• Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
    • Complaint |
Kisarawe District Council
Kisarawe District Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Kisarawe District Council

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
    • Core Values
    • Stategic
  • Administration
    • Structure
    • Departments
      • Administration and Human Resources
      • Planning and Statistics
      • Primary Education
      • Secondary Education
      • Agriculture and Irrigation
      • Livestock and Fisheries
      • Trade and Finance
      • Works and Fire Resque
      • Water
      • Land and Natural Resources
      • Community Development
      • Environment and Cleanliness
      • Health
    • Units
      • Legal
      • TEHAMA NA UHUSIANO
      • Internal Audit
      • Procurement and Supplier
      • Election
      • Beekeping
    • Programu
      • TASAF
      • UKIMWI
  • Investiments
    • Tourism Attractions
      • Traditional attractions
      • Cultural Attractions
      • Natural attractions
    • Agriculture
    • Pastoralism
    • Mineral
    • Teknolojia
    • Industries
  • Our Services
    • Health
    • Education
    • Water
    • Agriculture
    • livestock
  • Councillors
    • Councilors List
    • Council Committee
      • Finance, Administration and Planning
      • Economic, Construction and Environment
      • Council Multisectral Aids
      • Disciplinary
      • Social Welfare
    • Meeting Timetable
    • Chairman Timetable
  • Projects
    • Ongoing Projects
    • Completed Projects
    • Projects to be Implemented
  • Publications
    • By law
    • Customer Services Aggrement
    • Strategic Plan
    • Other Reports
    • Other Forms
    • Guidelines
  • Media Centre
    • Photo Gallery
    • Public Notice
    • Official and National Video
    • Press Release
    • Leaders Speech

WAZAZI WAHUDUMIENI WATOTO

Posted on: March 13th, 2018

WAZAZI WAHUDUMIENI WATOTO WAPATE ELIMU BORA

MKUU WA WILAYA YA KISARAWE MHESHIMIWA HAPPINESS  SENEDA AMEWAASA WAZAZI WA WILAYA YA KISARAWE KUCHANGIA KUBORESHA MAZINGIRA YA UPATIKANAJI WA ELIMU BORA KWA WATOTO WAO.

KAULI HIYO AMEITOA HIVI KARIBUNI WAKATI AKITOA MSAADA WA VIFAA VYA ELIMU ULIOTOLEWA NA SHIRIKA LA FEED THE CHILDREN  KWA WANAFUNZI WALIO KWENYE MAZINGIRA MAGUMU ZOZI LILILOFANYIKA KWENYE OFISI YA MKUU WA WILAYA YA KISARAWE.

AKIZUNGUMZA MBELE YA WANAFUNZI,WALIMU, MAAFISA WA ELIMU WA WILAYA NA BAADI YA VIONGOZI WA SHIRIKA WALIOHUDHURI ZOEZI  HILO MKUU WA WILAYA AMESEMA WAZAZI WANA WAJIBU WA KUWAPATIA MAHITAJI MUHIMU WATOTO WAO ILI WAWEZE KUPATA ELIMU INAYOSTAHILI

‘’WAZAZI INAWAPASA KUWATIMIZIA MAHITAJI WATOTO YA ELIMU ILI WAPATE ELIMU ILIYO BORA.KAMA MTOTO AKIWA NYUMBANI MZAZI ANAHAKIKISHA ANAKULA MILO MITATU KWA SIKU VIVYO HIVYO WANAPASWA KUFANYA WAKATI MTOTO WAKIWA SHULENI.WAHAKIKISHE MTOTO ANAPOKUWA SHULE AWE ANAPATA CHAKULA KAMA WANAVYOWAPATIA WAKIWA NYUMBANI” AMESEMA MHESHIMIWA HAPPINESS SENEDA.

AIDHA MHE.MKUU WA WILAYA  KISARAWE AMEWAAMBIA WALIMU KUWAELIMISHA MARA KWA MARA WAZAZI KUHUSU KUWASAIDIA WATOTO KWENYE MAHITAJI  MUHIMU YA KUJIFUNZIA NA AMETOA PONGEZI NYINGI KWA SHIRIKA LA FEED THE CHILDREN KWA MISAADA MBALIMBALI WANAYOTOA KATIKA  KUBORESHA SEKTA YA ELIMU  WILAYA YA KISARAWE NA KUWAOMBA WAENDELEE NA JUHUDI HIZO NA SERIKALI INATAMBUA NAKUTHAMINI MCCHANGO MKUBWA WANAOUTOA.

MSAADA ULIOTOLEWA KWA WANAFUNZI WANAOISHI KWENYE MAZINGIRA MAGUMU NI PAMOJA NA MABEGI YA SHULE,SARE ZA SHULE ,MADAFTARI NA VIATU AMBAPO ZAIDI YA WANAFUUNZI 250 WANANUFAIKA NAYO PAMOJA NA KUTOA UNGA WA LISHE KWA AJILI YA WANAFUNZI KUPATA CHAKULA WANAPOKUWA MASOMONI NYAKATI ZA MCHANA.

 

Announcements

  • Wito Kwenye Mafunzo ya Uboreshaji wa Daftari tarehe 10-11/02/2025 Minaki Sekondari. February 07, 2025
  • Tangazo kwa Umma Kuhusu Uboreshaji wa Daftari la Mpiga Kura February 08, 2025
  • MKITANO WA BARAZA LA MADIWANI April 28, 2025
  • BARAZA LA MADIWANI NOVEMBA 2021 November 09, 2021
  • View All

Latest News

  • NIMEFURAHISHWA NA MMLIVYOJIPANGA KISARAWE CHATANDA NA ZAINABU

    May 08, 2025
  • OFISI YA MAKAMU WA PILI WA RAIS SERIKALI MAPINDUZI ZANZIBAR YAFANYA ZIARA YA KIKAZI WILAYA KISARAWE

    April 30, 2025
  • KISARAWE YAFANYA UTOAJI ELIMU YA DOZI YA NYONGEZA YA CHANJO YA SINDANO YA POLIO(IPV2)

    April 30, 2025
  • KUVUNJWA KWA BARAZA LA MADIWANI KISARAWE UONGOZI WAJIVUNIA KUKAMILISHA MIRADI MBALIMBALI KATIKA KIPINDI CHA MIAKA 5

    April 29, 2025
  • View All

Video

Kamati ya Fedha kutembelea Ujenzi wa Jengo Jipya la OPD Kisarawe Hospitali
More Videos

Quick Links

  • Natural Attractions
  • COMMUNITY HEALTH FUND
  • Kisarawe History
  • Photo Events in the Council
  • Rehabilitation of Theater Block
  • Council strategics
  • How to meet with District Chairman
  • Maelekezo jinsi ya kutumia Mfumo wa FFARS
  • Councilors Name List and Phone Number

Related Links

  • President's Office Public Service, Management and Good Governance
  • The National Examinations Council Of Tanzania
  • President's Office Regional Administration and Local Government
  • The Higher Education Students’ Loans Board
  • PPRA
  • State House
  • Employment
  • National Bureau Of statistics
  • Salary slip potral
  • Government Website
  • Parliament
  • Mfumo wa Ununuzi wa Umma NeST
  • Mfumo wa Upimaji Utendaji kazi wa Watumishi wa Umma (ESS)

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

Free Visitor&Stat Counter

Location Map

Wasiliana nasi

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2017 Kisarawe District Council . All rights reserved.