Ujenzi wa madarasa mawili shule ya sekondari Chole,Hatua ya mradi kufikia tarehe 17/11/2021 upo katika hatua ya Kupanga mawe na kumwaga zege.
Kibuta Sekondari Madarasa 2 yanapangwa mawe na madarasa 3 yapo hatua za msingi,Leo 17/11/2021
Makurunge Sekondari Ujenzi upo katika hatua ya Kuweka jamvi katika darasa moja na madarasa matatu yamefungwa mkanda,Leo 17/11/2021
Gwata sekondari Ujenzi upo katika hatua ya Kusambaza kifusi na kupanga mawe katika madarasa yote 3,Leo 17/11/2021
Gongoni Sekondari Ujenzi upo katika hatua ya kumwaga jamvi,Leo 17/11/2021
Maneromango Sekondari Ujenzi upo katika hatua ya ukuta katika madarasa yote 3 ambapo ukuta umefikia hatua za madirisha,Leo 17/11/2021
Mfuru sekondari Ujenzi upo katika hatua ya Kupanga mawe katika madarasa yote 3 kwa ajili ya jamvi,Leo 17/11/2021
Masaki sekondari Ujenzi upo katika hatua ya kupanga mawe katika madarasa yote 3 kwa ajili ya Jamvi,Leo 17/11/2021
Janguo Sekondari Ujenzi upo katika hatua ya Kupanga mawe katika madarasa yote 3 kwa ajili ya kuweka jamvi,Leo 17/11/2021
Msimbu sekondari Ujenzi upo katika hatua ya kuweka zege kwenye mkanda wa msingi kwa madarasa yote 5,Leo 17/11/2021
Mzenga sekondari Ujenzi upo katika hatua ya Kufunga box la mkanda katika madarasa yote 3,Leo 17/11/2021
Vikumburu Sekondari Ujenzi upo katika hatua ya kufunga mkanda kwa ajili ya kumwaga zege katika madarasa yote 2,Leo 17/11/2021
Shule ya Msingi Mzenga B shikizi Madarasa matatu ujenzi upo katika hatua ya Boma na madarasa 2 ujenzi upo katika hatua ya jamvi la Msingi,Leo 17/11/2021
Hakimiliki © 2017 Halmashauri ya Wilaya ya Kisarawe. Haki zote zimehifadhiwa