Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Kisarawe anapenda kuwakaribisha wananchi wote kutembelea banda letu la Nane nane kujionea na kukutana na wataalamu mbali mbali wa Kilimo,Mifugo,Utalii,Ardhi, n.k katika Maonyesho ya Nane nane yanayofanyika Mkoani Morogoro kuanzia Tarehe 1 hadi Tarehe 8 .Karibuni sana.