• Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
    • Complaint |
Kisarawe District Council
Kisarawe District Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Kisarawe District Council

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
    • Core Values
    • Stategic
  • Administration
    • Structure
    • Departments
      • Administration and Human Resources
      • Planning and Statistics
      • Primary Education
      • Secondary Education
      • Agriculture and Irrigation
      • Livestock and Fisheries
      • Trade and Finance
      • Works and Fire Resque
      • Water
      • Land and Natural Resources
      • Community Development
      • Environment and Cleanliness
      • Health
    • Units
      • Legal
      • TEHAMA NA UHUSIANO
      • Internal Audit
      • Procurement and Supplier
      • Election
      • Beekeping
    • Programu
      • TASAF
      • UKIMWI
  • Investiments
    • Tourism Attractions
      • Traditional attractions
      • Cultural Attractions
      • Natural attractions
    • Agriculture
    • Pastoralism
    • Mineral
    • Teknolojia
    • Industries
  • Our Services
    • Health
    • Education
    • Water
    • Agriculture
    • livestock
  • Councillors
    • Councilors List
    • Council Committee
      • Finance, Administration and Planning
      • Economic, Construction and Environment
      • Council Multisectral Aids
      • Disciplinary
      • Social Welfare
    • Meeting Timetable
    • Chairman Timetable
  • Projects
    • Ongoing Projects
    • Completed Projects
    • Projects to be Implemented
  • Publications
    • By law
    • Customer Services Aggrement
    • Strategic Plan
    • Other Reports
    • Other Forms
    • Guidelines
  • Media Centre
    • Photo Gallery
    • Public Notice
    • Official and National Video
    • Press Release
    • Leaders Speech

KISARAWE YAJIPANGA KUPOKEA WANAFUNZI WAPYA DC NYANGASA ATOA WITO WAZAZI NA WALIMU KUSHIRIKIANA

Posted on: January 8th, 2024

*KISARAWE YAJIPANGA KUPOKEA WANAFUNZI WAPYA DC NYANGASA ATOA WITO WAZAZI NA WALIMU KUSHIRIKIANA*


Kisarawe-Pwani


Mkuu wa wilaya kisarawe MHE FATMA A. NYANGASA ametoa wito kwa  wazazi na walezi wote kisarawe kuhakikisha  wanawapeleka watoto wao wote wa Darasa la awali,msingi na Sekondari wa kidato Cha kwanza leo 08.01.2024.

Akizungumza wakati wa kukagua na kuangalia maandalizi ya kuwapokea wanafunzi wapya Katika shule za Sekondari na msingi kwa kata ya kisarawe leo huku akiambatana na mkuu wa idara ya elimu awali na  msingi pamoja na kaimu afisa elimu Sekondari amesema


*"Sisi kisarawe tumejipanga kuwapokea wanafunzi wote ambao wanasifa za kuanza shule Mwaka 2024 kwa shule za awali,msingi na Sekondari kisarawe kwa kuwepo na miundombinu ya madarasa,walimu, na vyoo hivyo wanafunzi waje tu alisisitiza*" MHE FATMA NYANGASA


*"MHE DKT SAMIA SULUHU HASSAN amekwisha sema na kuwalipia wanafunzi wote ada za shule hivyo kilichobaki kwa Sasa ni kusoma tu kwa mzazi ni sare na mahitaji mengine hivyo ni kuhimu mzazi ama mlezi kuyasimamia kwa mtoto wake Alisisitiza MHE FATMA NYANGASA

*"Natoa wito kwa Sasa wiki Hii ya kwanza wanafunzi kuja kwa hiari shuleni ilaa baada ya hapo asiyekuja shuleni na Mwalimu mkuu Hana taarifa tutamfuatilia na kumchukulia hatua maana MHE DKT SAMIA SULUHU HASSAN amekwisha lipia wanafunzi wote shuleni*" alisisitiza MHE FATMA NYANGASA


Nae afisa elimu Sekondari amesema kuwa kwa Sasa Zaidi ya asili 89% ya wanafunzi tayari washawasili shuleni na matarajio ndani ya wiki Hii wanafunzi wote kuwasili shuleni kuendelea na masomo,


*"kwa mujibu wa malengo ya Mwaka 2024 ya kupokea wanafunzi halmashauri ya wilaya kisarawe kwa kata zote 17 shule zetu zote zipo tayari kwa ajili ya masomo na tupo asilimia 89% ya waliokusudiwa kuandikishwa Alifafanua*" MWL MATHIAS HASSANI


Aidha Katika ziara hiyo Mkuu wa wilaya kisarawe MHE FATMA NYANGASA alipata Muda wa kutembelea jengo la utawala la halmashauri ya wilaya kisarawe kwa na kutoa ushauri elekezi ili kumalizika kwa wakati jengo Hilo ili kuanza kutumika kunakotoka na mradi huo kupokea Fedha kutoka Serikali Kuu.

Announcements

  • Wito Kwenye Mafunzo ya Uboreshaji wa Daftari tarehe 10-11/02/2025 Minaki Sekondari. February 07, 2025
  • Tangazo kwa Umma Kuhusu Uboreshaji wa Daftari la Mpiga Kura February 08, 2025
  • MKITANO WA BARAZA LA MADIWANI April 28, 2025
  • BARAZA LA MADIWANI NOVEMBA 2021 November 09, 2021
  • View All

Latest News

  • NIMEFURAHISHWA NA MMLIVYOJIPANGA KISARAWE CHATANDA NA ZAINABU

    May 08, 2025
  • OFISI YA MAKAMU WA PILI WA RAIS SERIKALI MAPINDUZI ZANZIBAR YAFANYA ZIARA YA KIKAZI WILAYA KISARAWE

    April 30, 2025
  • KISARAWE YAFANYA UTOAJI ELIMU YA DOZI YA NYONGEZA YA CHANJO YA SINDANO YA POLIO(IPV2)

    April 30, 2025
  • KUVUNJWA KWA BARAZA LA MADIWANI KISARAWE UONGOZI WAJIVUNIA KUKAMILISHA MIRADI MBALIMBALI KATIKA KIPINDI CHA MIAKA 5

    April 29, 2025
  • View All

Video

Kamati ya Fedha kutembelea Ujenzi wa Jengo Jipya la OPD Kisarawe Hospitali
More Videos

Quick Links

  • Natural Attractions
  • COMMUNITY HEALTH FUND
  • Kisarawe History
  • Photo Events in the Council
  • Rehabilitation of Theater Block
  • Council strategics
  • How to meet with District Chairman
  • Maelekezo jinsi ya kutumia Mfumo wa FFARS
  • Councilors Name List and Phone Number

Related Links

  • President's Office Public Service, Management and Good Governance
  • The National Examinations Council Of Tanzania
  • President's Office Regional Administration and Local Government
  • The Higher Education Students’ Loans Board
  • PPRA
  • State House
  • Employment
  • National Bureau Of statistics
  • Salary slip potral
  • Government Website
  • Parliament
  • Mfumo wa Ununuzi wa Umma NeST
  • Mfumo wa Upimaji Utendaji kazi wa Watumishi wa Umma (ESS)

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

Free Visitor&Stat Counter

Location Map

Wasiliana nasi

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2017 Kisarawe District Council . All rights reserved.