato ya Halmashauri kwani huko katika ujenzi wa kiwanda hicho cha tofali kuna fursa kubwa ya Halmashauri kupata mapato,

 ‘Sisi kikosi kazi jukumu letu kubwa ni kuhakikisha  Halmashauri inakusanya mapato kwa kiasi kikubwa hivyo ni lazima kumshauri Mkurugezni katika kubuni na kuanzisha chanzo cha mapato hasa hiki kiwanda cha kiwanda cha kufyatua  tofali ambacho kinazalisha tofali za kisasa zenye kukidhi vigezo vyote vya ujenzi wa majengo ya serikali’ alisema Chitumbi

 Jumla ya miradi tisa katika sekta ya elimu na afya Kisarawe inategemea kuzitumia tofali hizo kwa mujibu wa Chitumbi.

Announcements

  • Wito Kwenye Mafunzo ya Uboreshaji wa Daftari tarehe 10-11/02/2025 Minaki Sekondari. February 07, 2025
  • Tangazo kwa Umma Kuhusu Uboreshaji wa Daftari la Mpiga Kura February 08, 2025
  • MKITANO WA BARAZA LA MADIWANI April 28, 2025
  • BARAZA LA MADIWANI NOVEMBA 2021 November 09, 2021
  • View All

Latest News

  • NIMEFURAHISHWA NA MMLIVYOJIPANGA KISARAWE CHATANDA NA ZAINABU

    May 08, 2025
  • OFISI YA MAKAMU WA PILI WA RAIS SERIKALI MAPINDUZI ZANZIBAR YAFANYA ZIARA YA KIKAZI WILAYA KISARAWE

    April 30, 2025
  • KISARAWE YAFANYA UTOAJI ELIMU YA DOZI YA NYONGEZA YA CHANJO YA SINDANO YA POLIO(IPV2)

    April 30, 2025
  • KUVUNJWA KWA BARAZA LA MADIWANI KISARAWE UONGOZI WAJIVUNIA KUKAMILISHA MIRADI MBALIMBALI KATIKA KIPINDI CHA MIAKA 5

    April 29, 2025
  • View All

Video

Kamati ya Fedha kutembelea Ujenzi wa Jengo Jipya la OPD Kisarawe Hospitali
More Videos

Quick Links

  • Natural Attractions
  • COMMUNITY HEALTH FUND
  • Kisarawe History
  • Photo Events in the Council
  • Rehabilitation of Theater Block
  • Council strategics
  • How to meet with District Chairman
  • Maelekezo jinsi ya kutumia Mfumo wa FFARS
  • Councilors Name List and Phone Number

Related Links

  • President's Office Public Service, Management and Good Governance
  • The National Examinations Council Of Tanzania
  • President's Office Regional Administration and Local Government
  • The Higher Education Students’ Loans Board
  • PPRA
  • State House
  • Employment
  • National Bureau Of statistics
  • Salary slip potral
  • Government Website
  • Parliament
  • Mfumo wa Ununuzi wa Umma NeST
  • Mfumo wa Upimaji Utendaji kazi wa Watumishi wa Umma (ESS)

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

Free Visitor&Stat Counter

Location Map

Wasiliana nasi

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2017 Kisarawe District Council . All rights reserved.