*"WALIMU WAJIFUNZE MBINU SHIRIKISHI ZA UFUNDISHAJI RAHISI WA SOMO LA HISABATI*"
Kisarawe Pwani
Miongoni mwa mbinu mbalimbali za Ufundishaji ni pamoja na ushirikishwaji wa mzazi na pamoja na kumuandaa mwanafunzi katika Hali ya utayari,
Akizungumza Wakati wa mafunzo kwa Walimu kuhusu Uboreshaji wa Ufundishaji na Ujifunzaji wa Umahiri wenye Changamoto katika SOMO LA HISABATI Kisarawe Pwani Mwalimu Saidi Ali alisema kuwa
*"Mwanafunzi wa kizazi Cha Sasa Cha sayansi na Teknologia vyema Sana ukamwandaa katika utayari ili aweze kuendelea vyema SOMO LA HISABATI Shule alishauri*" Mwalimu Ali
Aidha kwa Leo Siku ya Pili ya Mafunzo hayo Walimu wa Kisarawe walijifunza mbinu rahisi za Ufundishaji na Ujifunzaji za ushirikishaji Walimu,wazazi na Mwanafunzi katika Masomo.
Mafunzo haya kwa Siku nne yanaendeshwa na Taasisi ya Elimu kwa kushirikiana na OR-Tamisemi kwa ufadhili wa watu wa UINGEREZA (UK AID).
Copyright ©2017 Kisarawe District Council . All rights reserved.