• Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
    • Complaint |
Kisarawe District Council
Kisarawe District Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Kisarawe District Council

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
    • Core Values
    • Stategic
  • Administration
    • Structure
    • Departments
      • Administration and Human Resources
      • Planning and Statistics
      • Primary Education
      • Secondary Education
      • Agriculture and Irrigation
      • Livestock and Fisheries
      • Trade and Finance
      • Works and Fire Resque
      • Water
      • Land and Natural Resources
      • Community Development
      • Environment and Cleanliness
      • Health
    • Units
      • Legal
      • TEHAMA NA UHUSIANO
      • Internal Audit
      • Procurement and Supplier
      • Election
      • Beekeping
    • Programu
      • TASAF
      • UKIMWI
  • Investiments
    • Tourism Attractions
      • Traditional attractions
      • Cultural Attractions
      • Natural attractions
    • Agriculture
    • Pastoralism
    • Mineral
    • Teknolojia
    • Industries
  • Our Services
    • Health
    • Education
    • Water
    • Agriculture
    • livestock
  • Councillors
    • Councilors List
    • Council Committee
      • Finance, Administration and Planning
      • Economic, Construction and Environment
      • Council Multisectral Aids
      • Disciplinary
      • Social Welfare
    • Meeting Timetable
    • Chairman Timetable
  • Projects
    • Ongoing Projects
    • Completed Projects
    • Projects to be Implemented
  • Publications
    • By law
    • Customer Services Aggrement
    • Strategic Plan
    • Other Reports
    • Other Forms
    • Guidelines
  • Media Centre
    • Photo Gallery
    • Public Notice
    • Official and National Video
    • Press Release
    • Leaders Speech

Tanzania Yazindua Jitihada Za Kuhifadhi Na Kuendeleza Hifadhi Za Misitu

Posted on: August 13th, 2018

Tanzania Yazindua  Jitihada Za Kuhifadhi Na Kuendeleza Hifadhi Za Misitu

Nchi ya Tanzania imeunganana na nchi nyinginezo barani Afrika katika jitihada za kuhifadhi na kuendeleza  misitu iliyopo hapa nchini.

Uzinduzi wa jitihada hizo ulifanyika katika Msitu wa Kazimzumbwi uliopo katika kijiji cha Maguruwe kata ya Msimbu Wilaya ya Kisarawe ambapo Mgeni rasmi katika tukio hilo alikuwa ni Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii Mheshimiwa Japhet   Hasunga.

Akizindua jitihada  za kuhifadhi na kuendeleza misitu hapa nchini  Mtendaji Mkuu wa wakala wa Huduma za Misitu  Tanzania Profesa Dos  Santos Silayo amesema wameamua kuungana na chi nyinginezo barani Afrika katika kuhifadhi na kuendeleza misitu kwani kwa sasa uharibifu wa mazingira na misitu umekuwa ni mkubwa sana na inahatarisha uhai wetu.

‘’Kwa sasa hali imekuwa mbaya katika uharibifu wa misitu hivyo tumeamua kuungana  na nchi nyingine ili tuweze kutunza ,kuendeleza  na kuhifadhi misitu yetu ili tuweze kunufaika na uwepo wake. Kwa sasa kwa mujibu wa takwimu za hivi kiasi cha tarubani heta laki nne na sabini elfu zinaharibiwa kwa matumizi mbalmbali hapa nchini” amesema Profesa Silayo.

Wakati akihutubia umati wa wananchi na viongozi waliohuduria hafla ya uzinduzi Naibu waziri wa Maliasili na Utalii Mheshimiwa Hasunga amesema  tunapaswa kulinda misitu yetu kwa kutofanya shughuli endelevu kwenye misitu yetu kama vile kulima kwenye vyanzo vya maji,miteremko,milima uharibifu wa misitu na ukataji wa miti ambavyo vinachangia kupungua kwa uoto,mmomonyoko,uchafuzi wa maji,kupungua kwa rutuba na kupotea kwa Baioanuawi.

Aidha Mheshimiwa Hasunga kwa kutambua misitu misitu yetu Serikali imekuwa ikichukua hatua mbalimbali ikiwa ni pamoja na kusimamia sheria zote zinzohusiana na uhifadhi na mazingira na ushirikishwaji wa jamii.Aidha wadau wa maendeleo wamekuwa ni chachu katika kusaidia jitihada za serikali yetu.

Aidha Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe Mheshimiwa Jokate Mwegelo amesema Wilaya ya Kisarawe imejipanga kupambana kupambana na changamoto zote kwa kutumia umoja wetu baina ya Serikali na Sekta binafsi kwa kutoa elimu kwa umma,kuhimiza upandaji miti,kusisitiza  mabadiliko ya teknolojia ili kunusuru misitu,kuhamasiha Utalii,ikolojia katika misitu na kuendelea kutekeleza sheria ya usimamizi wa Misitu na Mazingira.

Announcements

  • Wito Kwenye Mafunzo ya Uboreshaji wa Daftari tarehe 10-11/02/2025 Minaki Sekondari. February 07, 2025
  • Tangazo kwa Umma Kuhusu Uboreshaji wa Daftari la Mpiga Kura February 08, 2025
  • MKITANO WA BARAZA LA MADIWANI April 28, 2025
  • BARAZA LA MADIWANI NOVEMBA 2021 November 09, 2021
  • View All

Latest News

  • NIMEFURAHISHWA NA MMLIVYOJIPANGA KISARAWE CHATANDA NA ZAINABU

    May 08, 2025
  • OFISI YA MAKAMU WA PILI WA RAIS SERIKALI MAPINDUZI ZANZIBAR YAFANYA ZIARA YA KIKAZI WILAYA KISARAWE

    April 30, 2025
  • KISARAWE YAFANYA UTOAJI ELIMU YA DOZI YA NYONGEZA YA CHANJO YA SINDANO YA POLIO(IPV2)

    April 30, 2025
  • KUVUNJWA KWA BARAZA LA MADIWANI KISARAWE UONGOZI WAJIVUNIA KUKAMILISHA MIRADI MBALIMBALI KATIKA KIPINDI CHA MIAKA 5

    April 29, 2025
  • View All

Video

Kamati ya Fedha kutembelea Ujenzi wa Jengo Jipya la OPD Kisarawe Hospitali
More Videos

Quick Links

  • Natural Attractions
  • COMMUNITY HEALTH FUND
  • Kisarawe History
  • Photo Events in the Council
  • Rehabilitation of Theater Block
  • Council strategics
  • How to meet with District Chairman
  • Maelekezo jinsi ya kutumia Mfumo wa FFARS
  • Councilors Name List and Phone Number

Related Links

  • President's Office Public Service, Management and Good Governance
  • The National Examinations Council Of Tanzania
  • President's Office Regional Administration and Local Government
  • The Higher Education Students’ Loans Board
  • PPRA
  • State House
  • Employment
  • National Bureau Of statistics
  • Salary slip potral
  • Government Website
  • Parliament
  • Mfumo wa Ununuzi wa Umma NeST
  • Mfumo wa Upimaji Utendaji kazi wa Watumishi wa Umma (ESS)

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

Free Visitor&Stat Counter

Location Map

Wasiliana nasi

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2017 Kisarawe District Council . All rights reserved.