• Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
    • Complaint |
Kisarawe District Council
Kisarawe District Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Kisarawe District Council

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
    • Core Values
    • Stategic
  • Administration
    • Structure
    • Departments
      • Administration and Human Resources
      • Planning and Statistics
      • Primary Education
      • Secondary Education
      • Agriculture and Irrigation
      • Livestock and Fisheries
      • Trade and Finance
      • Works and Fire Resque
      • Water
      • Land and Natural Resources
      • Community Development
      • Environment and Cleanliness
      • Health
    • Units
      • Legal
      • TEHAMA NA UHUSIANO
      • Internal Audit
      • Procurement and Supplier
      • Election
      • Beekeping
    • Programu
      • TASAF
      • UKIMWI
  • Investiments
    • Tourism Attractions
      • Traditional attractions
      • Cultural Attractions
      • Natural attractions
    • Agriculture
    • Pastoralism
    • Mineral
    • Teknolojia
    • Industries
  • Our Services
    • Health
    • Education
    • Water
    • Agriculture
    • livestock
  • Councillors
    • Councilors List
    • Council Committee
      • Finance, Administration and Planning
      • Economic, Construction and Environment
      • Council Multisectral Aids
      • Disciplinary
      • Social Welfare
    • Meeting Timetable
    • Chairman Timetable
  • Projects
    • Ongoing Projects
    • Completed Projects
    • Projects to be Implemented
  • Publications
    • By law
    • Customer Services Aggrement
    • Strategic Plan
    • Other Reports
    • Other Forms
    • Guidelines
  • Media Centre
    • Photo Gallery
    • Public Notice
    • Official and National Video
    • Press Release
    • Leaders Speech

WAZIRI DKT JAFO ATOKWA NA MACHOZI YA FURAHA AKIFUNGUA MRADI WA MAJI KIJIJI CHA DOLOLO AONGOZA DUA YA KUMUOMBEA RAIS DKT SAMIA

Posted on: January 4th, 2024

WAZIRI DKT JAFO ATOKWA NA MACHOZI YA FURAHA AKIFUNGUA MRADI WA MAJI KIJIJI CHA DOLOLO AONGOZA DUA YA KUMUOMBEA RAIS DKT SAMIA


KISARAWE PWANI


Waziri wa Nchi ofisi ya makamu wa Rais Muungano na Mazingira MHE DKT SELEMANI SAIDI JAFO leo 04.01.2024 amefungua mradi mkubwa wa maji Kata ya mafizi Kijiji Cha Dololo uliogharim Shilingi 263,807,988.20.


Akizungumza wakati ziara ziara ya kukagua miradi mbalimbali ilikua ipo hatua za kukamilika kutoka idara ya afya na elimu na maji amesema kuwa amefurahishwa na hatua ya mradi huo kukamilika,

"Ndugu zangu Wanakisarawe niongee kutoka moyoni kwa kumtanguliza Allah sw Nimefurahi Sana leo hapa Dololo kufungua mradi huu ambao mwaka   20.02.2022 ulianza Kupitia programu ya fedha za Maendeleo ya kupunguza adhari za ugonjwa wa UVIKO-19 alifafanua MHE DKT JAFO


Aidha kwa upande mwengine Meneja wa RUWASA wilaya kisarawe Eng Evangelist Kahwili alifafanua kuwa mradi huo una tenki la maji wenye ukubwa wa mita za ujazo 25 kwenye mnara wenye mita 12 pamoja na Bomba kuu lenye kusafirisha maji kwa tenki la mita 350 kwa kusambaza maji mita 3490 pamoja na kufunga pampu 2 za umeme wa jua alisisitiza ENG EVANGELISTA


Aidha kwa upende mwengine mwenyekiti wa chama cha mapinduzi ccm kisarawe KOMRED KHALIFANI SIKA alimshukuru Mbunge kwa Kitendo Cha kutekeleza ilani ya chama kwa Vitendo maana Mambo mengi na yote yanatekelezwa kwa wakati alifafanua KOMRED SIKA,

mwisho katika ziara hiyo ya kukagua na kutembelea miradi ya pamoja na kuangalia jinsi mfuko wa Jimbo unavyofanya kazi MHE DKT JAFO aliambatana na Kaimu Mkurugenzi Mtedaji Halmashauri  Ndg DEOGRATIUS LOKOMANYA na kumuagiza asimamie kwa wakati ahadi alizotoa kwa vijiji ambayo vina miradi na ameahidi kutoa kutoka mfuko wa Jimbo,


Mwisho kaimu mkurugenzi Mtedaji Halmashauri Ndg DEOGRATIUS LOKOMANYA aliahidi kutekeleza ahadi ya MHE DKT JAFO ambayo ameahidi kwa vijiji vya Chakenge,mitengwe,Gwata,Masimba na Dololo kwa wakati,


"Naomba kukuhakishia kuwa Yale yote uloagiza kwa ofisi ya mkurugenzi Mtedaji Halmashauri yatatelezwa kwa wakati na kwa Vitendo" alisema DEOGRATIUS LOKOMANYA


MATUKIO MBALIMBALI ya picha wakati wa Ziara ya kutembelea na kuzungumza pamoja na kukagua miradi ya afya, elimu,na maji ya Waziri wa Nchi ofisi ya makamu wa Rais Muungano na Mazingira MHE DKT SELEMANI SAIDI JAFO leo katika Kata ya Mzenga, Mafizi aliambatana na Wataalamu  kutoka Ofisi ya mkurugenzi Mtedaji Halmashauri, Ofisi ya RUWASA,Mkuu wa Wilaya pamoja na Tanesco

Announcements

  • Wito Kwenye Mafunzo ya Uboreshaji wa Daftari tarehe 10-11/02/2025 Minaki Sekondari. February 07, 2025
  • Tangazo kwa Umma Kuhusu Uboreshaji wa Daftari la Mpiga Kura February 08, 2025
  • MKITANO WA BARAZA LA MADIWANI April 28, 2025
  • BARAZA LA MADIWANI NOVEMBA 2021 November 09, 2021
  • View All

Latest News

  • NIMEFURAHISHWA NA MMLIVYOJIPANGA KISARAWE CHATANDA NA ZAINABU

    May 08, 2025
  • OFISI YA MAKAMU WA PILI WA RAIS SERIKALI MAPINDUZI ZANZIBAR YAFANYA ZIARA YA KIKAZI WILAYA KISARAWE

    April 30, 2025
  • KISARAWE YAFANYA UTOAJI ELIMU YA DOZI YA NYONGEZA YA CHANJO YA SINDANO YA POLIO(IPV2)

    April 30, 2025
  • KUVUNJWA KWA BARAZA LA MADIWANI KISARAWE UONGOZI WAJIVUNIA KUKAMILISHA MIRADI MBALIMBALI KATIKA KIPINDI CHA MIAKA 5

    April 29, 2025
  • View All

Video

Kamati ya Fedha kutembelea Ujenzi wa Jengo Jipya la OPD Kisarawe Hospitali
More Videos

Quick Links

  • Natural Attractions
  • COMMUNITY HEALTH FUND
  • Kisarawe History
  • Photo Events in the Council
  • Rehabilitation of Theater Block
  • Council strategics
  • How to meet with District Chairman
  • Maelekezo jinsi ya kutumia Mfumo wa FFARS
  • Councilors Name List and Phone Number

Related Links

  • President's Office Public Service, Management and Good Governance
  • The National Examinations Council Of Tanzania
  • President's Office Regional Administration and Local Government
  • The Higher Education Students’ Loans Board
  • PPRA
  • State House
  • Employment
  • National Bureau Of statistics
  • Salary slip potral
  • Government Website
  • Parliament
  • Mfumo wa Ununuzi wa Umma NeST
  • Mfumo wa Upimaji Utendaji kazi wa Watumishi wa Umma (ESS)

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

Free Visitor&Stat Counter

Location Map

Wasiliana nasi

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2017 Kisarawe District Council . All rights reserved.