MKURUGENZI MTENDAJI WA HALMASHAURI YA WILAYA YA KISARAWE ANAWAJULISHA WANANCHI WOTE WA KISARAWE KUHUDHURIA MKUTANO WA HALMASHAURI ( BARAZA LA MADIWANI) TAREHE 11/11/2021 SIKU YA ALHAMISI KUANZA SAA 4 ASUBUHI KATIKA UKUMBI WA HALMASHAURI YA WILAYA YA KISARAWE. WOTE MNAKARIBISHWA.
Imetolewa na kitengo cha TEHAMA na Uhusiano (W)
Hakimiliki © 2017 Halmashauri ya Wilaya ya Kisarawe. Haki zote zimehifadhiwa