• Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
    • Complaint |
Kisarawe District Council
Kisarawe District Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Kisarawe District Council

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
    • Core Values
    • Stategic
  • Administration
    • Structure
    • Departments
      • Administration and Human Resources
      • Planning and Statistics
      • Primary Education
      • Secondary Education
      • Agriculture and Irrigation
      • Livestock and Fisheries
      • Trade and Finance
      • Works and Fire Resque
      • Water
      • Land and Natural Resources
      • Community Development
      • Environment and Cleanliness
      • Health
    • Units
      • Legal
      • TEHAMA NA UHUSIANO
      • Internal Audit
      • Procurement and Supplier
      • Election
      • Beekeping
    • Programu
      • TASAF
      • UKIMWI
  • Investiments
    • Tourism Attractions
      • Traditional attractions
      • Cultural Attractions
      • Natural attractions
    • Agriculture
    • Pastoralism
    • Mineral
    • Teknolojia
    • Industries
  • Our Services
    • Health
    • Education
    • Water
    • Agriculture
    • livestock
  • Councillors
    • Councilors List
    • Council Committee
      • Finance, Administration and Planning
      • Economic, Construction and Environment
      • Council Multisectral Aids
      • Disciplinary
      • Social Welfare
    • Meeting Timetable
    • Chairman Timetable
  • Projects
    • Ongoing Projects
    • Completed Projects
    • Projects to be Implemented
  • Publications
    • By law
    • Customer Services Aggrement
    • Strategic Plan
    • Other Reports
    • Other Forms
    • Guidelines
  • Media Centre
    • Photo Gallery
    • Public Notice
    • Official and National Video
    • Press Release
    • Leaders Speech

Zaidi ya Bilioni moja na Nusu kutumika kwa ajili ya Ujenzi Wa barabara Kisarawe

Posted on: June 14th, 2017

ZAIDI YA BILIONI MOJA NA NUSU KUTUMIKA  KWENYE BARABARA KISARAWE.

HALMASHAURI YA WILAYA YA KISARAWE IMESAINI MIKATABA NA  MAKAMPUNI  YA  UJENZI  WA BARABARA WENYE THAMANI YA SHILINGI 1,556,957,670 /=.

HAFLA YA UTIAJI SAINI IMEFANYIKA  JUMANNE TAREHE 13/06 KWENYE UKUMBI WA MIKUTANO WA HALMASHAURI YA WILAYA YA KISARAWE NA KUHUDHURIWA NA MWENYEKITI WA HALMASHAURI  MHESHIMIWA HAMISI DIKUPATILE,MKURUGUNZI MTENDAJI WA

HALMASHAURI NDUGU MUSSA L. GAMA ,WAMILIKI WA MAKAMPUNI NA BAADHI YA

WATENDAJI WA HALMASHAURI YA WILAYA YA KISARAWE..

AKIZUNGUMZIA   MIRADI ITAKAYOTEKELEZWA KWA MUJIBU WA MIKATABA, MWENYEKITI WA

HALMASHAURI YA KISARAWE  MH .DIKUPATILE  AMESEMA  WANANCHI WA KISARAWE

WANASUBIRI KWA MATUMAINI  MAKUBWA KUONA MATOKEO YA MIRADI ILIYOTIWA SAINI

INATEKELEZWA  KULINGANA NA MAKUBALIANO NA  YOTE YALIYOKUWAMO  NDANI YA

MKATABA

‘’WANANCHI WANAHITAJI KITU KILICHO BORA NA KWA WAKATI,TUNAKWENDA KUITUMIKIA

JAMII YETU HASA IKIZINGATIWA  TUMESAINI MIKATABA ILIYO BORA NA YENYE MANUFAA KWA

WANANCHI NA ITAKAYOTEKELEZWA NA KAMPUNI ZA KIZALENDO .’’ AMESEMA MHESHIMIWA

HAMIS  DIKUPATILE AMBAYE PIA NI DIWANI WA KATA YA MANEROMANGO.

AIDHA  KATIKA KUSISITIZA JUU YA KUFANIKISHA MIRADI HIYO MWENYEKITI WA HALMASHAURI

AMEWAHAKIKISHIA  WAKANDARASI KUWA  HALMASHAURI IMETAYARISHA MAZINGIRA YOTE

YANAYOHITAJIKA KATIKA UTEKELEZAJI WA MIRADI HII IKIWAMO UPATIKANAJI WA MAJI

MAENEO YA MIRADI

HALMASHAURI YA WILAYA YA KISARAWE IMESAINI  MIKATABA YENYE THAMANI YA  ZAIDI YA

SHILINGI  BILIONI MOJA NA NUSU KWA UJILI WA UTEKELEZAJI WA MIRADI YA BARABARA YA

MZENGA-MAFIZI-NYANI HADI GWATA YENYE UREFU WA KILOMETA 35 UTAKAOTEKELEZWA

NA KAMPUNI YA KIZALENDO YA M/S SERICO CO. LTD WENYE THAMANI YA SHILINGI  

472,678,500/=

BARABARA NYINGINE ZITAKAZOTENGENEZWA KWA KIWANGO CHA LAMI  NI ZILE ZA KISARAWE  

MJINI ZA UREFU WA KILOMITA 1.9 ZINAZOGHARIMU KIASI CHA SHILINGI 693,881,300/=  

MRADI UNAOTEKELEZWA NA KAMPUNI YA KIZALENDO  YA M/S NELOYT (T) LTD. PIA KIASI CHA

SHILINGI   390,398,890/=.KITATUMIKA UJENZI WA DARAJA LA MTO  MIYOMBO KATIKA

BARABARA YA KIMALAMISALE –KIGOGO YENYE UREFU WA MITA 25 LITAKALOJENGWA NA

KAMPUNI YA M/S PLAN ENGINEERING AND  CONSTRUCTION LIMITED.


Announcements

  • Wito Kwenye Mafunzo ya Uboreshaji wa Daftari tarehe 10-11/02/2025 Minaki Sekondari. February 07, 2025
  • Tangazo kwa Umma Kuhusu Uboreshaji wa Daftari la Mpiga Kura February 08, 2025
  • MKITANO WA BARAZA LA MADIWANI April 28, 2025
  • BARAZA LA MADIWANI NOVEMBA 2021 November 09, 2021
  • View All

Latest News

  • NIMEFURAHISHWA NA MMLIVYOJIPANGA KISARAWE CHATANDA NA ZAINABU

    May 08, 2025
  • OFISI YA MAKAMU WA PILI WA RAIS SERIKALI MAPINDUZI ZANZIBAR YAFANYA ZIARA YA KIKAZI WILAYA KISARAWE

    April 30, 2025
  • KISARAWE YAFANYA UTOAJI ELIMU YA DOZI YA NYONGEZA YA CHANJO YA SINDANO YA POLIO(IPV2)

    April 30, 2025
  • KUVUNJWA KWA BARAZA LA MADIWANI KISARAWE UONGOZI WAJIVUNIA KUKAMILISHA MIRADI MBALIMBALI KATIKA KIPINDI CHA MIAKA 5

    April 29, 2025
  • View All

Video

Kamati ya Fedha kutembelea Ujenzi wa Jengo Jipya la OPD Kisarawe Hospitali
More Videos

Quick Links

  • Natural Attractions
  • COMMUNITY HEALTH FUND
  • Kisarawe History
  • Photo Events in the Council
  • Rehabilitation of Theater Block
  • Council strategics
  • How to meet with District Chairman
  • Maelekezo jinsi ya kutumia Mfumo wa FFARS
  • Councilors Name List and Phone Number

Related Links

  • President's Office Public Service, Management and Good Governance
  • The National Examinations Council Of Tanzania
  • President's Office Regional Administration and Local Government
  • The Higher Education Students’ Loans Board
  • PPRA
  • State House
  • Employment
  • National Bureau Of statistics
  • Salary slip potral
  • Government Website
  • Parliament
  • Mfumo wa Ununuzi wa Umma NeST
  • Mfumo wa Upimaji Utendaji kazi wa Watumishi wa Umma (ESS)

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

Free Visitor&Stat Counter

Location Map

Wasiliana nasi

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2017 Kisarawe District Council . All rights reserved.