• Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
    • Complaint |
Kisarawe District Council
Kisarawe District Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Kisarawe District Council

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
    • Core Values
    • Stategic
  • Administration
    • Structure
    • Departments
      • Administration and Human Resources
      • Planning and Statistics
      • Primary Education
      • Secondary Education
      • Agriculture and Irrigation
      • Livestock and Fisheries
      • Trade and Finance
      • Works and Fire Resque
      • Water
      • Land and Natural Resources
      • Community Development
      • Environment and Cleanliness
      • Health
    • Units
      • Legal
      • TEHAMA NA UHUSIANO
      • Internal Audit
      • Procurement and Supplier
      • Election
      • Beekeping
    • Programu
      • TASAF
      • UKIMWI
  • Investiments
    • Tourism Attractions
      • Traditional attractions
      • Cultural Attractions
      • Natural attractions
    • Agriculture
    • Pastoralism
    • Mineral
    • Teknolojia
    • Industries
  • Our Services
    • Health
    • Education
    • Water
    • Agriculture
    • livestock
  • Councillors
    • Councilors List
    • Council Committee
      • Finance, Administration and Planning
      • Economic, Construction and Environment
      • Council Multisectral Aids
      • Disciplinary
      • Social Welfare
    • Meeting Timetable
    • Chairman Timetable
  • Projects
    • Ongoing Projects
    • Completed Projects
    • Projects to be Implemented
  • Publications
    • By law
    • Customer Services Aggrement
    • Strategic Plan
    • Other Reports
    • Other Forms
    • Guidelines
  • Media Centre
    • Photo Gallery
    • Public Notice
    • Official and National Video
    • Press Release
    • Leaders Speech

VIONGOZI MBALIMBALI WAWAPA POLE NA KUWAOMBEA DUA WAHANGA WA AJALI KISARAWE

Posted on: December 18th, 2023

*VIONGOZI MBALIMBALI WAWAPA POLE NA KUWAOMBEA DUA WAHANGA WA AJALI YA KISARAWE*


KISARAWE PWANI.


Ajali ya Gari katika Wilaya Kisarawe Mkoa wa Pwani imeua watu wawili Mtoto mmoja na mama  wamefariki na wengine takribani 50 kujeruhiwa katika ajali ya Gari (Basi) aina ya Tata lililokuwa linatoka Kigogo Fresh Pugu Dar es salaam kuelekea Mloka Wilayani Rufiji Mkoani Pwani kupitia Kisarawe, baada ya gari hilo kupinduka katika Eneo la Daru  Kisarawe 19/12/2023,


Kamanda wa Polisi Mkoa wa Pwani  ACP PIUS LUTUMO amethibitisha kutokea kwa ajali hiyo na amefika Hospitali ya Wilaya ya Kisarawe usiku wa kuamkia leo kuwapa pole na kuwajulia hali majeruhi hao katika hospital ya Wilaya Kisarawe akiwa na Viongozi mbalimbali wa Mkoa Pwani,

Mganga Mkuu wa Hospitali ya Wilaya ya kisarawe DKT ABDALLAH  RISASI amesema baadhi ya majeruhi waliopata majeraha madogo wameshawaruhusu Kurudi nyumbani na wengine wanaendelea kuwapatia huduma na majeruhi Saba wamewapatia rufaa ya kwenda Hospitali ya Rufaa Muhimbili kwa matibabu ya kitaalamu Zaidi,


Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe, MHE FATMA NYANGASA kwa upande wake  ameishukuru Serikali ya awamu ya sita  kwa kuwezesha ujenzi wa vituo vya dharura na kusema usiku wa kuamkia leo kimeweza kuokoa maisha ya Watu wengi na amesema chanzo cha ajali hiyo bado hakijajulikana mpaka itakapotolewa taarifa ya kitaalamu kutoka katika Jeshi la Polisi Mkoa wa Pwani.


Nae Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira MHE DKT SELEMANI SAIDI amewaombea kwa mwenyezi Mungu Majeruhi wote kupona na kuendelea na Shughuli za ujenzi wa TAIFA huku akipongeza Serikali ya awamu ya sita kwa Kuboresha huduma za Afya Kisarawe ambazo zimesaidia watu mbalimbali Kupunguza Gharama za matibabu,


*"Kwa Sasa Kisarawe tumeboresha huduma za Afya shukrani Sana kwa Rais DKT SAMIA SULUHU HASSAN Katika hili* alisisitiza MHE DKT JAFO,

Mpaka Sasa Majeruhi sita wapo hospital ya Wilaya Kisarawe wakiendelea kupata matibabu na waliofariki ni wawili.

Announcements

  • MATOKEO YA USAILI WA KAZI YA MUDA YA UCHAGUZI NA TAREHE ZA MAFUNZO October 16, 2025
  • MATUKIO MUHIMU YA UKAGUZI WA MBIO ZA MAGARI KITUO CHA KISARAWE KAZIMZUMBWI June 28, 2025
  • Mikopo ya Elimu ya Juu kupitia Bodi ya Mikopo (HESLB) June 17, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI ZA MUDA ZA WATENDAJI WA VITUO VYA KUPIGIA KURA KWA AJILI YA UCHAGUZI MKUU WA MWAKA 2025 July 02, 2025
  • View All

Latest News

  • WATUMISHI WAPYA WAPATA MAFUNZO ELEKEZI YA UTUMISHI WA UMMA KISARAWE

    September 26, 2025
  • MALARIA KISARAWE HAIKUBALIKI DC MAGOTI

    September 24, 2025
  • KIKAO CHA WARSHA YA KUZUIA UKATILI DHIDI YA WATOTO WALIOKATISHA MASOMO WILAYA YA KISARAWE MWAKA 2025

    August 29, 2025
  • WAZIRI DKT JAFO AFUNGA MTAA AKICHUKUA FOMU YA INEC JIMBO LA KISARAWE AMUOMBEA KURA DKT SAMIA MADIWANI 17 KISARAWE

    August 24, 2025
  • View All

Video

Kamati ya Fedha kutembelea Ujenzi wa Jengo Jipya la OPD Kisarawe Hospitali
More Videos

Quick Links

  • Natural Attractions
  • COMMUNITY HEALTH FUND
  • Kisarawe History
  • Photo Events in the Council
  • Rehabilitation of Theater Block
  • Council strategics
  • How to meet with District Chairman
  • Maelekezo jinsi ya kutumia Mfumo wa FFARS
  • Councilors Name List and Phone Number

Related Links

  • President's Office Public Service, Management and Good Governance
  • The National Examinations Council Of Tanzania
  • President's Office Regional Administration and Local Government
  • The Higher Education Students’ Loans Board
  • PPRA
  • State House
  • Employment
  • National Bureau Of statistics
  • Salary slip potral
  • Government Website
  • Parliament
  • Mfumo wa Ununuzi wa Umma NeST
  • Mfumo wa Upimaji Utendaji kazi wa Watumishi wa Umma (ESS)

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

Free Visitor&Stat Counter

Location Map

Wasiliana nasi

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2017 Kisarawe District Council . All rights reserved.