• Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
    • Complaint |
Kisarawe District Council
Kisarawe District Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Kisarawe District Council

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
    • Core Values
    • Stategic
  • Administration
    • Structure
    • Departments
      • Administration and Human Resources
      • Planning and Statistics
      • Primary Education
      • Secondary Education
      • Agriculture and Irrigation
      • Livestock and Fisheries
      • Trade and Finance
      • Works and Fire Resque
      • Water
      • Land and Natural Resources
      • Community Development
      • Environment and Cleanliness
      • Health
    • Units
      • Legal
      • TEHAMA NA UHUSIANO
      • Internal Audit
      • Procurement and Supplier
      • Election
      • Beekeping
    • Programu
      • TASAF
      • UKIMWI
  • Investiments
    • Tourism Attractions
      • Traditional attractions
      • Cultural Attractions
      • Natural attractions
    • Agriculture
    • Pastoralism
    • Mineral
    • Teknolojia
    • Industries
  • Our Services
    • Health
    • Education
    • Water
    • Agriculture
    • livestock
  • Councillors
    • Councilors List
    • Council Committee
      • Finance, Administration and Planning
      • Economic, Construction and Environment
      • Council Multisectral Aids
      • Disciplinary
      • Social Welfare
    • Meeting Timetable
    • Chairman Timetable
  • Projects
    • Ongoing Projects
    • Completed Projects
    • Projects to be Implemented
  • Publications
    • By law
    • Customer Services Aggrement
    • Strategic Plan
    • Other Reports
    • Other Forms
    • Guidelines
  • Media Centre
    • Photo Gallery
    • Public Notice
    • Official and National Video
    • Press Release
    • Leaders Speech

WIKI YA UNYONYESHAJI KISARAWE YAFANIKIWA.

Posted on: August 1st, 2017

WIKI YA UNYONYESHAJI KISARAWE YAFANIKIWA.

HALMASHAURI YA WILAYA YA KISARAWE IMEZINDUA WIKI MAADHIMISHO YA WIKI YA UNYONYESHAJI  KATIKA KIJIJI CHA MITENGWE  KATA YA MZENGA  WILAYA YA KISARAWE.

KATIKA MAADHIMISHO HAYO YALIYOHUDHURIWA NA MGENI RASMI MKUU WA WILAYA YA KISARAWE ALIYEWKILISHWA NA AFISA TAWALA WA WILAYA YA KISARAWE NDUGU MTELA  MWAMPAMBA  YALIYOHUDHURIWA NA WANANCHI WENGI YALIFANA  KWA KIASI KIKUBWA AMBAPO SHUGULI MBALIMBALI ZILIFANYWA 

AKIZUNGUMZA  WAKATI WA KUMKARIBISHA  MGENI RASMI,MGANGA MKUU WA WILAYA YA KISARAWE BI ELIZABETH  OMING’O  AMESEMA  MAADHIMISHO HAYA YANALENGA KUIHAMASISHA JAMII KUHUSU UNYONYESHAJI WA WATOTO  ILI KUPUNGUZA UTAPIAMLO,VILE VILE  YANALENGA KUIAMASISHA JAMII   KUJITOKWZA  MAPEMA KUTUMIA  HADUMA  ZA KLINIKI YA  MAMA ,BABA NA MTOTO.

AIDHA  MGANGA MKUU BI ELIZABETH AMESEMA  SHUGHULI ZINAZOFANYIKA  WAKATI WA MAADHIMISHO HAYA NI PAMOJA NA KUTOA ELIMU YA UNYONYESHAJI,KUTOA CHANJO KWA WATOTO WENYE UMRI  CHINI YA MIAKA MITANO,KUTOA CHANJO KWA WANANWAKE WENYE UMRI WA KUZAA KUANZIA MIAKA KUMI(15) NA TANO HADI AROBAINI NA TISA (49).

PIA KATIKA KUADHIMISHA WIKI YA UNYONYESHAJI  IDARA YA AFYA WILAYA YA KISARAWE  IMEFANIKIWA KUTOA  CHAKULA  KWA WATOTO  WENYE UTAPIAMLO,KUTOA MATONE YA VITAMINI A NA DAWA ZA MINYOO KWA WATOTO WENYE UMRI  KUANZIA MIEZI SITA (6) HADI 59. NA KUTOA HUDUMA YA UZAZI WA MPANGO KWA WANAWAKE WENYE UMRI WA KUZAA.

BI ELIZABETH  ELIZABETH OMING’O AMEONGEZA KUWA HUDUMA NYINGINE ZINAZOPATIKANA NI PAMOJA NA  UCHUNGUZI WA SARATANI YA SHINGO YA UZAZI NA SARATANI YA MATITI,KUTOA HUDUMA YA KUZUIA MAAMBUKIZI YA VIRUSI VYA UKIMWI KUTOKA KWA MAMA KWENDA KWA MTOTO,UPIMAJI WA MAAMBUKIZI YA UKIMWI,KUTOA USHAURI KUHUSU NAMNA YA KUJIKINGA ,KUFANYA UCHUNGUZI WA KIFUA KIKUU  KWA WATOTO WENYE UMRI CHINI YA MIAKA MITANO PIA KUTA ELIMU KUHUSU HAKI ZA WATOTO,ELIMU YA AFYA KWA MAKUNDI NA KUHAMASISHA JAMII KUJIUNGA NA CHF NA UPIMAJI MALARIA.

SHUKRANI ZA KIPEKEE  ZIWAENDEE  KOREA FOUNDATION FOR INTERNATIONAL HEALTHCARE (KOFIH) AMBAO KWA KIASI KIKUBWA WAMEFANIKISHA MAADHIMISHO HAYA NA SHUKRANI ZA DHATI ZIWAENDEE PLAN INTERNATIONAL NA FEED THE CHILDREN AMBAO MARA KWA MARA WAPO BEGA KWA BEGA KATIKA  KATIKA KUBORESHA HUDUMA ZA AFYA YA UZAZI NA MTOTO WILAYANI KISARAWE

WILAYA YA KISARAWE KUPITIA IDARA YA AFYA IMEFANYA MAADHIMISHO HAYA KATIKA VIJIJI VYA MITENGWE,GWATA,MSANGA NA MLEGELE AMBAPO WANANCHI WAMEWEZA KUPATA HUDUMA  ZA AFYA BURE .

Announcements

  • Wito Kwenye Mafunzo ya Uboreshaji wa Daftari tarehe 10-11/02/2025 Minaki Sekondari. February 07, 2025
  • Tangazo kwa Umma Kuhusu Uboreshaji wa Daftari la Mpiga Kura February 08, 2025
  • MKITANO WA BARAZA LA MADIWANI April 28, 2025
  • BARAZA LA MADIWANI NOVEMBA 2021 November 09, 2021
  • View All

Latest News

  • NIMEFURAHISHWA NA MMLIVYOJIPANGA KISARAWE CHATANDA NA ZAINABU

    May 08, 2025
  • OFISI YA MAKAMU WA PILI WA RAIS SERIKALI MAPINDUZI ZANZIBAR YAFANYA ZIARA YA KIKAZI WILAYA KISARAWE

    April 30, 2025
  • KISARAWE YAFANYA UTOAJI ELIMU YA DOZI YA NYONGEZA YA CHANJO YA SINDANO YA POLIO(IPV2)

    April 30, 2025
  • KUVUNJWA KWA BARAZA LA MADIWANI KISARAWE UONGOZI WAJIVUNIA KUKAMILISHA MIRADI MBALIMBALI KATIKA KIPINDI CHA MIAKA 5

    April 29, 2025
  • View All

Video

Kamati ya Fedha kutembelea Ujenzi wa Jengo Jipya la OPD Kisarawe Hospitali
More Videos

Quick Links

  • Natural Attractions
  • COMMUNITY HEALTH FUND
  • Kisarawe History
  • Photo Events in the Council
  • Rehabilitation of Theater Block
  • Council strategics
  • How to meet with District Chairman
  • Maelekezo jinsi ya kutumia Mfumo wa FFARS
  • Councilors Name List and Phone Number

Related Links

  • President's Office Public Service, Management and Good Governance
  • The National Examinations Council Of Tanzania
  • President's Office Regional Administration and Local Government
  • The Higher Education Students’ Loans Board
  • PPRA
  • State House
  • Employment
  • National Bureau Of statistics
  • Salary slip potral
  • Government Website
  • Parliament
  • Mfumo wa Ununuzi wa Umma NeST
  • Mfumo wa Upimaji Utendaji kazi wa Watumishi wa Umma (ESS)

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

Free Visitor&Stat Counter

Location Map

Wasiliana nasi

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2017 Kisarawe District Council . All rights reserved.