• Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
    • Complaint |
Kisarawe District Council
Kisarawe District Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Kisarawe District Council

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
    • Core Values
    • Stategic
  • Administration
    • Structure
    • Departments
      • Administration and Human Resources
      • Planning and Statistics
      • Primary Education
      • Secondary Education
      • Agriculture and Irrigation
      • Livestock and Fisheries
      • Trade and Finance
      • Works and Fire Resque
      • Water
      • Land and Natural Resources
      • Community Development
      • Environment and Cleanliness
      • Health
    • Units
      • Legal
      • TEHAMA NA UHUSIANO
      • Internal Audit
      • Procurement and Supplier
      • Election
      • Beekeping
    • Programu
      • TASAF
      • UKIMWI
  • Investiments
    • Tourism Attractions
      • Traditional attractions
      • Cultural Attractions
      • Natural attractions
    • Agriculture
    • Pastoralism
    • Mineral
    • Teknolojia
    • Industries
  • Our Services
    • Health
    • Education
    • Water
    • Agriculture
    • livestock
  • Councillors
    • Councilors List
    • Council Committee
      • Finance, Administration and Planning
      • Economic, Construction and Environment
      • Council Multisectral Aids
      • Disciplinary
      • Social Welfare
    • Meeting Timetable
    • Chairman Timetable
  • Projects
    • Ongoing Projects
    • Completed Projects
    • Projects to be Implemented
  • Publications
    • By law
    • Customer Services Aggrement
    • Strategic Plan
    • Other Reports
    • Other Forms
    • Guidelines
  • Media Centre
    • Photo Gallery
    • Public Notice
    • Official and National Video
    • Press Release
    • Leaders Speech

SHAKA , KIKWETE WARIDHISHWA NA MADINI YA KISARAWE

Posted on: October 9th, 2022

*SHAKA,KIKWETE WARIDHISHWA NA MADINI YA KISARAWE*

#KAOLIN ya Kwanza AFRIKA IPO Pwani-
KIKWETE

#MAZINGIRA RAFIKI YA UWEKEZAJI YATAIVUSHA PWANI-SHAKA

*KIBAHA PWANI*
*Wazir Wazir*

KATIKA kuendelea na Wiki ya Maonesho ya Viwanda Biashara na Uwekezaji Mkoa wa Pwani Leo 09.10.2022 Viongozi Mbalimbali wa Kitaifa wameendelea kutoa Ushauri na uelekezi wa namna Pwani inaweza kukuza na kuendesha Uchumi nchini,

Akizungumza Wakati wa kukagua Banda la kisarawe Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa itikadi na Uenezi Ndugu Shaka Hamdu Shaka alifurahishwa na Mazingira ya Uwekezaji ya pwani Kwa awamu Hii ya sita ya RAIS Samia

*"Kwa sasa Tanzania inaenda vizuri katika Uwekezaji na Uwezeshaji wa wadau na wafanya biasha wanaotaka kuwekeza nchini Hasa Pwani Kwa Miaka hii ya Sasa alimazia Shaka*"

Nae Naibu Waziri wa Ardhi na Maendeleo ya makazi Mhe Ridhiwani Kikwete alifurahishwa na Maendeleo ya Upimaji na Uwezeshaji wa Ardhi kisarawe Kwa kuwapo Kwa mradi wa Viwanja Maeneo ya Visegese,

*"Viwanja vya Eneo la Viwanda kama Viwanja vya Viwanda, makazi,na Uwekezaji wa mashamba ya kisasa ni strategies Kwa ajili ya uchumi na dryPort  alimazia Mhe Kikwete*"

*"Miradi yote ya Maendeleo ambayo ipo kisarawe itaivusha na kuwa wilaya Pekee ya kiuchumi na viwanda Hasa kutokana na Ukubwa wa Ardhi na Eneo Salama kisarawe alimalizia Kikwete*


Uwepo wa Maonesho ya Viwanda Biashara na Uwekezaji Mkoa wa Pwani umepelekea Kwa wadau wa Maendeleo kufahamu na kukua zaidi Undani wa Harakati na Fursa za  uchumi Pwani.

Kauli mbiu ya Mwaka Huu ni *Pwani ni Sehemu Sahihi Kwa Uwekezaji, Pamoja Tujenge Viwanda na Ajira*

Announcements

  • Wito Kwenye Mafunzo ya Uboreshaji wa Daftari tarehe 10-11/02/2025 Minaki Sekondari. February 07, 2025
  • Tangazo kwa Umma Kuhusu Uboreshaji wa Daftari la Mpiga Kura February 08, 2025
  • MKITANO WA BARAZA LA MADIWANI April 28, 2025
  • BARAZA LA MADIWANI NOVEMBA 2021 November 09, 2021
  • View All

Latest News

  • NIMEFURAHISHWA NA MMLIVYOJIPANGA KISARAWE CHATANDA NA ZAINABU

    May 08, 2025
  • OFISI YA MAKAMU WA PILI WA RAIS SERIKALI MAPINDUZI ZANZIBAR YAFANYA ZIARA YA KIKAZI WILAYA KISARAWE

    April 30, 2025
  • KISARAWE YAFANYA UTOAJI ELIMU YA DOZI YA NYONGEZA YA CHANJO YA SINDANO YA POLIO(IPV2)

    April 30, 2025
  • KUVUNJWA KWA BARAZA LA MADIWANI KISARAWE UONGOZI WAJIVUNIA KUKAMILISHA MIRADI MBALIMBALI KATIKA KIPINDI CHA MIAKA 5

    April 29, 2025
  • View All

Video

Kamati ya Fedha kutembelea Ujenzi wa Jengo Jipya la OPD Kisarawe Hospitali
More Videos

Quick Links

  • Natural Attractions
  • COMMUNITY HEALTH FUND
  • Kisarawe History
  • Photo Events in the Council
  • Rehabilitation of Theater Block
  • Council strategics
  • How to meet with District Chairman
  • Maelekezo jinsi ya kutumia Mfumo wa FFARS
  • Councilors Name List and Phone Number

Related Links

  • President's Office Public Service, Management and Good Governance
  • The National Examinations Council Of Tanzania
  • President's Office Regional Administration and Local Government
  • The Higher Education Students’ Loans Board
  • PPRA
  • State House
  • Employment
  • National Bureau Of statistics
  • Salary slip potral
  • Government Website
  • Parliament
  • Mfumo wa Ununuzi wa Umma NeST
  • Mfumo wa Upimaji Utendaji kazi wa Watumishi wa Umma (ESS)

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

Free Visitor&Stat Counter

Location Map

Wasiliana nasi

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2017 Kisarawe District Council . All rights reserved.