• Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
    • Complaint |
Kisarawe District Council
Kisarawe District Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Kisarawe District Council

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
    • Core Values
    • Stategic
  • Administration
    • Structure
    • Departments
      • Administration and Human Resources
      • Planning and Statistics
      • Primary Education
      • Secondary Education
      • Agriculture and Irrigation
      • Livestock and Fisheries
      • Trade and Finance
      • Works and Fire Resque
      • Water
      • Land and Natural Resources
      • Community Development
      • Environment and Cleanliness
      • Health
    • Units
      • Legal
      • TEHAMA NA UHUSIANO
      • Internal Audit
      • Procurement and Supplier
      • Election
      • Beekeping
    • Programu
      • TASAF
      • UKIMWI
  • Investiments
    • Tourism Attractions
      • Traditional attractions
      • Cultural Attractions
      • Natural attractions
    • Agriculture
    • Pastoralism
    • Mineral
    • Teknolojia
    • Industries
  • Our Services
    • Health
    • Education
    • Water
    • Agriculture
    • livestock
  • Councillors
    • Councilors List
    • Council Committee
      • Finance, Administration and Planning
      • Economic, Construction and Environment
      • Council Multisectral Aids
      • Disciplinary
      • Social Welfare
    • Meeting Timetable
    • Chairman Timetable
  • Projects
    • Ongoing Projects
    • Completed Projects
    • Projects to be Implemented
  • Publications
    • By law
    • Customer Services Aggrement
    • Strategic Plan
    • Other Reports
    • Other Forms
    • Guidelines
  • Media Centre
    • Photo Gallery
    • Public Notice
    • Official and National Video
    • Press Release
    • Leaders Speech

UMOJA, NIDHAMU, HEKIMA NA USHIRIKIANO WA DC,DED KISARAWE WAMFURAHISHA DR MARY MWANJELWA

Posted on: February 25th, 2019

UMOJA, NIDHAMU, HEKIMA NA USHIRIKIANO WA DC,DED KISARAWE WAMFURAHISHA DR MARY MWANJELWA

Katika Kufikia Malengo ya Utawala Bora kwa Watumishi na Wananchi wa Kisarawe uwepo wa Umoja,Nidhamu, Hekima na Ushirikiano wa Mkuu wa Wilaya na ,Mkurugenzi Mtendaji Kumemfurahisha na kuwa ni Jambo la Kuigwa kwa Viongozi Wengine wa Halmashauri na Wilaya Nyengine Nchini 

Hayo yametamkwa na Mhe Dr Mary Mwanjelwa (MB) Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Manejiment ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora  alipokua akiongea na watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Kisarawe ambapo Alipata Wasaa wa  kusikiliza Kero na Changamoto Mbalimbali Wanazokumbana Nazo  Watumishi hao wa Halmshauri na Serikali Kuu katika Kuwahudumia Wananchi Katika Sehemu za Kazi

‘’Umoja Huu wa Viongozi Hawa Vijana wa Kisarawe ni wa Kuigwa Kwani Huko Sehemu Nyengine za Halmashauri Hali Sio Nzuri Kwani Utakuta DC na DED Kila Mtu na lake lakini Hapa Kisarawe Hali Tofauti Kambsa Kwani Kila Mmoja Yupo na Zake za kutatika Kuwahudumia Watumishinna Wananchi Nasema Chapeni Kazi Hapana Kulala awamuu Hii ya Tano sio ya Mchezo Mchezo Rais Anafurahihwa na Utendaji Wenu wa kazi’’ alisema Dr Mwanjelwa

Aidha Dr Mwanjelwa alitoa Wito kwa Mafisa Watumishi Wote Tanzania Kuharakisha Kuwasilisha Tarifa za Watumishi ambao Mpaka sasa Hawajapandishwa Vyeo na kubadilishwa Majukumu yao kwa Mujibu wa Sheria kwa Wale ambao Wanastahiki Kupata Hizo Stahiki Kwani wao Kama Wizara Wameshalitatua Tatizo ambalo Lilikuapo kwa Upande wa Mkoa wa Pwani ila kwa sasa tumelitatua tatizo hili la mpokeaji tarifa ,

‘’Maafisa Utumishi Wote Nchini Nawagiza Kupeleka Tarifa za Watumishi Mnaowasimamia Wizarani   ili kupata stahiki zao kama kupanda vyeo na Recogarization kwa watumishi ambao wanastahiki ili Wapatiwe Haki zao Ndani ya Siku 21 tu’’ alisema Dr Mwanjelwa

Announcements

  • Wito Kwenye Mafunzo ya Uboreshaji wa Daftari tarehe 10-11/02/2025 Minaki Sekondari. February 07, 2025
  • Tangazo kwa Umma Kuhusu Uboreshaji wa Daftari la Mpiga Kura February 08, 2025
  • MKITANO WA BARAZA LA MADIWANI April 28, 2025
  • BARAZA LA MADIWANI NOVEMBA 2021 November 09, 2021
  • View All

Latest News

  • NIMEFURAHISHWA NA MMLIVYOJIPANGA KISARAWE CHATANDA NA ZAINABU

    May 08, 2025
  • OFISI YA MAKAMU WA PILI WA RAIS SERIKALI MAPINDUZI ZANZIBAR YAFANYA ZIARA YA KIKAZI WILAYA KISARAWE

    April 30, 2025
  • KISARAWE YAFANYA UTOAJI ELIMU YA DOZI YA NYONGEZA YA CHANJO YA SINDANO YA POLIO(IPV2)

    April 30, 2025
  • KUVUNJWA KWA BARAZA LA MADIWANI KISARAWE UONGOZI WAJIVUNIA KUKAMILISHA MIRADI MBALIMBALI KATIKA KIPINDI CHA MIAKA 5

    April 29, 2025
  • View All

Video

Kamati ya Fedha kutembelea Ujenzi wa Jengo Jipya la OPD Kisarawe Hospitali
More Videos

Quick Links

  • Natural Attractions
  • COMMUNITY HEALTH FUND
  • Kisarawe History
  • Photo Events in the Council
  • Rehabilitation of Theater Block
  • Council strategics
  • How to meet with District Chairman
  • Maelekezo jinsi ya kutumia Mfumo wa FFARS
  • Councilors Name List and Phone Number

Related Links

  • President's Office Public Service, Management and Good Governance
  • The National Examinations Council Of Tanzania
  • President's Office Regional Administration and Local Government
  • The Higher Education Students’ Loans Board
  • PPRA
  • State House
  • Employment
  • National Bureau Of statistics
  • Salary slip potral
  • Government Website
  • Parliament
  • Mfumo wa Ununuzi wa Umma NeST
  • Mfumo wa Upimaji Utendaji kazi wa Watumishi wa Umma (ESS)

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

Free Visitor&Stat Counter

Location Map

Wasiliana nasi

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2017 Kisarawe District Council . All rights reserved.