• Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
    • Complaint |
Kisarawe District Council
Kisarawe District Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Kisarawe District Council

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
    • Core Values
    • Stategic
  • Administration
    • Structure
    • Departments
      • Administration and Human Resources
      • Planning and Statistics
      • Primary Education
      • Secondary Education
      • Agriculture and Irrigation
      • Livestock and Fisheries
      • Trade and Finance
      • Works and Fire Resque
      • Water
      • Land and Natural Resources
      • Community Development
      • Environment and Cleanliness
      • Health
    • Units
      • Legal
      • TEHAMA NA UHUSIANO
      • Internal Audit
      • Procurement and Supplier
      • Election
      • Beekeping
    • Programu
      • TASAF
      • UKIMWI
  • Investiments
    • Tourism Attractions
      • Traditional attractions
      • Cultural Attractions
      • Natural attractions
    • Agriculture
    • Pastoralism
    • Mineral
    • Teknolojia
    • Industries
  • Our Services
    • Health
    • Education
    • Water
    • Agriculture
    • livestock
  • Councillors
    • Councilors List
    • Council Committee
      • Finance, Administration and Planning
      • Economic, Construction and Environment
      • Council Multisectral Aids
      • Disciplinary
      • Social Welfare
    • Meeting Timetable
    • Chairman Timetable
  • Projects
    • Ongoing Projects
    • Completed Projects
    • Projects to be Implemented
  • Publications
    • By law
    • Customer Services Aggrement
    • Strategic Plan
    • Other Reports
    • Other Forms
    • Guidelines
  • Media Centre
    • Photo Gallery
    • Public Notice
    • Official and National Video
    • Press Release
    • Leaders Speech

MSIWAFANYIE UPANDIKIZAJI WAWEKEZAJI KATIKA ARDHI-JK KIKWETE

Posted on: October 6th, 2022

MSIWAFANYIE UPANDIKIZAJI WAWEKEZAJI NA WADAU KATIKA ARDHI-JK  KIKWETE

Na

Mwandishi Wetu 


Rais Mstaaafu wa Tanzania awamu ya Nne Mhe Dr Jakaya Kitwete leo 06.10.2022 ametembelea mabanda Mbali Mbali katika Maonesho ya Viwanda, Biashara na uwekezaji mkoa wa Pwani Wilaya kibaha huku akitoa wito kwa Wizara na Taasisi za serikali kuacha tabia ya kuwasumbua Wawekezaji pindi wanatotaka kuwekeza katika Uchumi na Ardhi kuendana na kauli ya Zilongwa zitendwa kwa kutokuwafanyia tabia ya Upandikizaji yaani umiliki Zaidi ya mmoja eneo la Ardhi,



Akizungumza wakati wa ukaguzi wa   Maanda ya Maonesho ya bidhaa katika Banda la Wizara ya Ardhi,Nyumba na  maendeleo ya Makazi alikemea tabia ya baadhi ya Mafisa wasio waminifu kwa serikali kwa tabia ya kuuza maeneo ya uwekezaji na makazi  Mara mbilimbili na kuleta kero kwa Mwekezaji na Raia,


"Hivi nyie Hampimii na kuuza viwanja na maeneo ya uwekezaji hamuuzi kwa kubandia bandi viwanja kwa Mwekezaji Zaidi ya mmoja huku akionyesha ishara ya mayele aliuliza Dr Kikwete*"


" Tabia hii ya kuuwauzia Watu viwanja mtu ama Tasisi zaidi ya mmoja huleta Taharuki sio nzuri na kurudisha Nyuma maendeleo Baada ya mtu kutaka kuwekeza ama Kujenga Sasa anakua Muda wote anatafuta suluhishi la Ardhi hii Hapana alimalizia Dr Kikwete"


"Pwani tuna Ardhi nzuri na salama Naomba tutumie fursa hiyo kwa maendeleo na sio vinginevyo  na pia tutumie fursa ya Usalama na ulinzi wa maeneo yetu kwa raia na wawekezaji wetu Pwani"


Aidha pia alizitaka Tasisi nyengine za serikali zinazohusika na Masuala ya maendeleo na uwekezaji Kama na Kutoa ruhusa za maeneo Kama Osha,Zimamoto, T.R.A Ruwasa, T.I.C Tanesco Nk  kutekeleza majukumu Yao kwa mujibu wa sheria ili kuvutia wawekezaji kwa Ufanisi wa Maombi pindi wanapowasilisha kwao kwa Muda mchache Kama mnavyowambia Kuwa waje kuwekeza Basi iwe Hivyo na sio vinginevyo,


"Nimefika pale BRELA nimeuliza  kusajili kampuni Ni Muda gani nachukua kukamilika nikajibiwa Kuwa Ni Siku Nne Kama kweli hiii ipo vizuri ninawapongeza na  inachochea maendeleo  Hivyo badilikeni nataka iwe Kama wazaramo wanavyosema Zilongwa zitendwa kwa Pwani alimalizia Dr Kikwete"

Nae kamishna wa Ardhi msaidizi mkoa wa pwani ndugu Hussein Sadiki  alisema Kwamba,


 "Tunawatoa hofu watanzania wote kwa ujumla kwa Sasa Mkoa wa Pwani katika Wilaya ya Mkuranga kibaha na kibaha mji na chalinze tumeanza kuboresha umiliki wa Tarifa za umiliki kisasa Hivyo hakitakua na upandikizaji wa Umiliki na Mwaka wa Fedha wa mwakani tunatgemea kuendelea kwa Wilaya nyengine yote hii Ni kuboresha na kuondosha Matatizo  mbalimbali ya Umiliki Ardhi alimalizia Sadiki"

Announcements

  • Wito Kwenye Mafunzo ya Uboreshaji wa Daftari tarehe 10-11/02/2025 Minaki Sekondari. February 07, 2025
  • Tangazo kwa Umma Kuhusu Uboreshaji wa Daftari la Mpiga Kura February 08, 2025
  • MKITANO WA BARAZA LA MADIWANI April 28, 2025
  • BARAZA LA MADIWANI NOVEMBA 2021 November 09, 2021
  • View All

Latest News

  • NIMEFURAHISHWA NA MMLIVYOJIPANGA KISARAWE CHATANDA NA ZAINABU

    May 08, 2025
  • OFISI YA MAKAMU WA PILI WA RAIS SERIKALI MAPINDUZI ZANZIBAR YAFANYA ZIARA YA KIKAZI WILAYA KISARAWE

    April 30, 2025
  • KISARAWE YAFANYA UTOAJI ELIMU YA DOZI YA NYONGEZA YA CHANJO YA SINDANO YA POLIO(IPV2)

    April 30, 2025
  • KUVUNJWA KWA BARAZA LA MADIWANI KISARAWE UONGOZI WAJIVUNIA KUKAMILISHA MIRADI MBALIMBALI KATIKA KIPINDI CHA MIAKA 5

    April 29, 2025
  • View All

Video

Kamati ya Fedha kutembelea Ujenzi wa Jengo Jipya la OPD Kisarawe Hospitali
More Videos

Quick Links

  • Natural Attractions
  • COMMUNITY HEALTH FUND
  • Kisarawe History
  • Photo Events in the Council
  • Rehabilitation of Theater Block
  • Council strategics
  • How to meet with District Chairman
  • Maelekezo jinsi ya kutumia Mfumo wa FFARS
  • Councilors Name List and Phone Number

Related Links

  • President's Office Public Service, Management and Good Governance
  • The National Examinations Council Of Tanzania
  • President's Office Regional Administration and Local Government
  • The Higher Education Students’ Loans Board
  • PPRA
  • State House
  • Employment
  • National Bureau Of statistics
  • Salary slip potral
  • Government Website
  • Parliament
  • Mfumo wa Ununuzi wa Umma NeST
  • Mfumo wa Upimaji Utendaji kazi wa Watumishi wa Umma (ESS)

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

Free Visitor&Stat Counter

Location Map

Wasiliana nasi

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2017 Kisarawe District Council . All rights reserved.