• Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
    • Complaint |
Kisarawe District Council
Kisarawe District Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Kisarawe District Council

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
    • Core Values
    • Stategic
  • Administration
    • Structure
    • Departments
      • Administration and Human Resources
      • Planning and Statistics
      • Primary Education
      • Secondary Education
      • Agriculture and Irrigation
      • Livestock and Fisheries
      • Trade and Finance
      • Works and Fire Resque
      • Water
      • Land and Natural Resources
      • Community Development
      • Environment and Cleanliness
      • Health
    • Units
      • Legal
      • TEHAMA NA UHUSIANO
      • Internal Audit
      • Procurement and Supplier
      • Election
      • Beekeping
    • Programu
      • TASAF
      • UKIMWI
  • Investiments
    • Tourism Attractions
      • Traditional attractions
      • Cultural Attractions
      • Natural attractions
    • Agriculture
    • Pastoralism
    • Mineral
    • Teknolojia
    • Industries
  • Our Services
    • Health
    • Education
    • Water
    • Agriculture
    • livestock
  • Councillors
    • Councilors List
    • Council Committee
      • Finance, Administration and Planning
      • Economic, Construction and Environment
      • Council Multisectral Aids
      • Disciplinary
      • Social Welfare
    • Meeting Timetable
    • Chairman Timetable
  • Projects
    • Ongoing Projects
    • Completed Projects
    • Projects to be Implemented
  • Publications
    • By law
    • Customer Services Aggrement
    • Strategic Plan
    • Other Reports
    • Other Forms
    • Guidelines
  • Media Centre
    • Photo Gallery
    • Public Notice
    • Official and National Video
    • Press Release
    • Leaders Speech

MKURUGENZI WA SERA NA MIPANGO OR-TAMISEMI AKAGUA MIRADI YA ELIMU SEKONDARI KIMANI NA JENGO LA UTAWALA ATOA PONGEZI KWA MKURUGENZI MTENDAJI KISARAWE KWA KUSIMAMIA MIRADI KWA UFANISI NA UBORA

Posted on: December 1st, 2023

"MKURUGENZI WA  SERA NA MIPANGO OR-TAMISEMI AKAGUA MIRADI YA ELIMU SEKONDARI KIMANI NA JENGO LA UTAWALA  ATOA PONGEZI KWA MKURUGENZI MTENDAJI KISARAWE KWA KUSIMAMIA MIRADI KWA UFANISI NA UBORA


KISARAWE PWANI


Mkurugenzi wa Sera na Mipango OR-TAMISEMI Ndg JOHN MIHAYO CHEYO  amefanya ziara maalumu ya ukaguzi wa Miradi ya Elimu Sekondari na Jengo la utawala la  Wilayani Kisarawe 22.12.2023.


Akitembelea miradi mbalimbali Hiyo Ndg JOHN MIHAYO CHEYO  amesema kuwa Lengo la ziara hii ni kuhakikisha kuwa Wana-kisarawe wanapata huduma ya Elimu  bora, Sambamba na kuonesha kazi kubwa inayofanywa na Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika sekta ya Elimu na Utawala  Kisarawe kupitia Fedha mbalimbali zinazoletwa na Kusimamiwa na Mkurugenzi Mtendaji Kisarawe.


Aidha katika ukaguzi Huo wa miradi ya kimani na Jengo la utawala la Kisarawe pia alikagua  hali ya ujenzi wa Miundombinu ya Bweni,Bwalo na Vyoo vya  shule ya kimani Sekondari na kupongeza kwa jitihada walizotumia za kusimamia vyema ujenzi wa jengo la utawala na ujenzi wa Madarasa,Vyoo,Bweni,na Bwalo katika shule ya kimani

Sambamba na hapo  alisisitiza mambo Muhimu ya kuzingatia ili Miradi iishe kwa Wakati ikiwamo kuendelea zaidi kutoa ushirikiano na usimamizi wa Mzuri Kama wa Awali,

Hi Miradi Kwa Sasa ipo hatua za mwisho Kumaliza ila nimevutiwa Sana na usimamizi Mzuri wa Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Wilaya Kisarawe katika Miradi hii hivyo nashauri kuendelea na utekelezaji wa Miradi hii kufika asilia Mia Moja asisitiza Ndg JOHN MIHAYO CHEYO,


Katika hatua nyingine, Ndg JOHN MIHAYO CHEYO amesitiza juu ya adhma ya Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan juu ya kila mwanafunzi anapata Fursa ya kusoma  sambamba na kutunza miundombinu yote ya Elimu pamoja na Watumishi kufanya Kazi katika Mazingira mazuri ya majengo na Kuboresha utoaji huduma kwa kuwahudumia wananchi katika Mazingira Bora kwa Kuboresha majengo ya utawala Nchini,

Aida  kwa hatua nyengine alimpongeza mkurugenzi mtendaji kwa kupanga bajeti ya mapato ya ndani kumalizia miradi mbalimbali ya halmashauri ikiwemo mradi wa bwalo katika shule ya sekondari ya kimani alipongeza mkueugezi wa sera na mipango Ndg JOHN MIHAYO CHEYO


Mwisho,Ndg JOHN MIHAYO CHEYO  amesisitiza  waliopewa dhamana za kutekeleza miradi ya Elimu Wilaya ya Kisarawe kufanya kazi kwa ufanisi, ubora na kwenda na wakati ili kukamilisha miradi husika.

Mkurugenzi wa Sera na Mipango OR-TAMISEMI  ameambatana na Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Kisarawe Ndg. BEATRICE DOMINIC  Kaimu wa idara ya ujenzi na Miundombinu Wilaya Kisarawe Eng Leonard Mashaka,Mkuu wa idara ya Mipango Ndg Deogratius Lukomanya,Mkuu wa idara ya Elimu Sekondari Mwl Edith Fue, Afisa Vifaa Sekondari Slo Hassan Mathius.

Announcements

  • Wito Kwenye Mafunzo ya Uboreshaji wa Daftari tarehe 10-11/02/2025 Minaki Sekondari. February 07, 2025
  • Tangazo kwa Umma Kuhusu Uboreshaji wa Daftari la Mpiga Kura February 08, 2025
  • MKITANO WA BARAZA LA MADIWANI April 28, 2025
  • BARAZA LA MADIWANI NOVEMBA 2021 November 09, 2021
  • View All

Latest News

  • NIMEFURAHISHWA NA MMLIVYOJIPANGA KISARAWE CHATANDA NA ZAINABU

    May 08, 2025
  • OFISI YA MAKAMU WA PILI WA RAIS SERIKALI MAPINDUZI ZANZIBAR YAFANYA ZIARA YA KIKAZI WILAYA KISARAWE

    April 30, 2025
  • KISARAWE YAFANYA UTOAJI ELIMU YA DOZI YA NYONGEZA YA CHANJO YA SINDANO YA POLIO(IPV2)

    April 30, 2025
  • KUVUNJWA KWA BARAZA LA MADIWANI KISARAWE UONGOZI WAJIVUNIA KUKAMILISHA MIRADI MBALIMBALI KATIKA KIPINDI CHA MIAKA 5

    April 29, 2025
  • View All

Video

Kamati ya Fedha kutembelea Ujenzi wa Jengo Jipya la OPD Kisarawe Hospitali
More Videos

Quick Links

  • Natural Attractions
  • COMMUNITY HEALTH FUND
  • Kisarawe History
  • Photo Events in the Council
  • Rehabilitation of Theater Block
  • Council strategics
  • How to meet with District Chairman
  • Maelekezo jinsi ya kutumia Mfumo wa FFARS
  • Councilors Name List and Phone Number

Related Links

  • President's Office Public Service, Management and Good Governance
  • The National Examinations Council Of Tanzania
  • President's Office Regional Administration and Local Government
  • The Higher Education Students’ Loans Board
  • PPRA
  • State House
  • Employment
  • National Bureau Of statistics
  • Salary slip potral
  • Government Website
  • Parliament
  • Mfumo wa Ununuzi wa Umma NeST
  • Mfumo wa Upimaji Utendaji kazi wa Watumishi wa Umma (ESS)

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

Free Visitor&Stat Counter

Location Map

Wasiliana nasi

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2017 Kisarawe District Council . All rights reserved.