• Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
    • Complaint |
Kisarawe District Council
Kisarawe District Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Kisarawe District Council

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
    • Core Values
    • Stategic
  • Administration
    • Structure
    • Departments
      • Administration and Human Resources
      • Planning and Statistics
      • Primary Education
      • Secondary Education
      • Agriculture and Irrigation
      • Livestock and Fisheries
      • Trade and Finance
      • Works and Fire Resque
      • Water
      • Land and Natural Resources
      • Community Development
      • Environment and Cleanliness
      • Health
    • Units
      • Legal
      • TEHAMA NA UHUSIANO
      • Internal Audit
      • Procurement and Supplier
      • Election
      • Beekeping
    • Programu
      • TASAF
      • UKIMWI
  • Investiments
    • Tourism Attractions
      • Traditional attractions
      • Cultural Attractions
      • Natural attractions
    • Agriculture
    • Pastoralism
    • Mineral
    • Teknolojia
    • Industries
  • Our Services
    • Health
    • Education
    • Water
    • Agriculture
    • livestock
  • Councillors
    • Councilors List
    • Council Committee
      • Finance, Administration and Planning
      • Economic, Construction and Environment
      • Council Multisectral Aids
      • Disciplinary
      • Social Welfare
    • Meeting Timetable
    • Chairman Timetable
  • Projects
    • Ongoing Projects
    • Completed Projects
    • Projects to be Implemented
  • Publications
    • By law
    • Customer Services Aggrement
    • Strategic Plan
    • Other Reports
    • Other Forms
    • Guidelines
  • Media Centre
    • Photo Gallery
    • Public Notice
    • Official and National Video
    • Press Release
    • Leaders Speech

KUVUNJWA KWA BARAZA LA MADIWANI KISARAWE UONGOZI WAJIVUNIA KUKAMILISHA MIRADI MBALIMBALI KATIKA KIPINDI CHA MIAKA 5

Posted on: April 29th, 2025

KUVUNJWA KWA BARAZA LA MADIWANI KISARAWE UONGOZI WAJIVUNIA KUKAMILISHA MIRADI MBALIMBALI KATIKA KIPINDI CHA MIAKA 5


Halmashauri  ya Kisarawe imevunja Baraza lake la madiwani lililohudumu kwa muda wa miaka mitano huku ikikamilisha utekelezaji wa miradi mbalimbali ya maendeleo ikiwemo ujenzi wa shule za  sekondari,msingi na zahanati katika kata 17 ndani ya Kisarawe.

Akizungumza katika kikao cha kuvunjwa kwa baraza la madiwani katika Wilaya hiyo Mwenyekiti wa Halmashauri ya Kisarawe Mhe, Zuberi Juma Kizwezwe amesema uongozi wa Halmashauri hiyo  Mwaka 2020-2025 umeweka historia katika nchi hii kwa kutekeleza miradi mingi mbalimbali katika kipindi hicho cha miaka mitano.


“Waheshimiwa mtembee kifua mbele mjue mmeweka historia na rekodi ziko wazi ni halmashauri ya Bora  kuwa na uzimamizi mzuri wa Kusimamia fedha za Serikali na kuwa na baraza tulivu katika nyaja mbalimbali Halmashauri imeweka historia”. Amesema Mhe.Kizwezwe


Akizungumza katika baraza hilo Kaimu Mkurugenzi wa halmashauri ya Bw Nyahori Mahumbwe  amewataka madiwani kuendeleza upambanaji waliouonesha kwa kipindi chote walichofanya kazi ndani ya halmashauri hiyo.

“Hakika uongozi uliopo chini ya Mheshimiwa Zuberi Juma Kizwezwe umeiongoza na kulisimamia vizuri baraza la madiwani na kuleta ufanisi mkubwa”. Amesema Bw Nyahori Mahumbwe,


Kwa upande wake Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe DC.Petro Magoti amesema kuwa mpaka sasa miradi ya mingi imeweza kutekelezwa katika Wilaya hiyo hasa kwenye miundombinu ya barabara ambapo maeneo mengi yalikuwa ni rahisi kuathiriwa na mvua pindi zinaponyesha.


“Nimefanya kazi na menejimenti ya Mkurugenzi, mnaondoka mkiwa mmeacha safu nzuri sana ya Halmashauri na yatatekelezwa yale ambayo sisi sasa tunaamini hata yale ambayo mnayaacha hayajakamilika yatakamilika yakiwa salama na ubora unaotakiwa”. Amesema DC.Magoti

Amewapongeza Madiwani wa Halmashauri ya Wilaya Kisarawe ikiongozwa na Mwenyekiti  wake Mhe Zuberi Juma Kizwezwe kwa  kusimamia utekelezaji wa ilani ya Chama Cha Mapinduzi kwenye maneneo Yetu.

Announcements

  • Wito Kwenye Mafunzo ya Uboreshaji wa Daftari tarehe 10-11/02/2025 Minaki Sekondari. February 07, 2025
  • Tangazo kwa Umma Kuhusu Uboreshaji wa Daftari la Mpiga Kura February 08, 2025
  • MKITANO WA BARAZA LA MADIWANI April 28, 2025
  • BARAZA LA MADIWANI NOVEMBA 2021 November 09, 2021
  • View All

Latest News

  • NIMEFURAHISHWA NA MMLIVYOJIPANGA KISARAWE CHATANDA NA ZAINABU

    May 08, 2025
  • OFISI YA MAKAMU WA PILI WA RAIS SERIKALI MAPINDUZI ZANZIBAR YAFANYA ZIARA YA KIKAZI WILAYA KISARAWE

    April 30, 2025
  • KISARAWE YAFANYA UTOAJI ELIMU YA DOZI YA NYONGEZA YA CHANJO YA SINDANO YA POLIO(IPV2)

    April 30, 2025
  • KUVUNJWA KWA BARAZA LA MADIWANI KISARAWE UONGOZI WAJIVUNIA KUKAMILISHA MIRADI MBALIMBALI KATIKA KIPINDI CHA MIAKA 5

    April 29, 2025
  • View All

Video

Kamati ya Fedha kutembelea Ujenzi wa Jengo Jipya la OPD Kisarawe Hospitali
More Videos

Quick Links

  • Natural Attractions
  • COMMUNITY HEALTH FUND
  • Kisarawe History
  • Photo Events in the Council
  • Rehabilitation of Theater Block
  • Council strategics
  • How to meet with District Chairman
  • Maelekezo jinsi ya kutumia Mfumo wa FFARS
  • Councilors Name List and Phone Number

Related Links

  • President's Office Public Service, Management and Good Governance
  • The National Examinations Council Of Tanzania
  • President's Office Regional Administration and Local Government
  • The Higher Education Students’ Loans Board
  • PPRA
  • State House
  • Employment
  • National Bureau Of statistics
  • Salary slip potral
  • Government Website
  • Parliament
  • Mfumo wa Ununuzi wa Umma NeST
  • Mfumo wa Upimaji Utendaji kazi wa Watumishi wa Umma (ESS)

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

Free Visitor&Stat Counter

Location Map

Wasiliana nasi

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2017 Kisarawe District Council . All rights reserved.