MKURUGENZI MTENDAJI WA HALMASHAURI YA WILAYA YA KISARAWE ANAWAJULISHA WANANCHI WOTE WA KISARAWE KUHUDHURIA MKUTANO WA HALMASHAURI ( BARAZA LA MADIWANI) TAREHE 11/11/2022 SIKU YA IJUMAA KUANZA SAA 2 ASUBUHI KATIKA UKUMBI WA HALMASHAURI YA WILAYA YA KISARAWE. WOTE MNAKARIBISHWA.
Hakimiliki © 2017 Halmashauri ya Wilaya ya Kisarawe. Haki zote zimehifadhiwa