• Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
    • Complaint |
Kisarawe District Council
Kisarawe District Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Kisarawe District Council

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
    • Core Values
    • Stategic
  • Administration
    • Structure
    • Departments
      • Administration and Human Resources
      • Planning and Statistics
      • Primary Education
      • Secondary Education
      • Agriculture and Irrigation
      • Livestock and Fisheries
      • Trade and Finance
      • Works and Fire Resque
      • Water
      • Land and Natural Resources
      • Community Development
      • Environment and Cleanliness
      • Health
    • Units
      • Legal
      • TEHAMA NA UHUSIANO
      • Internal Audit
      • Procurement and Supplier
      • Election
      • Beekeping
    • Programu
      • TASAF
      • UKIMWI
  • Investiments
    • Tourism Attractions
      • Traditional attractions
      • Cultural Attractions
      • Natural attractions
    • Agriculture
    • Pastoralism
    • Mineral
    • Teknolojia
    • Industries
  • Our Services
    • Health
    • Education
    • Water
    • Agriculture
    • livestock
  • Councillors
    • Councilors List
    • Council Committee
      • Finance, Administration and Planning
      • Economic, Construction and Environment
      • Council Multisectral Aids
      • Disciplinary
      • Social Welfare
    • Meeting Timetable
    • Chairman Timetable
  • Projects
    • Ongoing Projects
    • Completed Projects
    • Projects to be Implemented
  • Publications
    • By law
    • Customer Services Aggrement
    • Strategic Plan
    • Other Reports
    • Other Forms
    • Guidelines
  • Media Centre
    • Photo Gallery
    • Public Notice
    • Official and National Video
    • Press Release
    • Leaders Speech

NMB Yakabidhi Madawati Wilaya Ya Kisarawe

Posted on: August 16th, 2018

NMB Yakabidhi Madawati Wilaya Ya Kisarawe

Benki ya NMB Tanzania imekabidhi madawati mia moja  katika Wilaya ya Kisarawe kwa ajili YA Matumizi kwa shule mbili za Sekondari ya Masaki na Mfuru zilizopo Wilaya ya Kisarawe.

Katika makabidhiano hayo yaliyofanyika kwenye viwanja vya shule ya sekondari vya Masaki na Mfuru  Mkurugenzi wa masuala ya serikali wa benki ya NMB bi………….alimkabidhi madawati Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe Mheshimiwa Jokate Mwegelo  amesema Benki ya NMB imeweka kipaumbele kushirikiana na serikali kutatua changamoto mbalimbali zinazokabili jamii.

‘’Tulipopata maombi yenu,tulifarijika na kuamua mara moja kuja kushirikiana na ninyi ili kuwa chachu ya maendeleo katika sekta ya elimu.Madawati tunayokabidhi leo ni moja ya ushiriki wetu katika maendeleo ya jamii na sisi kama benki inayoongoza Tanzania tunahakikiksha jamii inafaidika kutokana na faida tunayopata.Benki ya NMB imekuwa ikishiriki katika shughuli mbalimbali za kijamii kama vile kusaidia sekta ya elimu  afya pamoja na kufariji jamii katika vipindi mbalimbali kama mafuriko,matetemeko na ajali mbalimbali zinazogusa jamii’’Amesema Bi Aneth Kwaya 

Wakati akipokea Msaada huo Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe Mheshimiwa Jokate Mwegelo ameishukuru benki ya NMB kwa msaada huo ambao utakuwa chachu kubwa kwa matokeo mazuri kwa wanafunzi .Pia aliwaasa wanafunzi kusoma kwa bidii na kuleta matunda 

‘’Zero haikubaliki,hatuitaki zero! Hatuongei tu bali tunamaanisha,Walimuwanafanya kazi nzito kuwafundisha,serikali inafanya kazi ya kipekee na benki ya NMB ikaona iweke mkono wake ili kuwabariki wanafunzi ili mazingira yenu ya kusoma yawe mepesi. Kwa hiyo ninyi kama wanafunzi mna deni zito sana la kulipa na deni hilo mtalilipa pale tu mtakapofanya vizuri darasani na kufaulu’’ Amesema Mheshimiwa Jokate.

Katika makabidhiano hayo Benki ya NMB imekabidhi jumla ya madawati mia moja yenye jumla ya thamani ya shilingi milioni tano ambapo shule ya Sekondari ya Masaki imepata madawati hamsini na Shule ya sekondari ya Mfuru imepata madawati hamsini.

Hafla ya makabidhiano pia imehudhuriwa na Waheshimiwa Madiwani wa Kata ya Masaki na  Marumbo  Mhe.Pili Chamgui na Mhe.Mayasa S. Yange, Katibu Tawala wa Kisarawe Ndugu Mtela Mwampamba,Kaimu Mkurugenzi Ndugu Patric  Allute,Afisa elimu Sekondari bi Generosa Nyoni na Maafisa wa Benki ya NMB Tawi la Kisarawe wakiongozwa na Meneja wa benki hiyo Ndugu Sumka 

Announcements

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI ZA MUDA ZA WATENDAJI WA VITUO VYA KUPIGIA KURA KWA AJILI YA UCHAGUZI MKUU WA MWAKA 2025 July 02, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI ZA МКАТАBA KWA WAKUSANYA MAPATO July 08, 2025
  • MATUKIO MUHIMU YA UKAGUZI WA MBIO ZA MAGARI KITUO CHA KISARAWE KAZIMZUMBWI June 28, 2025
  • Mikopo ya Elimu ya Juu kupitia Bodi ya Mikopo (HESLB) June 17, 2025
  • View All

Latest News

  • MAFUNZO YA MFUMO ANUANI ZA MAKAZI KWA WATENDAJI WA VIJIJI NA KATA

    July 07, 2025
  • MAFUNZO YA MFUMO WA E-UTENDAJI KWA WATUMISHI WA HALMASHAURI YA WILAYA YA KISARAWE

    July 07, 2025
  • MATUKIO MUHIMU YA UKAGUZI WA MBIO ZA MAGARI KITUO CHA KISARAWE KAZIMZUMBWI

    June 28, 2025
  • MATUKIO MUHIMU YA UKAGUZI WA MBIO ZA MAGARI KITUO CHA KISARAWE KAZIMZUMBWI

    June 28, 2025
  • View All

Video

Kamati ya Fedha kutembelea Ujenzi wa Jengo Jipya la OPD Kisarawe Hospitali
More Videos

Quick Links

  • Natural Attractions
  • COMMUNITY HEALTH FUND
  • Kisarawe History
  • Photo Events in the Council
  • Rehabilitation of Theater Block
  • Council strategics
  • How to meet with District Chairman
  • Maelekezo jinsi ya kutumia Mfumo wa FFARS
  • Councilors Name List and Phone Number

Related Links

  • President's Office Public Service, Management and Good Governance
  • The National Examinations Council Of Tanzania
  • President's Office Regional Administration and Local Government
  • The Higher Education Students’ Loans Board
  • PPRA
  • State House
  • Employment
  • National Bureau Of statistics
  • Salary slip potral
  • Government Website
  • Parliament
  • Mfumo wa Ununuzi wa Umma NeST
  • Mfumo wa Upimaji Utendaji kazi wa Watumishi wa Umma (ESS)

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

Free Visitor&Stat Counter

Location Map

Wasiliana nasi

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2017 Kisarawe District Council . All rights reserved.