• Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
    • Complaint |
Kisarawe District Council
Kisarawe District Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Kisarawe District Council

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
    • Core Values
    • Stategic
  • Administration
    • Structure
    • Departments
      • Administration and Human Resources
      • Planning and Statistics
      • Primary Education
      • Secondary Education
      • Agriculture and Irrigation
      • Livestock and Fisheries
      • Trade and Finance
      • Works and Fire Resque
      • Water
      • Land and Natural Resources
      • Community Development
      • Environment and Cleanliness
      • Health
    • Units
      • Legal
      • TEHAMA NA UHUSIANO
      • Internal Audit
      • Procurement and Supplier
      • Election
      • Beekeping
    • Programu
      • TASAF
      • UKIMWI
  • Investiments
    • Tourism Attractions
      • Traditional attractions
      • Cultural Attractions
      • Natural attractions
    • Agriculture
    • Pastoralism
    • Mineral
    • Teknolojia
    • Industries
  • Our Services
    • Health
    • Education
    • Water
    • Agriculture
    • livestock
  • Councillors
    • Councilors List
    • Council Committee
      • Finance, Administration and Planning
      • Economic, Construction and Environment
      • Council Multisectral Aids
      • Disciplinary
      • Social Welfare
    • Meeting Timetable
    • Chairman Timetable
  • Projects
    • Ongoing Projects
    • Completed Projects
    • Projects to be Implemented
  • Publications
    • By law
    • Customer Services Aggrement
    • Strategic Plan
    • Other Reports
    • Other Forms
    • Guidelines
  • Media Centre
    • Photo Gallery
    • Public Notice
    • Official and National Video
    • Press Release
    • Leaders Speech

MADIWANI WA HALMASHAURI YA WILAYA KISARAWE WAPITISHA BAJETI YA TSH 41,028,607,050,48 KWA MWAKA WA FEDHA 2024-2025.

Posted on: February 15th, 2024

MADIWANI WA HALMASHAURI YA WILAYA KISARAWE WAPITISHA BAJETI YA TSH 41,028,607,050,48 KWA MWAKA WA FEDHA 2024-2025.


KISARAWE PWANI


Baraza la Madiwani la Halmashauri ya Wilaya ya Kisarawe leo 15 Februari, 2024 limeridhia na kumepitisha Mpango na Bajeti ya Tsh.  Billion 41.028,607,050.48kwa mwaka 2024/2025. Maamuzi hayo yamefanyika  wakati wa  mkutano maalumu wa baraza hilo uliofanyika katika  ukumbi wa mikutano  wa halmashauri. Fedha hizo zitatumika katika kutekeleza shughuli mbalimbali za utoaji huduma, utawala na utekelezaji wa miradi  ya maendeleo.


Akiwasilisha rasimu ya Mpango na Bajeti ya mwaka 2024/2025 kwa niaba ya Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri , Afisa Mipango, Bw. Deogratius Lukomanya ameeleza  kuwa bajeti hiyo imezingatia miongozo ya kitaifa na halmashauri. Miongozo hiyo ni pamoja na kupokea mapendekezo kutoka kwa  wajumbe mbali mbali  katika ngazi ya  Wilaya, Kata, Vijiji, Vitengo na Divisheni za Halmashauri ya Wilaya ya Kisarawe,



Aidha, Bw. Lukomanya amefafanua kwamba katika rasimu hiyo ya Bajeti , kiasi cha Bilioni 4,810,513,000.00ni fedha zitatokana na vyanzo vya mapato ya ndani ya Halmashauri, kiasi cha shilingi  Bilioni 22,927,604,104.00 ni ruzuku ya  mishahara ya Watumishi, kiasi cha shilingi milioni 1,498,806,000.00 ni ruzuku ya uendeshaji wa ofisi ( OC) na kiasi cha Bilioni 12,273,452,500,00 ni kwa ajili ya kutekeleza Miradi ya Maendeleo kutoka Serikali kuu,


Naye Mwenyekiti wa Halmashauri MHE ZUBERI KIZWEZWE katika hotuba yake amemtaka Mkurugenzi Mtendaji wa halmasahuri ya Wilaya ya Kisarawe Ndg BEATRICE DOMINIC kuendeleza jitihada alizozianzisha katika kutekeleza majukumu ya halmashauri na kumtaka kutekeleza miradi ya maendeleo kwa wakati  ili wananchi wafurahie matunda ya nchi yao Tanzania “nina  imani kubwa na wewe na sina  mashaka na utendaji kazi wako” amesema MHE KIZWEZWE,



Kwa upande wake Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya Kisarawe Ndg BEATRICE DOMINIC   amefafanua kuwa amebaini kuwa vyanzo vingi vya mapato haviwekwi kwa uhalisia na hata vinavyowekwa havifikii malengo. Hivyo, amewaomba Waheshimiwa Madiwani na kuwataka watendaji wa halmashauri kuwa kitu kimoja na kufanya kazi kwa ushirikiano ili kuleta maendeleo kwa wananchi.


 “Pale ambapo hatufanyi vizuri tuambiwe pasipo kuoneana haya na tunapokosea tukosolewe  kwa kuwa wote tunaijenga halmashauri moja" alisisitiza Ndg BEATRICE DOMINIC

Nae Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi CCM Wilaya ya Kisarawe Komred Khalfani Sika alimpongeza Mkurugenzi Mtendaji kwa kusimamia vyema ilani ya CHAMA CHA MAPINDUZI CCM KWA vitendo Kisarawe Katika Miradi.

Announcements

  • Wito Kwenye Mafunzo ya Uboreshaji wa Daftari tarehe 10-11/02/2025 Minaki Sekondari. February 07, 2025
  • Tangazo kwa Umma Kuhusu Uboreshaji wa Daftari la Mpiga Kura February 08, 2025
  • MKITANO WA BARAZA LA MADIWANI April 28, 2025
  • BARAZA LA MADIWANI NOVEMBA 2021 November 09, 2021
  • View All

Latest News

  • NIMEFURAHISHWA NA MMLIVYOJIPANGA KISARAWE CHATANDA NA ZAINABU

    May 08, 2025
  • OFISI YA MAKAMU WA PILI WA RAIS SERIKALI MAPINDUZI ZANZIBAR YAFANYA ZIARA YA KIKAZI WILAYA KISARAWE

    April 30, 2025
  • KISARAWE YAFANYA UTOAJI ELIMU YA DOZI YA NYONGEZA YA CHANJO YA SINDANO YA POLIO(IPV2)

    April 30, 2025
  • KUVUNJWA KWA BARAZA LA MADIWANI KISARAWE UONGOZI WAJIVUNIA KUKAMILISHA MIRADI MBALIMBALI KATIKA KIPINDI CHA MIAKA 5

    April 29, 2025
  • View All

Video

Kamati ya Fedha kutembelea Ujenzi wa Jengo Jipya la OPD Kisarawe Hospitali
More Videos

Quick Links

  • Natural Attractions
  • COMMUNITY HEALTH FUND
  • Kisarawe History
  • Photo Events in the Council
  • Rehabilitation of Theater Block
  • Council strategics
  • How to meet with District Chairman
  • Maelekezo jinsi ya kutumia Mfumo wa FFARS
  • Councilors Name List and Phone Number

Related Links

  • President's Office Public Service, Management and Good Governance
  • The National Examinations Council Of Tanzania
  • President's Office Regional Administration and Local Government
  • The Higher Education Students’ Loans Board
  • PPRA
  • State House
  • Employment
  • National Bureau Of statistics
  • Salary slip potral
  • Government Website
  • Parliament
  • Mfumo wa Ununuzi wa Umma NeST
  • Mfumo wa Upimaji Utendaji kazi wa Watumishi wa Umma (ESS)

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

Free Visitor&Stat Counter

Location Map

Wasiliana nasi

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2017 Kisarawe District Council . All rights reserved.