Mwanafunzi anaweza kuhama kutokana na sababu mbali mbali. Ni vyema kabla ya kumuhamisha ukawasiliana na walimu wake ili upate ushauri kwanza.Baada ya hapo unaweza fuata utaratibu kama utakavyoshauriwa.
Hakimiliki © 2017 Halmashauri ya Wilaya ya Kisarawe. Haki zote zimehifadhiwa