• Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
    • Complaint |
Kisarawe District Council
Kisarawe District Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Kisarawe District Council

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
    • Core Values
    • Stategic
  • Administration
    • Structure
    • Departments
      • Administration and Human Resources
      • Planning and Statistics
      • Primary Education
      • Secondary Education
      • Agriculture and Irrigation
      • Livestock and Fisheries
      • Trade and Finance
      • Works and Fire Resque
      • Water
      • Land and Natural Resources
      • Community Development
      • Environment and Cleanliness
      • Health
    • Units
      • Legal
      • TEHAMA NA UHUSIANO
      • Internal Audit
      • Procurement and Supplier
      • Election
      • Beekeping
    • Programu
      • TASAF
      • UKIMWI
  • Investiments
    • Tourism Attractions
      • Traditional attractions
      • Cultural Attractions
      • Natural attractions
    • Agriculture
    • Pastoralism
    • Mineral
    • Teknolojia
    • Industries
  • Our Services
    • Health
    • Education
    • Water
    • Agriculture
    • livestock
  • Councillors
    • Councilors List
    • Council Committee
      • Finance, Administration and Planning
      • Economic, Construction and Environment
      • Council Multisectral Aids
      • Disciplinary
      • Social Welfare
    • Meeting Timetable
    • Chairman Timetable
  • Projects
    • Ongoing Projects
    • Completed Projects
    • Projects to be Implemented
  • Publications
    • By law
    • Customer Services Aggrement
    • Strategic Plan
    • Other Reports
    • Other Forms
    • Guidelines
  • Media Centre
    • Photo Gallery
    • Public Notice
    • Official and National Video
    • Press Release
    • Leaders Speech

LUCKY CEMENT WATOA MSAADA KWA WANAFUNZI KISARAWE.

Posted on: November 7th, 2017

LUCKY  CEMENT WATOA MSAADA KWA WANAFUNZI KISARAWE.

Kiwanda cha kutengeneza saruji cha Lucky Cement kilichopo kata ya Kazimzumbwi Wilayani Kisarawe kimetoa msaada wa vitu mbalimbali kwa wanafunzi wa shule za sekondari zilizopo Wilayani Kisarawe.

Katika tukio la makabidhiano ya vifaa hivyo kwenye ofisi ya mkuu wa Wilaya ya Kisarawe Afisa uhusiano wa kiwanda cha Lucky cement ndugu Ally Mohamed amesema wamekuja kutoa vifaa hivi kwa ajili ya kuitikia wito uliotolewa awali wa kuchangia kuboresha elimu kwa wanafunzi uliotolewa na viongozi wa Wilaya na Halmashauri .

‘’tumeitikia wito wa kuchangia vifaa hivi ili kuunga mkono jitihada zinazofanywa na uongozi katika kuboresha elimu kwa wanafunzi wetu kwani hawa wanafunzi watakaophitimu baadae wanaenda kuhudumia wananchi nchi nzima hivyo naomba na makampuni mengine yaje kuunga mkono juhudi za mheshimiwa mkuu wa Wilaya katika kuchangia na kuboresha elimu’’ Amesema ndugu Ally Mohamed

Wakati anapokea msaada huo Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe Mheshimiwa Happiness William  Seneda  ameshukuru na kusema kuwa mara nyingi kiwanda cha saruji  wamekuwa na muitikio mkubwa kwenye kusaidia shughuli za maendeleo zinazofanyika hapa wilayani na wakati wote wamejitokeza kuchangia kuanzia ngazi zote za vitongoji,kata na wilayani hivyo amewashukuru sana .

Katika makabidhiano hayo kiwanda cha Saruji cha Lucky Cement wametoa msaada wa kilogramu mia mbili(200) za unga wa sembe , kilogramu mia mbili(200) za mchele,kilogaramu mia moja (100)za unga wa ngano,kilogamu mia moja(100) za sukari,mafuta ya kula lita sitini (60) na katoni za maji hamsini (50)

Mnamo tarehe 7/10/2017 wilaya ya kisarawe ilifanya Harambee ya kuchangisha fedha na vifaa kwa ajili ya kufanya maandalizi ya kuwaweka kambi wanafunzi wa kidato cha nne wanaofanya mitihani ya kumaliza elimu ya sekondari kwa mwaka huu.

Announcements

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI ZA MUDA ZA WATENDAJI WA VITUO VYA KUPIGIA KURA KWA AJILI YA UCHAGUZI MKUU WA MWAKA 2025 July 02, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI ZA МКАТАBA KWA WAKUSANYA MAPATO July 08, 2025
  • MATUKIO MUHIMU YA UKAGUZI WA MBIO ZA MAGARI KITUO CHA KISARAWE KAZIMZUMBWI June 28, 2025
  • Mikopo ya Elimu ya Juu kupitia Bodi ya Mikopo (HESLB) June 17, 2025
  • View All

Latest News

  • MAFUNZO YA MFUMO ANUANI ZA MAKAZI KWA WATENDAJI WA VIJIJI NA KATA

    July 07, 2025
  • MAFUNZO YA MFUMO WA E-UTENDAJI KWA WATUMISHI WA HALMASHAURI YA WILAYA YA KISARAWE

    July 07, 2025
  • MATUKIO MUHIMU YA UKAGUZI WA MBIO ZA MAGARI KITUO CHA KISARAWE KAZIMZUMBWI

    June 28, 2025
  • MATUKIO MUHIMU YA UKAGUZI WA MBIO ZA MAGARI KITUO CHA KISARAWE KAZIMZUMBWI

    June 28, 2025
  • View All

Video

Kamati ya Fedha kutembelea Ujenzi wa Jengo Jipya la OPD Kisarawe Hospitali
More Videos

Quick Links

  • Natural Attractions
  • COMMUNITY HEALTH FUND
  • Kisarawe History
  • Photo Events in the Council
  • Rehabilitation of Theater Block
  • Council strategics
  • How to meet with District Chairman
  • Maelekezo jinsi ya kutumia Mfumo wa FFARS
  • Councilors Name List and Phone Number

Related Links

  • President's Office Public Service, Management and Good Governance
  • The National Examinations Council Of Tanzania
  • President's Office Regional Administration and Local Government
  • The Higher Education Students’ Loans Board
  • PPRA
  • State House
  • Employment
  • National Bureau Of statistics
  • Salary slip potral
  • Government Website
  • Parliament
  • Mfumo wa Ununuzi wa Umma NeST
  • Mfumo wa Upimaji Utendaji kazi wa Watumishi wa Umma (ESS)

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

Free Visitor&Stat Counter

Location Map

Wasiliana nasi

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2017 Kisarawe District Council . All rights reserved.